Afya ya uzazi kwa wanaume

Afya ya uzazi kwa wanaume Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ya uzazi kwa wanaume, Medical and health, mega complex, Arusha.

Natoa ushauri na matibabu ya changamoto za mfumo wa uzazi kwa wanaume Kama vile , Kutokutungisha mimba, kuvimba kwa tezi dume ,Saratani ya Tezi dume, Nguvu za kiume, Muathirika wa punyeto, 0748094478

0757666508
12/06/2022

0757666508

20/04/2022
KUVIMBA KWA TEZI DUMETEZI DUME Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi...
18/02/2022

KUVIMBA KWA TEZI DUME

TEZI DUME Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu (manii)ya mwanaume.

Tezi dume kupanuka

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Huwa ni jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee.Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Dalili za tezi dume iliyovimba ni:
* Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo* Mtiririko dahifu wa mkojo *Kukojoa kwa shida* Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo *Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza *Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla *Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo

Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo kwakuwa ndowanaanza . Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kwakuwa hawapendi kufanyiwa upasuaji kwasababu Ni hatari na mtu baada ya kufanyiwa UPASUAJI anakuwa hawezi kushiriki tendo la ndoa ,. Lakini ipo njia nzuri ya kutibu bila kufanyiwa upasuaji na kurudi katika Hali yako ya kawaida Sana,

Kupata maelezo ya kina au tiba, wasiliana nami popote pale ulipo kupitia namba hizi
0757666508

16/02/2022

Tatizo la kuvimba kwa TEZI DUME Ni tatizo linalowakumbwa wanaume wote wanapofikisha miaka 45 na kuendelea , tatizo Hili linatibika kabisa bila kufanya upasuaji kwakutumia tibalishe maalum kutoka marekani.

Dalili za kuvimba kwa TEZI DUME.
*Kukojoa marakwamara nyakati za usiku

*Kukojoa kwa shida

*Kutumia nguvu nyingi wakati wakukojoa

*Kutokuzaliza mkojo

*Kupunguwa nguvu za kiume

*Kushindwa kutoa haja ndogo

*Kukojoa damu

Hizo Ni baadhi ya dalili za kuvimba kwa TEZI DUME , dalili hizi hubadilika kadri unavyokaa bila kupata Tiba na kupelekea kupata kansa ya Tezi dume.

Matibabu ya changamoto hii sahihi Ni bila kufanyiwa upasuaji kwakutumia tibalishe maalum zilizosababishwa na mamlaka zote za ndani na je ya nchi.

Wasiliana nami popote ulipo niweze kukuhudumia kwa ufuatiliaji mzuri kabisa kutoka kwangu.

0757666508

Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.Tezi dume ndiyo hutoa maj...
07/02/2022

Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu (manii)ya mwanaume.

Tezi dume kupanuka

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Huwa ni jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee.Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Dalili za tezi dume iliyovimba ni:
* Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo* Mtiririko dahifu wa mkojo *Kukojoa kwa shida* Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo *Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza *Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla *Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo

Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba. Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kunasabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume. Hii siyo kweli kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tez i iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.

Kupata maelezo ya kina au tiba, wasiliana nami popote pale ulipo kupitia namba hizi

mawasiliano
0748094478

Matatizo ya tezi dume iliyotanukaTezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiw...
06/02/2022

Matatizo ya tezi dume iliyotanuka

Tezi dume ikitanuka sana huleta matatizo mengi kwa wagonjwa wengine hali hii isipotibiwa. Matatizo hayo ni k**a yafuatayo:

Mkojo kukosa kutoka kabisa
Wagonjwa wenye tatizo hili lazima wawekewe katheta ili kumimina mkojo.

Madhara kwenye kibofu na figo
Kwa sababu ya kibofu kuwa na mkojo wakati wote, ukuta na misuli yake hupanuka na mwishowe hudhoofika hivi kwamba haiwezi kuzuia mkojo.

Kwa sababu ya kibofu kujaa
mkojo hurudi kwenye figo na mwishowe huharibu figo.

Ugonjwa wa tezi dume husababisha mkojo kutiririka polepole na mtu kukojoa mara nyingi hasa usiku.

Maambukizi na mawe
Kwa sababu kibofu hakimimini mkojo wote kuna hatari kubwa ya maambukizi kwenye njia ya mkojo nakuwa na mawe kwenye kibofu.

0748094478

Dalili za kupanuka kwa tezi dumeDalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa s...
06/02/2022

Dalili za kupanuka kwa tezi dume

Dalili huonekana baada ya umri wa miaka ya hamsini . Karibu wanaume wote wenye umri wa sabini na themanini huwa na tatizo hili.Dalili huanza polepole na kuzidi jinsi miaka inavyoongezeka.Dalili hizi ni k**a zifuatazo:

Kukojoa mara nyingi hasa nyakati za usiku.Hii ni dalili ya mapema sana.

Kulazimika, mara nyingi hasa nyakati za usiku, kutumia nguvu kuanzisha mkojo kutoka. Hata pale mgonjwa anahisi kibofu kimejaa. Hii ni dalili ya mapema sana.

Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka.

Mkojo kushidwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa.

Mkojo kuendelea kutoka kidogokidogo baada ya kukojoa, matone ya mkojo huendelea kutoka hata baada ya kukojoa hivyo nguo za ndani hulowa.

Kibofu hakiishi mkojo.

*Uvimbe wa Tezi dumeTatizo la tezi dume kupanukaTezi dume hupatikana kwa wanaume tu.Tezi hili likiongezeka kwa ukubwa ya...
05/02/2022

*Uvimbe wa Tezi dume

Tatizo la tezi dume kupanuka

Tezi dume hupatikana kwa wanaume tu.Tezi hili likiongezeka kwa ukubwa yaani inapopanuka,hasa kwa wanaume wenye umri wa zaidi ya miaka sitini, hutatiza kukojoa.Ugonjwa huu unazidi kuongezeka duniani kwani watu wanaishi maisha marefu zaidi siku hizi.

Tezi dume ni nini na kazi yake ni nini?

Tezi dumeni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi wa wanaume.Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.Tezi dume ndiyo hutoa maji yabebayo mbegu (manii)ya mwanaume.

Tezi dume kupanuka

Kupanuka kwa tezi dume ni tatizo la kawaida ambalo halisababishwi na ugonjwa wa saratani(kansa).Huwa ni jambo la kawaida kwa karibu kila mwanaume mzee.Miaka inavyoenda,ndivyo tezi dume huzidi kuwa kubwa; na hufinya njia ya mkojo na kuziba mkojo.Hivyo mkojo hutoka polepole .

Ugonjwa wa kutanuka kwa tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wazee.

Hellow habari zenu , naitwa John kiza Ni mshauri wa afya ya uzazi kwa wakina baba ,Nashauri na kutibu changamoto zote za...
05/02/2022

Hellow habari zenu , naitwa John kiza Ni mshauri wa afya ya uzazi kwa wakina baba ,

Nashauri na kutibu changamoto zote za mfumo wa uzazi kwa wanaume bila kufanya upasuaji.

Changamoto K**a vile

*Kuvimba kwa tezi dume

*Saratani ya tezi dume

*Kutokuweza KUTUNGISHA ujauzito

*Kuathirika na punyeto

*Kuishiwa nguvu za kiume

*Kukosa Hamu ya tendo la ndoa

*Kutokuwa na mbegu zakiumeza kutosha

*Mbegu za kiume Kukosa shape shihi

*Kupandisha kinga ya mwili

*Uume kusinyaa.

Na changamoto nyingne zote. Matibabu haya ni bila kufanyiwa upasuaji , kwakutumia virutubishotiba tu .

Ninahudumia watu mikoa yote Tanzania na nje ya nchi.

Napatikana Arusha karibu na stand kuu ya mabasi kwenye gorofa ya mega complex
na dar es salaam kwanamba za simu zifuatazo .

0748094478
0757666508

Karibu nikihudumie muda wowote.

Address

Mega Complex
Arusha

Telephone

+255748094478

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ya uzazi kwa wanaume posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share