Afya ya mifupa na maungio

Afya ya mifupa na maungio Natoa ushauri na matibabu kwa changamoto za mifupa,maungio,pingiri za mifupa,maumivu ya nyonga,magoti,kiuno, kuvunjika mifupa, nk 0757666508

Kuwa na uzito mkubwa kunapelekea kupata MATATIZO katika mfumo wa mifupa na maungio K**a vile*Kulika kwa mifupa*Kuishiwa ...
16/02/2022

Kuwa na uzito mkubwa kunapelekea kupata MATATIZO katika mfumo wa mifupa na maungio K**a vile

*Kulika kwa mifupa

*Kuishiwa uteute katika maungio ya mifupa

*Mifupa kuweka mpasuko

*Gegedu kulika katika mifupa

* Kupungukiwa virutubisho katika mifupa

K**a unauzito mkubwa na unapata MATATIZO ya mifupa basi kwanza tutaanza kushughurikia uzito wako halafu tutakupatia TIBALISHE ya mifupa .

Wasiliana nami kupitia namba zifuatazo

0757666508

BAWASIRI/MGOLO-KUOTA VINYAMA KWENYE MFEREJI/NJIA YA HAJA KUBWA* ⚡Bawasiri ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa...
25/10/2020

BAWASIRI/MGOLO-KUOTA VINYAMA KWENYE MFEREJI/NJIA YA HAJA KUBWA*

⚡Bawasiri ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
⚡Kwa kiingereza hujuliakana k**a piles.
⚡ Na kitaalam hujulikana k**a hemorrhoids/piles.

AINA ZA BAWASIRI.
👉1⃣ BAWASIRI YA NJE
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina hii ya bawasiri kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
👉2⃣BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu.
⚡Aina hii imeainishwa katika mainisho ya madaraja manne yafuatayo:
👉Daraja la 1 - Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
👉Daraja la 2 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya haja.
👉Daraja la 3 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya haja.
👉Daraja la 4 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya haja.

BAWASIRI HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu
👉Ujauzito – wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasiri sababu ya msukumo wa mtoto karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa
👉Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile
👉Uzee – kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa na ugonjwa huu kwa baadhi ya watu
👉Sababu za kurithi – baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.
👉Kuharisha sana kwa muda mrefu
👉Kutumia vyoo vya kukaa
👉Kunyanyua vyuma vizito
👉Mfadhaiko/stress
👉Uzito na unene kupita kiasi.

DALILI ZA BAWASIRI.
👉Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kunuka kwny kinyesi wakati wa kujisaidia
👉Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
👉Uvimbe au kinyama kujitokeza katka haja kubwa
0679839988

Unafahamu nn kuhusiana Na bidhaa zetu? (Afyabora20tz -bf SUMA)*Kukutoa wasiwasi, bidhaa hizi zimethibitishwa Na TBS, TMD...
19/09/2020

Unafahamu nn kuhusiana Na bidhaa zetu? (Afyabora20tz -bf SUMA)*

Kukutoa wasiwasi, bidhaa hizi zimethibitishwa Na TBS, TMDA, *(TANZANIA)* FDA *(marekani)* HALLAL *( falme za kiarabu)* Na mamlaka nyingi za kimataifa -vyeti vya mamlaka Zote tunavyo ukifika ofisini utaviona vimebandikwa. Ni bidhaa asilia zilizo Na ubora wa hali ya juu sana, nchi za umoja WA ulaya ndio zinaongoza kwa kutumiwa

Bidhaa hizi zinatibu kabisa magonjwa ambayo hayawezi kupona hospitali, *K**a sukari, presha, kansa, tezi DUME, bawasiri ugumba, kifafa , ini, figo, nguvu za kiume, strock, mimba kutoka, UTI sugu, upungufu was kinga za mwili, presha na matatizo ya moyo, kisukari nk* PIA TUNA SPESHO CLINIC KWA WENYE HIV (nzuri Sana Na ataacha madawa ya hospitali)

*Kwetu Sisi upasuaji ni mwiko, vimbe tunaziyeyusha Kwa kutumia Lishe na zimepotea..* TUNADEAL NA MIFUMO (SYSTEMS)

HAKUNA SIDE EFFECTS,


Una Swali lolote kuhusu bidhaa zetu naomba usisite kuniuliza kupitia namba nitakazozitoa hapo chini, na wasiliana nasi kwashida yoyote yakiafya nami nitakupa ufafanuzi na ushauri pia juu ya tiba sahihi

Whatsap/call
0628831368
0679839988

Karibu sana Joh healthcaretz
afya yako

Tatizo la nguvu zakiume ni tatizo ambalo linaumiza sana na linaleta sana uhalibifu kisaikolojia nakupelekea mtu kuwa san...
19/09/2020

Tatizo la nguvu zakiume ni tatizo ambalo linaumiza sana na linaleta sana uhalibifu kisaikolojia nakupelekea mtu kuwa sana mpweke nakujikuhis k**a hana thamani tena.

Ni kweli sifay ya kuwa mwanaume ukiachana, na utafutaji pesa basi kuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa na kulimudu, namaanisha kumsfikisha kileleni mpenzi au make ulienae

Sasa wanaume wengi siku hizi imekuwa changamoto sana kuhimili tendo landoa kwasabbu ya upungufu wanguvu zakiume au kutokuwa kabisa na nguvu za kiume.

Zipo sababu nyingn zinazopelekea mwanaume kupungukiwa na nguvu za kiume au kutokuwa na nguvu zakiume kabisa,

Zifuatazo nisababu zinazopelekea mtu kutokuwa na nguvu zakiume au kupungukiwa nguvu zakiume

1.mitindo yetu yamaisha(hapa namaanisha vyakula tunavyokula kutokufanya mazoezi,

2.kuwa na ugonjwa au shida yamoyo mfano presha hupelekea damu kushindwa kufika kwawing katika uume ili kusabbisha uume kusimama

3.kupiga punyeto/kujichua, unapopiga punyeto kinachotokea unaifanya mishipa ya kwenye uume kulegea kabisa hivy kushindwa kuhimili kusimama kwamuda sahihi

4 shida ya ugonjwa wa kisukari NK

Hayo yote yanapelekea sana watu skuhiz kushindwa kuhimili tendo landoa.

Lakini habari njema nikuwa kwakutumia virutubisholishe vyetu vya asili basi utaweza kupona kabisa tatizo hilo kwasabbu virutubisholishe hivi vinadili nakutibu mfumo wako wa uume au uzazi mzima hivyo kukufanya uweze kurudi katika hali yakawaida kabisa

Dawa zetu hizi sio booster au vichochezi vyakukufanya uwe na uwezo wakufanya mapenz kwamba usipotumia huwez kufanya , HAPANA Bali hizi zitakutibu kabisa na ukishamaliza tu dawa basi hutakuw na haja ya kutumia dawa ili ufanye mapenzi bali utakuwa umepona kabisa na hautakuw tena tegemez wa dawa

Ninakukaribisha uwezo kuondokana na aibu hyo ,usikae kimya mpaka ukampoteza mpenz wako akachukuliwa na malijali eti kwasababu tu huwez kumfikisha, HATA NYINYI wanawake k**a kweli unampenda mtu wako basi hautamuacha kwasbbu hakufikisha badala yake nakukaribisha uje kumchukulia

Mwanamke  anaetaka kujiamini marazote basi lazima atumie hii refined yuhnz kwakuwa nimuhimu sana,  ntakwambia kwaniniWan...
19/09/2020

Mwanamke anaetaka kujiamini marazote basi lazima atumie hii refined yuhnz kwakuwa nimuhimu sana, ntakwambia kwanini

Wanawake wengi sana skuhiz wanasumbuliwa nashida ya mvurugiko wa homones au homones kutokukaa sawa,

Wengine wanajikuta wanapta sana maumivu ya tumbo makali kabla au baada ya hedhi

Wengine wanajikuta badala ya kuingia period mara moja kwa mwezi basi wao wanenda period mara mbili kwa mwezi

Wengine wakiingia period wanatokwa na damu nyingi sana isivyokawaida

Lakini wengine wao huwa hawapati kabisa period anaweza kupitisha miezi miwili mpaka mitatu bila kuziona siku zake wakati hata mimba hana wala hajafikisha umri wa kukoma hedhi

Wengin yeye kila mwezi hajui siku maalum anayoingia period kwasababu zinabadilika badilika mara mwez huu tarehe5,mwezi ujao 13 hivyo hivyo zinabadilika kila mwezi nawengi wawanawake wapo wapitia sana shida hii lakini hata huwa hawasemi na wanachukulia nijambo la kawaida wakati ni hatari sana kwao

Hayo yoote hapo yanatokea kwasabbu ya mvurugiko au kutokuwa sawa kwa homones za mwanamke ,sasa nini chakufanya?

Njia bora na yakipekee yakurudisha mfumo wahomones zako kuwa sawa nikwakutumia virutubisholishe hiki cha refined yuhnz tena kwabei rahis kabisa ya 80,000/
Hii haina kemikali na imedhibitishwa na mashirika yote duniani ya kaifya inatmbulika duniani kote kwahyo ni bora sana kuitumia wewe mwanamke,

Hatak**a huna shida hii inafaaa sana kuitumia kwasbbu ni kirutubisholishe cha asili kisichona kemikali hivyo nik**a kinga ukiitumia hatak**a huumwi shida hizi

Wasiliana nasi popote ulipo tanzania na nitakusikiliza na kukushauri tiba sahihi kwajili yako

Whatsap/call
0628831368
0679839988

NAKUKARIBISHA SANA WEWE BABA,  MAMA,  KAKA, DADA  POPOTE PALE ULIPO TANZANIA NA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA  UWEZE KUPATA ...
19/09/2020

NAKUKARIBISHA SANA WEWE BABA, MAMA, KAKA, DADA POPOTE PALE ULIPO TANZANIA NA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA UWEZE KUPATA HUDUMA HII YA KIAFYA KWASHIDA MBALIMBALI ZA KIAFYA ZINAZOKUSUMBUA

HAPA NDIPO SEHEMU SAHIHI SANA KWANI HAPA UTAPATA TIBA YA HARAKA YA MAGONJWA MBALIMBALI KWAKUTUMIA TU VIRUTUBISHOLISHE VYA ASILI VISIVYONA KEMIKALI VILIVYOTENGENEZWA KWA MIMEA,, MATUNDA, MBOGAMBOGA MBALIMBALI ZILIZOFANYIWA UTAFITI KATIKA MAABARA YETU KUU INAYOTAMBULIKA DUNIANI KOTE ILIYOKO MAREKANI

VIRUTUBISHOLISHE HIVI VINAUWEZO MKUBWA KWAKUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI BILA HATA UPASUAJI, WENGI WALIKUJA KWETU WAMEPONA NA KUFUHIA SANA DAWA HIZI MAALUMU NA MUHIM SANA

USIENDELEE KUTESEKA KUTAFUTA TIBA YA MAGONJWA YANAYOKUSUMBUA BALI WASILIANA NASI POPOTE ULIPO NASI TUTAKUSIKILIZA NA KUKUSHAURI KITAALAM ZAIDI KUHUSU TIBA SAHIHI

WHATSAP/CALL
0628831368
0679839988

HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI):Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na ...
19/09/2020

HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)

:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.

*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*
👉Utoaji wa mimba
👉Uwepo wa sumu mwilini.
👉kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.
👉Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone
👉mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.
👉uzito mkubwa
👉Msongo wa mawazo.
👉Kutofanya mazoezi.
👉Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.
👉Kukoma kwa hedhi.

*Dalili za kuvurugika kwa homoni*
👉Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.
👉Kutoshika mimba.
👉Mzunguko wa hedhi kubadilika.
👉Kuongezeka uzito.
👉Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.
👉Kupoteza kumbukumbu.
👉Hasira za Mara kwa Mara.
👉Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge
👉Uke kuwa mkavu.
👉kutoka jasho jingi usiku.
👉maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
👉mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.

*Madhara ya kuvurugika kwa homoni*
👉kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.
👉Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
👉Kuwa mgumba.
👉U.t.I Mara kwa Mara.
👉Uvimbe kwenye via vya uzazi wa mwanamke.(fibroids)
👉kuziba kwa mirija ya uzazi.
👉saratani.

*Hormone imbalance inatibika ondoa shaka wasiliana nami

Whatsap/call
0628831368
0679839988

ANATIC HERBAL SOAP* Ni sabuni iliyotengenezwa kwa asali mwitu,green tea(majani ya chai),liwa na mbegu za zabibu.. *HAKUN...
19/09/2020

ANATIC HERBAL SOAP* Ni sabuni iliyotengenezwa kwa asali mwitu,green tea(majani ya chai),liwa na mbegu za zabibu.. *HAKUNA* *KEMIKALI* zimetengenezwa katka maabara na kuthibitishwa Nchini Marekani na TMDA hufanya kazi nyingi na za maajabu.

1⃣_ *KUONDOA* *CHUNUSI SUGU NA* *MADOA* *YALIYOSHINDIKANA* .,
hutengeneza seli zilizokufa kwa kuondoa rangi ya madoa, alama za kuungua ktka ngozi na kupunguza mlundikano wa mafuta unaosababisha chunus zisizokwisha.

*2⃣_HUTUMIKA* *KUSHEVIA NA KUONDOA* *HARUFU* *MBAYA YA JASHO KALI* (kikwapa)
ukitumia kushevia italinda hali ya kutoka na mapele yatokanayo na wembe, na huyaponya yote k**a tayari yalishatokea, hufanya mwili kuwa mwepesi zaid kwa kuondoa jasho Kali La kikwapa.

*3⃣_HUONDOA WEUSI* *MAKWAPAN NA SEHEMU* *ZA SIRI* .,
Huondoa rangi yote isiyohitajika katika ngoz na kuiacha rangi moja tu yenye kupendeza ikibaki na asili yake

*4⃣_HUONDOA* *MIKUNYANZ NA KUZUIA* *HALI YA* *MIDOMO KUPASUKA* .
hupambana na hali ya ngoz kuchoka mapema na kurudisha unyevunyevu ktk ngozi.

Wasiliana nasi

Whatsap/call
0628831368
0679839988

Karibu sana uweze kupata virutubisholishe maalum vya mimea, matunda na mbogamboga,  ambavyo vinafanya  kazi ya kuondoa b...
19/09/2020

Karibu sana uweze kupata virutubisholishe maalum vya mimea, matunda na mbogamboga, ambavyo vinafanya kazi ya kuondoa bawasili bilahata upasujia

Huku kwetu tunasema upasuaji ni mwiko kwa magonjwa yoyote yale huku watu wanapona bila hata upasuaji

Njoo upate tiba sahihi ambayo itafanya upone kabisa tatizo la bawasili na matatizo mengn mengi

Whatsap/call
0628831368
0679839988

Je unasumbuliwa na shida yoyote ya kinywa na meno k**a vileKinywa kutoa harufu kaliMeno kuvunjikaMeno kuumaMeno kuwa yan...
19/09/2020

Je unasumbuliwa na shida yoyote ya kinywa na meno k**a vile

Kinywa kutoa harufu kali

Meno kuvunjika

Meno kuuma

Meno kuwa yanjano

Fizi kuvimba na kutoa damu

Meno kushikwa na ganzi

Nashida yoyote ya kinywa na meno basi wewe usipate shida yakung'oa, jino Bali nakushauri sasa tumia dawa meno hii ya DR Ts ambayo ni maalum kwashida yakinywa meno

Wengi wao walioitumia hii wameifanya kuwa ndio dawa ya meno ya kila sku kwasababu ya, matokeo mazur waliyoyapata, sasa unasubiri nini

Wasiliana nasi popote ulipo itakufikia

Kwagharama ya shiling25,000/ tu popote ulipo itakufikia iwe ndani ya tanzania hata nje ya tanzania

Whatsap/call
0628831368
0679839988

Au unaweza ukani dm pia

MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA CHANZO NA MATIBABU YAKE* Tatizo hili huweza kupata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ...
19/09/2020

MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA CHANZO NA MATIBABU YAKE*
Tatizo hili huweza kupata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kuk**ata katika vifupa vilivyo kuwa chini karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yani katika eneo hilo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga ndiyo inayo fanya utembee, ina kuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa, kuruka.

SABABU ZAINAZO PELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA(mifupa kwa ujumla).
1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo.zipo sababu zakuacha kujichua kurudisha nguvu.
2.Namna ya kulala ( style) godoro linaweza kuku sababishia maumivu hayo.
3.Kubeba mzigo mzito na kuinama na mzigo.
4.Mawazo (stress)nyingi.
5.Kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.
6.Uzito Mkubwa ( body weight).
7.Uzalishwaji

Kwashida hii wasiliana nami

Whatsap/call
0628831368
0679839988

Suluhisho la vidonda vya tumboVidonda vya tumbo vimekuwa vikiwasumbua wengi na wamekuwa wakitumia dawa nyingi kutatua ta...
19/09/2020

Suluhisho la vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo vimekuwa vikiwasumbua wengi na wamekuwa wakitumia dawa nyingi kutatua tatizo hilo lakini bado vidonda vimekuwa vikiwasumbua.

Vidonda vya tumbo vinapona pale ambapo mtu utatumia dawa sahihi kabisa ambazo zimedhibitishwa duniani kuwa zinatibu hilo tatizo,

Habari njema nikuwa kampuni yetu yenye makao makuu China na marekani wamekutengenezea dawa ya asili isiyona kemikali kabisa ambayo imetokana na mchanganyiko wa mimea, matunda na mbogamboga

Dawa hii inatambulika na mashirika ya afya duniani kote hivyo nakualika nawewe uliepata shida ya vidonda vya tumbo karibu tukuhudumie ili uweze kupona kabisa kwani madhara ya vidonda vya tumbo ni makubwa mno k**a vile kupata kansa ya utumbo, kupata bawasili, na mengine mengi

Wasiliana nasi popote ulipo nasisi tutakusikiliza na kukupa ushauri na tiba sahihi ya tatizo lako

Whatsap/call
0628831368
0679839988

Address

Mega Complex
Arusha

Telephone

+255757666508

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya mifupa na maungio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram