Afya Ni Utajiri "Ilinde na Jikinge"

Afya Ni Utajiri "Ilinde na Jikinge" Buy and use Neolife food supplements products for your better health

*Kwa nini Carotenoid, Flavonoid na Cruciferous ni Compound Phytonutrients?**■Matumizi ya carotenoids Complex* yamehusish...
31/05/2022

*Kwa nini Carotenoid, Flavonoid na Cruciferous ni Compound Phytonutrients?*

*■Matumizi ya carotenoids Complex* yamehusishwa na kila kitu kuanzia kinga imara hadi kupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo, mtoto wa jicho, kuzorota kwa mascular na hata saratani.
*■ Lishe iliyo na flavonoidi complex* nyingi imeonyeshwa kusaidia lishe ya seli, husaidia kuondoa/ kunyausha uvimbe na kusaidia afya ya moyo na mishipa.

■ Tafiti nyingi zimeonyesha kuwa idadi ya watu wanaotumia wastani wa milo nane ya mboga za *cruciferous plus* kwa wiki huripoti baadhi ya viwango vya chini vya saratani duniani, hasa viwango vya saratani ya matiti na tezi dume.

*Aina 3 tofauti za Virutubisho Lishe vinavyotengeneza Phyto defense:-*

*KAROTENOID COMPLEX*
■ Watafiti wa USDA walithibitisha kuwa *Carotenoid Complex:*

■ Huongeza uwezo wa kinga ya mwili kwa 37% ndani ya siku 20 pekee!*
■ Huongeza seli za ulinzi kwa 20%.*
■ Hupunguza athari za vioksidishaji kwa 44%.
■ Hutoa ulinzi mara tano zaidi ili kuzuia kolesteroli ya LDL (mbaya) dhidi ya oksidi.
■ Kila kibonge cha Carotenoid Complex kina mgao kamili wa matunda na mboga zilizo na carotenoid - nyanya, karoti, mchicha, pilipili hoho nyekundu, jordgubbar, parachichi na pechi.

*ULINZI WA FLAVANOID COMPLEX*
■ Viungo katika Flavonoid Complex vilizuia ukuaji wa seli za saratani kwa hadi 90% katika mchakato wa hivi majuzi wa utafiti wa mirija ya majaribio kwa kutumia seli za binadamu.*
*■ Flavonoid Complex* hutoa kiwango bora zaidi cha aina zote 5 za flavonoids katika kila kidonge Iliyotokana na cranberries nzima, kale, chai ya kijani (decaffeinated), beets, elderberries, zabibu nyekundu, zabibu nyeusi .

*CRUCIFEROUS PLUS HUSAIDIA:-*

■ Kukuza ukuaji mzuri wa seli.
■ Uwezo wa kuhifadhi viwango vya kawaida vya kolesteroli na kusaidia mwitikio mzuri wa kinga.
■ Cruciferous Plus hutoa mgao kamili wa phytonutrients kutoka kwa mboga zilizochaguliwa za cruciferous—broccoli, figili, kale, haradali nyeusi, haradali ya kahawia na watercress.

Kwa Changamoto mbalimbali za Kiafya Mwilini mwako tafadhali Sana wasiliana nasi tukuhudumie kwa gharama Nafuu kabisa. Tu...
23/05/2022

Kwa Changamoto mbalimbali za Kiafya Mwilini mwako tafadhali Sana wasiliana nasi tukuhudumie kwa gharama Nafuu kabisa. Tunatoa Tiba Lishe Maalumu kwa Kila Changamoto ya ugonjwa ulionao. Tuwasiliane Sasa kwenya Call/WhatsApp number +255 655866003 or call only at +255 744729184.

Kwa Changamoto Mbalimbali za Kiafya Mwilini mwako tuwasiliane tukuhudumie Tafadhali. Tunatoa ushauri wa Namna ya kutibu ...
18/03/2022

Kwa Changamoto Mbalimbali za Kiafya Mwilini mwako tuwasiliane tukuhudumie Tafadhali. Tunatoa ushauri wa Namna ya kutibu Changamoto yako Kiafya Kutumia Virutubisho Lishe Muhimu Sana ambavyo havina Kemikali yoyote ndani yake , vimetengenezwa kiasili kutokana na Matunda Mimea na Madini lishe Maalumu kwa matumizi ya Binadamu. Virutubisho Lishe hivi vinatibu Changamoto Mbalimbali K**a vile Viungo vya mwili kuuma, miguu, presha, kisukari, UTI, PID, tezi dume, Ugonjwa wa magoti, allergies Sina zote, bawasiri ya ndani na nje, Vidonda vya Tumbo, Ngiri au hernia,Kiharusi, miguu kufa ganzi na Mengineyo . Tuwasiliane tukuhudumie Tafadhali kwa namba +255 655866003/ 0744729184

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa k...
06/03/2022

🛑 *UJUE UGONJWA WA P.I.D*

Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana k**a cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a salpingitis.

*_PID husababishwa na nini?_*

Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

*Je mwanamke huambukizwaje PID?*

Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na

✅Kufanya ngono isiyo salama.

✅Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (au postpartum period)

✅Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba kwa njia zisizo salama (post abortion) au mara baada ya mimba kutoka (miscarriage)

✅Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango.

✅Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

*Dalili za PID ni zipi?*

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni :-

✅Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

✅Kupata maumivu ya mgongo.

✅Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri. Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

✅Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa.

✅Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa.

✅Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi.

✅Kupata homa.

✅Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika.

⏩Ugonjwa huu wa Pelvic Inflammatory Diseases *P.I.D* unakuwa kwa Kasi kubwa na baadhi ya wanawake hupata madhara makubwa baadae hususani Ugumba kutokana na kupuuzia matibabu. Ikiwa unaona dalili tajwa hapo juu jitahidi kuanza matibabu haraka iwezekanavyo. Tuwasiliane tukuhudumie. Call/ WhatsApp number +255 655866003

*FIGO , AINA YA CHANGAMOTO NA TIBA YAKE KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE*.                Kazi ya figo ni nini? Figo ndiyo inay...
23/12/2021

*FIGO , AINA YA CHANGAMOTO NA TIBA YAKE KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE*. Kazi ya figo ni nini?
Figo ndiyo inayochuja uchafu mwilini na ikiwa taka italundikana basi inakuwa na ugonjwa au haifanyi kazi ipasavyo. *Tatizo la kawaida la kiafya kwenye figo ni maambukizi ya figo na mawe kwenye figo.*

Ikiwa maji au madini hayawezi kutoka, mtu huyo anaweza kuvimba kwa sababu ya kutoweza kutoa mkojo. Matibabu mengi yatafuata lakini hapa ndio unaweza kutumia kulinda figo yako au kupona. *Jinsi ya Kuepuka Ugonjwa wa Figo sugu.*
Iwapo unakabiliwa na tatizo la kutoa mkojo au kuupitisha kwa maumivu, usipuuze kwani inaweza kusababisha ugonjwa sugu wa figo ambao unaweza kusababisha dialysis na kifo.

*Kwa maambukizi ya figo, tumia:*
Garlic Allium Complex
Fibre Tablets
Beta Guard au Lipotropic adjunct
Vitamini C

*Kwa Mawe ya Figo*
Garlic Allium Complex
Fibre Tablets
Vitamini C
Liptropic Adjunct
Tre en en

*Kwa ugonjwa wa figo uliosababisha kuvimba kwa sehemu za mwili au matumizi ya dialysis:*
Flavanoid Complex
Beta Guard
Garlic Allium Complex
Lipotropic Adjunct
Chilated Zinc

Tumia bidhaa za Neolife zilizo hapo juu na uandae lishe yako ili kupata matokeo ya uhakika. Acha kwenda hospitalini mara kwa mara unapoongeza virutubisho hapa chini kwenye mchanganyiko uliotajwa hapo juu:
Mchanganyiko wa Carotenoid Complex,
Tre en en
Omega 3 Salmon Oil Plus kwa pamoja
Ikiwa huna uhakika wa aina ya mabadiliko ya lishe unahitaji kukusaidia kupona basi fuata lishe iliyoorodheshwa inayosaidia kusafisha figo. *Kuna baadhi ya wateja waliwahisema* "hivi divyo ilivyo daktari hatakuambia ili uendelee kutumia pesa". sijui zipo sahihi au la lakini ukiwa na tatizo la kiafya utatamani kujaribu kila kitakachokusaidia kupona hivyo nakushauri ukipate na ufuate utaratibu wa kutumia dawa ya asili kusafisha figo yako kwa kuongeza. kwa matibabu yako ili upone kabisa.

Kwa Maelezo Zaidi Tupigie tafadhali;-
Call/ WhatsApp +255 655866003/ +255744729184.

*MAGONJWA YA MOYO**CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO:*```1. Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P)2. Kuvuta si...
24/11/2021

*MAGONJWA YA MOYO*

*CHANZO CHA UGONJWA WA MOYO:*

```1. Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P)
2. Kuvuta sigara
3. Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
4. Kisukari
5. Kukaa sehemu kwa mda mrefu bila kuufanyisha kazi mwili
6. Umri mkubwa k**a vile zaidi ya miaka 50
7. Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
8. Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
9. Historia magonjwa yanayoambatana na moyo katika familia```
*DALILI ZA UGONJWA WA MOYO:*

```1. Moyo kwenda mbio (Moyo kudunda kwa nguvu isivyo kawaida)
2. Uchovu uliopitiliza, mwili kuwa dhaifu na kuchoka haraka hata kwenye shughuri ndogo
3. Maumivu ya kifua hasa yanayotembea mpaka kwenye mabega, shingo au taya
4. Kushindwa kulala vizuri hasa kushtuka usingizini kuhisi k**a unakabwa na kukosa pumzi
5. Tumbo kujaa, kichefuchefu na kutapika
6. Kukosa pumzi au kushindwa kupumua vizuri hasa unapolala chali
7. Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji```
*JINSI YA KUEPUKANA NA MAGONJWA YA MOYO:*

```1. Fanya mazoezi (Angalau dakika 30 kwa siku)
2. Usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
3. Usitumie chumvi mbichi au chumvi nyingi
4. Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
5. Balansi uzito wako
6. Usivute sigara
7. Punguza au acha kunywa pombe
8. Punguza mawazo
9. Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
10. Lala vizuri kwa muda mzuri (masaa 7 hadi 9)```
*USHAURI KWA MGONJWA WA MOYO:*

*_K**a tayari umeshapata magonjwa ya moyo usihofu, Magonjwa ya moyo yanatibika kabisa... Mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wengi kupoteza maisha kutokana na kutokuwa makini na kile tunachowaeleza._*

*Tuna bidhaa aina ya CoQ10, Lipotropic Adjunct, Garlic Allium , Omega -3 Salmon Oil, Carotenoid na Vitamin E ni 100% NATURAL (isiyo na kemikali) ni suluhisho pekee kwa ugonjwa huu.*
Kwa Mawasiliano Zaidi tupigie tukuhudumie kwenda namba simu/ WhatsApp +255 655866003
Simu +255 744729184

*Sababu na athari zitokanazo na kitambi**Tiba yake Ni kutumia Virutubisho Lishe Aina ya Pro Vitality Pack, Amitone na Ne...
06/11/2021

*Sababu na athari zitokanazo na kitambi*
*Tiba yake Ni kutumia Virutubisho Lishe Aina ya Pro Vitality Pack, Amitone na Neolife tea, Fibre na Neolife Shake.

Utafiti umegundua kwamba kuna idadi kubwa sana ya wanawake na wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la kuwa na matumbo makubwa kiasi ama vitambi kwa lugha nyingine. Uchunguzi wetu umetuwezesha kubaini kuwa katika watu kumi wanao tembea bararani angalau watatu kati yao wanasumbuliwa na tatizo la kitambi.

*Sababu kuu za tatizo la kitambi ni pamoja na;*

Ulaji mbovu wa vyakula ( Ulaji usio zingatia mlo kamili ).
Ulaji mbovu wa vyakula unajumuisha ulaji wa vyakula vya aina moja kwa wingi kupita kiasi bila kuzingatia aina nyinginezo, mfano ulaji wa vyakula vya mafuta mafuta kwa wingi kupita kiasi.
Unywaji wa pombe kupita kiasi
Kutofanya mazoezi ya mwili na viungo pamoja na sababu nyinginezo.

*Athari za tatizo la kitambi ni pamoja na :*

Kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya hatari k**a vile kisukari, moyo na presha.
Kutokuwa na uwezo wa kumudu tendo la ndoa ( kwa wanaume )
Kupunguza mvuto wa kimapenzi ( kwa wanawake na hata wanaume pia )
Kupoteza fedha na muda mwingi katika kuhangaika kutafuta tiba ya tatizo pamoja na athari nyinginezo lukuki.
Kwa Mawasiliano Zaidi call/ Whatsapp number +255 744729184

Mwili wa Mwanadamu Ni Muunganiko wa Ubongo, Macho,  Kifua , Moyo , Mgongo au Mfumo wa fahamu ambao hutoa taarifa kwenda ...
04/11/2021

Mwili wa Mwanadamu Ni Muunganiko wa Ubongo, Macho, Kifua , Moyo , Mgongo au Mfumo wa fahamu ambao hutoa taarifa kwenda sehemu nyinginezo Mwilini. Kiungo kimojawapo kinaposhindwa kufanya kazi kwa ufanisi huwa Ni tatizo. Sasa karabati afya ya Viungo mbalimbali Mwilini K**a mgongo, Ubongo, Moyo, miguu, n.k. kwa kutumia muunganiko mojawapo wa bidhaa Bora Zaidi kuliko zote kutoka GNLD na Neolife food supplements. Kwa Maelezo Zaidi tupigie tukuhudumie kwenda namba +255 744729184
WhatsApp number +255 655866003

Changamoto ya ugonjwa Sugu wa Kisukari zmegawanyika katika namna mbili tofauti. Namna ya Kwanza Ni ile ya kutokuwa na mp...
02/11/2021

Changamoto ya ugonjwa Sugu wa Kisukari zmegawanyika katika namna mbili tofauti. Namna ya Kwanza Ni ile ya kutokuwa na mpangilio Maalumu was ulaji wa vyakula na kusabisha tatizo kutokea na Pili Ni ile glucose kushindwa kuwa controlled kwenye Damu na Kwenye kongosho insulin kutokuwa balanced. Baada ya kuona hivyo Neolife Company ilitengeneza bidhaa mahsusi kupambana na changamoto hi ambayo imetengenezwa kitaalamu kwa MbogaMboga, Matunda na Madini Lishe Muhimu kwa afya ya Binadamu.

*Virutubisho vinavyopambana na changamoto ya kisukari vipo karibu sana na utapona kabisa.
Virutubisho Lishe hivyo Ni Botanical Balance , Provitality Pack, Fibre na Multi Mineral plus Alfalfa.

Dalili 7 za kisukari:

1. *Kukojoa mara kwa mara*

2. Kiu isiyo katika

3. *Uchovu bila sababu*

4. Miguu kuchomachoma na kufa ganzi

5. *Kukawia kupona kwa vidonda*

6. Kupoteza uzito bila sababu

7. *Kupungua kwa uwezo wa macho katika kuona (Upofu)*

Usisite kunitafuta bidhaa ipo na utapona kabisa!!
Usisite kunipigia kwenda namba

*Piga simu ±255 744729184*
*WhatsApp +255 655866003*

Kuna Changamoto za Kiafya kwa Watu wengi hapa duniani kwasasa inayosababisha vifo vingi Sana. Changamoto hiyo inayotokan...
02/11/2021

Kuna Changamoto za Kiafya kwa Watu wengi hapa duniani kwasasa inayosababisha vifo vingi Sana. Changamoto hiyo inayotokana na Tafiti iliyofanywa na wataalamu wa tiba lishe inatokana na magonjwa yafuatayo:-
✓ Kisukari
✓ Figo
✓ Cancer
✓ Kiharusi
Yote haya tunaishi nayo njia Pekee inayotoa Suluhisho Sahihi Ni Utumiaji wa Virutubisho Lishe yaani food supplements. Neolife Company imekutengenezea Virutubisho hivyo ambavyo havina kemikali yoyote ndani yake na vimepngezwa kiasili kabisa kutokana na Matunda Mbogamboga na Madini lishe Maalumu K**a Kinga na tiba. Tumia Provitality Pack, Daily Vitality Pack, All 8 Omegas Salmon Oil, Co Q10, Garlic Allium, Iron , Vitamin E+ . Kwa msaada Zaidi tuwasiliane tukuhudumie kwenda +255 744729184
WhatsApp number +255 655866003

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Ni Utajiri "Ilinde na Jikinge" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Ni Utajiri "Ilinde na Jikinge":

Share