09/02/2023
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?
Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya kutolea haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa.
Wakati mwingine husababisha kutoka kinyama au uvimbe.
1. VISABABISHI
Vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ni ÷
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUHARISHA (HASA KWA MUDA MREFU)
👉TATIZO LA CHOO KIGUMU
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA
👉 KUCHUCHUMAA (UKIWA UNATAKA KUJISAIDIA HAJA KUBWA) KWA MUDA MREFU
👉KULA VYAKULA VISIVYO NA NYUZINYUZI
2. DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kupata maumivu makali wakati wa kukaa
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
👉maumivu ya mgongo na kiuno
3. MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
👉Kupata upungufu wa damu (anemia) baada ya kutokwa na damu nyingi.
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉Hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉Kuathirika kisaikolojia
👉Kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBO (CANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,
4. TIBA NA KINGA YA BAWASIRI YA UHAKIKA.
TUNA BIDHAA YA ASILI INAYOSAIDIA KUPONYESHA BAWASIRI.
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO VINAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA, HIVYO BAWASIRI INAPOTEA KABISA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI.
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA.
HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA TFDA, HALAL, NA GMP.
OFISI ZIKO WAZI SIKU ZOTE ZA WIKI:
KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZO HAPO JUU.
(WhatsApp/Sms/Simu)0783655721
https://tinyurl.com/23u32mkw
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.