19/08/2022
FAHAMU LEO KUHUSU CHANGAMOTO YA MAUMIVU MAKALI YA MIFUPA NA TIBA YAKE :(OSTEOPOROSIS.)
Ugonjwa huu unatokea kwa mtu pale ambapo mifupa inapungua uzito (density) na kuwa dhaifu.
SABABU ZA KUTOKEA UGONJWA HUU.
zipo sababu nyingi zinazotajwa lakin kuna sababu Ambazo zinaongoza k**a vile
• kuishiwa madini muhimu k**a vile calcium.
•Ajali
•historia ya familia
•ulevi
•ulaji mbovu
•matumizi ya steroid drugs
•uzito mkubwa
KUNDI LA WATU WALIOPO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA HUU
•Wanawake
Mwanamke anakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata ugonjwa hasa ambaye amefikia umri wa kukoma hedhi ,kipindi hiki kiwango cha homorne ya OESTROGEN hushika sana,ambaye husaidia pia katika Afya ya mifupa hivyo kupelekea mifupa kudhoofika.
•wanaume
Sababu kubwa ya moja kwa moja ya mwanaume kupata ugonjwa huu haijulikan (unknown)
Baadhi ya tafiti zinaonesha kuwa wanaume ambao wana changamoto ya homoni ya kiume (testosterone) ikiwa chini pia yupo kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu.
Homoni hii ndio inamfanya mwanaume aweze kuitwa baba na inazalishwa katika testical na kiwango kidogo kinazalishwa katika tezi dume.
Lakini kuna makundi ya watu wengine ambao wapo kwenye hatari
•wanawake waliofanyiwa upasuaji wa kutolewa kizazi.
•wanawake ambao wanakaa kuanzia miezi 6 bila kuona hedhi
•wanawake ambao wanawahi kukoma hedhi kabda ya 45 yrs
UGONJWA HUU UNAWEZA KUPELEKEA PIA CHANGAMOTO ZA MAUNGIO.(osteoarthritis)
Huu ni ugonjwa ambao unahusisha kulika kwa gengedu kwenye maungio na kuisha kwa uteute na kupelekea mifupa kusagana.
UGONJWA HUU UMEGAWANYIKA KATIKA SEHEMU 2.
1.primary osteoarthritis.
2.secondary osteoarthritis,
Ugonjwa huu husababisha maumivu makali sana ya mifupa na viungo.
Idadi kubwa sana ya watu wanaendelea kumeza dawa za maumivu bila kujua ni moja ya sababu za kuchochea ugonjwa huu.
Leo hii nimekuletea tiba kamili kwa wewe Ambaye unasumbuka na ugonjwa au ndugu jamaa na rafiki.
Pia wewe ambaye umri umeenda huna budi kutumia huduma yetu.
0757423949.