Afya ni mtaji

Afya ni mtaji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ni mtaji, Medical and health, Kaloleini, Arusha.

30/10/2021

🧿 ETERNAL INTERNATIONAL COMPANY 🧿

📖 Ni Kampuni ya Kimataifa kutoka Nchini China, Ambayo Ilianzishwa na Mr Gong,Zhao Hui.
🔹Kampuni Hii Inamiliki Vituo Vya Afya Takribani Mia Mbili Dunia mzima,
🔹Tanzania Kampuni ina Miaka mitano kwa sasa na Tumefanikiwa Kua na zaidi ya Vituo Kumi na nane,
na Habari Njema ni Kua Vituo 17 vinamilikiwa na Wanachama ambao ni Watanzania.

🔹Huduma Zitolewazo

📖 Ina Madaktari Bingwa Na Vipimo vya Kisasa ambavyo Vinapima Mwili Mzima Kwa gharama ndogo tu ya Tsh 15,000 ( Elfu kumi na Tano)

📖 Pia Dawa zinazotumika kutibu maradhi mbalimbali Ni Dawa Asilia Yaani Tiba Lishe,
🔹Kampuni Inatoa pia Huduma ya Ushauri Juu ya Magonjwa mbalimbali.

🔹 UENDESHWAJI WA KAMPUNI 🔹

📖 Kampuni hii Inaendeshwa Kupitia Wanachama
📖 Mwanachama ni Mtu yeyote yule ambae ataamua Kujiunga na Kampuni Yetu
📖Haijalishi Elimu yake, K**a ni Mwanafunzi,Mwalimu,Nesi,Mwajiliwa wa sekta Binafsi au Mtu ambae Hana Hajira kabisaa.
🔸Wote hao Wanaweza Kua Wanachama na Kujitengenezea Pesa Nyingi Kwa Muda wao wa Ziada Kwani Majukumu yako hayataingilia Kazi Yako.

📖Faida za kua Mwanachama ni pamoja na

📝 Malipo Ya siku Kuanzia (ELFU SABA __ ELFU KUMI) na
📝 Malipo ya Mwisho Wa Mwezi kuanzia Elfu 88,000__Million Tano+)
🔹Malipo ya Ziada K**a Kiongozi_ Kuanzia Milion Moja+
🔺Na Mwisho Kabisa ni Mwanachama Kuweza Kumiliki Kituo chako cha Afya k**a ukihitaji kufanya hivyo. (Yaani Utapewa Fursa ya Kua na Kituo Chako na Utakifungua utakapohitaji)
TANZANIA Tuna Vituo 18 Ambavyo Vinamilikiwa na Wanachama .

🔺VITU AMBAVYO MWANACHAMA HATO VIFANYA

📝 Mwanachama Hapewi Bidhaa,Kitu chochote Au Dawa yeyote aende Kuuza (Hivyo kuwawezesha Waajiliwaa Kuendelea Na Shughuli Zao).
🔸Mwanachama Halazimiki Kuja Ofsini Anaweza Kuja Mara Moja Kwa Mwezi Siku Ambayo Atakuja Kuchukua Pesa Yake.

📝 Ili Kuweza Kujua namna Ya Kua Mwanachama na Majukumu Yako K**a Mwanachama

💎 Kampuni Imeandaa Waalimu Ambao Wanatoa Mafunzo katika Vituo Vyetu Vya Afya

⭕ 0688670157

✔️ NI SABUNI YA KUONGEA INAYOTOKANA NA MMEA WA ' ALOE VERA HUONDOA NA UCHAFU NA KURUHUSU HEWA KUPITIA KATIKA VINYWELEO V...
21/08/2021

✔️ NI SABUNI YA KUONGEA INAYOTOKANA NA MMEA WA ' ALOE VERA HUONDOA NA UCHAFU NA KURUHUSU HEWA KUPITIA KATIKA VINYWELEO VYA MWILI KWA URAHISI NA KUMFANYA VIRUTUBISHO VYA NGOZI KUBAKIA

➡️ HULAINISHA NGOZI NA KUIMARISHA NGOZI YA MTUMIAJI NA KUIFANYA KUWA NA MWONEKANO MZURI

➡️ PIA NI NZURI IKITUMIWW KWA WENYE MATATIZO YA NGOZI NA WENYE NGOZI YENYE ASILI YA MAFUTA

➡️ PIA HUSAIDIA KUUA WADUDU WA MARADHI YA DAMU NA KUKINGA NGOZI NA KUONDOA CHUNUSI MWILINI.

KALIBU SANA WASILANA NASI KWA NAMBA
0688670257.
PIA MIKOANI TUNATUMA KWA BEI NAFAUU SANA.

15/07/2021

SABABU ZA TATIZO LA KUTOPATA MIMBA NA TIBA ZAKE

Tatizo la kutopata mimba linawasumbua wengi na huwapata familia kadhaa katika jamii, huweza kumpata mtu mmoja kati ya wanandoa 12 na ni tatizo linalowapata watu zaidi ya milioni 24 duniani kote.

Ugumba ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi wa mpango. Mtiririko wa upataji ujauzito ni k**a ifuatavyo;

Baada ya mwezi mmoja wa ndoa uwezo wa kushika ujauzito ni asilimia 20, baada ya miezi mitatu ya ndoa ni asilimia 50, baada ya miezi sita ya ndoa ni asilimia 75 na baada ya miezi 12 ni asilimia 90 mwanamke huweza kupata ujauzito.

Hali hii inaweza kutokea kutokana na tatizo kwa mwanaume au mwanamke, ingawa baadhi ya watu wamekuwa wakidhani wanawake peke yao ndio ambao hupata tatizo hilo.

Tatizo hili limegawanywa katika vipengele viwili kimoja ni kile ambacho mwanamke hushindwa kupata mimba baada ya mwaka mmoja wa kufanya tendo la ndoa na mume wake bila kutumia kinga kwa mwanamke mwenye umri chini ya miaka 35 (primary infertility).

Kipengele cha pili ni kile kijulikanacho k**a 'secondary infertility' ambapo mwanamke hushindwa kubeba mimba wakati siku za nyuma alishawahi kupata ujauzito.

Tatizo la ugumba huweza kupatiwa matibabu na kuisha.

KUNA TAFAUTI GANI KATI YA UGUMBA NA UTASA?

Tofauti na ugumba, utasa ni hali ya mwanamke kutoweza kushika ujauzito kabisa au mwanaume kutoweza kusababisha ujauzito kwa mwanamke kabisa.

Mtu tasa hana uwezo wa kupata mimba au kumpa mwenzi wake mimba kabisa, wakati mgumba ana uwezo wa kuja kupata mimba iwapo tatizo litaondolewa.

NINI HUSABABISHA UGUMBA?

Kuna sababu mbalimbali ambazo hupelekea ugumba kutokea kwa mwanaume au mwanamke.

WANAUME
Ugumba kwa wanaume hutokana na tatizo katika mbegu za kiume, manii kuwa kidogo, manii kushindwa kutembea, manii kuwa na umbo lisislo la kawaida au kuziba kwa mijira ya mbegu za kiume.

Kalibu sana

22/06/2021

🚺 NI RAHISI SANA KUTIBU TATIZO LA HORMONES IMBALANCE ENDAPO K**A UKIFAHAMU HAYA 🚺

🔬 Hili ni Moja katika Ya Tatizo Sugu, Miongoni Mwa Wanawake Wengi Hapa Tanzania, Inakadiriwa kua Kati ya Wanawake Kumi Basi Wanawake Sita Wanachangamoto Hii,

❣️Wanawake Wengi Hujifahamu Kua Wana Tatizo Hili Kwa Kuwauliza Watu Wao Wa Karibu Au Madaktari Wa Mtandaoni Mara Baada ya Kujiona Wana Dalili k**a Vile
♻️Kupata Maumivi Wakati Wa Hedhi
♻️Kua na Mabadiliko ya Hedhi
♻️Kupata Hedhi Mara Mbili Ndani Ya Mwezi Pamoja na Sababu K**a Hizo

♻️Usichokijua Ni Kwamba Kupata Dalili Zote Hizo Haimaanishi Basi Una Tatizo Hilo Pekee Bali Unaweza Kua Na Matatizo Ya Uvimbe Kwenye Mayai Au Mji wa Mimba Ambayo Dalili zake Huwa Sawa Na Hormones Imbalance.

❤️Wanawake Wengi Tulio Wasaidia Tuliwakuta Wana Zaidi ya Changamoto Moja Mara Baada Ya Kuwafanyia Vipimo Vya Mwili Mzima

♻️K**a Unajihisi Unapata Dalili Tajwa Hapo Juu na Una Changamoto Ya Kubeba Ujauzito Basi Unahitaji Kufanya Vipimo Kwanza Ili Kujua Nini Chanzo Hasa

K**a Hujui Wapi Utapata Vipimo Vya Mwili Mzima Basi

♻️NAPENDA Nikukaribishe ETERNAL INTERNATIONAL CLINIC

Tunatoa Huduma Ya Vipimo Vya Mwili Mzima Kwa Tsh 15,000/ tu

Tunatibu Changamoto za Uzazi na Maradhi Mengine Mengi kwa

*DAWA ASILIA YAANI TIBALISHE*

Tunapatikana

🕐Dar es salaam 🕐Morogoro
🕐Dodoma 🕐Tanga
🕐Mwanza 🕐Arusha
🕐Moshi. 🕐Kahama
🕐Singida 🕐Bukoba
🕐Kigoma 🕐Zanzibar
🕐Masasi 🕐Mbeya
🕐Iringa 🕐Kibaha
🕐Kisarawe 🕐Ifakara

📌Tafadhali Tupigie Kwa Namba

Wasup 0688670157
📲 0688670157

*MWANAMKE UKIJIFUNZA HAYA HUWEZI KUBABAIKA KIAFYA HIVYO CHUKUA HATUA KUJIFUNZA HAYA KWA FAIDA YA AFYA YAKO**Mada Zetu zi...
12/06/2021

*MWANAMKE UKIJIFUNZA HAYA HUWEZI KUBABAIKA KIAFYA HIVYO CHUKUA HATUA KUJIFUNZA HAYA KWA FAIDA YA AFYA YAKO*

*Mada Zetu zitakazo Wekwa Mezani na kufundishwa Namna ya kupambana nazo*

1.Hedhi Salama ni ipi.

2.Tatzo la kukosa hedhi.

3.Kupata Hedhi kwa mda mrefu zaidi.

4.kupata hedhi nzito

5.Tatzo la ukavu ukeni.

6.Miwasho Ukeni baada ya tendo la ndoa.

7. Maambukizi kwenye kizazi(PID)

8.kuziba kwa mirija.

9. Uvimbe kwenye kizazi.

10.Saratani Ya Matiti.

11. Mvurugiko wa homoni mwilini (hormone imbalance)

12.Ugonjwa wa UTI.

13. Saratani ya kizazi.

14.Ugumba.

*Ni Masomo Ambayo Yanawahusu Sana Wanawake na wanapaswa kujifunza ili kuepukana na dhoruba za changamoto hizi

Ili Kupata mwongozo kamili karbu inbox 0688670157

31/05/2021

➡️ AFYA NI UZIMA
PIGA/SMS/WHATSAPP +0688670157

💊💊💊💊💊
AFYA NI MALI ADIMU.

HABARI NJEMA KWAKO MTANZANIA....

✔️ TUNATOA ELIMU BURE NA KUTIBU TATIZO KWA KUTUMIA BIDHAA ASILIA AMBAZO HUKUKINGA NA KUTIBU KABISA MAGONJWA SUGU YA KIAFYA ....
✔️JE UNAHITAJI KUINGIA DARASANI KUJIFUNZA CHANZO, DALILI, MADHARA ,SURUHISHO NA NAMNA YA KUEPUKA NA MAGONGWA HAYA
🛑 Kisukari
🛑 Bawasiri
🛑 Vidonda vya tumbo
🛑 Presha
🛑 Goita
🛑 U.t.i sugu
🛑 Pumu
🛑 Typhoid
🛑 Allergy
🛑 Busha
🛑 Ngiri
🛑 Chango
🛑 Miwasho
🛑 Fangasi
🛑 Mifupa na maungio
🛑 Tezidume
🛑 Kitambi
🛑 Unene
🛑 Uzito
🛑 Moyo
🛑 Figo
🛑 Sickle cell
🛑 Ini
🛑 Kiharusi
🛑 Meno
🛑 Ukosefu wa nguvu za kiume
🛑 Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🛑 Kupandisha CD4
🛑 Michirizi
🛑 Manyama uzembe
🛑 Chunusi
🛑 Uvimbe

0688670157

*NI JUKUMU LAKO KUIPENDA AFYA YAKO

KARIBU SANA..

31/05/2021

ZITAMBUE sifa za mwanamke anayeweza kushika ujauzito na akafanikiwa

1. Ni lazima hormone Zako zijibalance

2. Ni lazima Mayai yapevuke na kuchevuka vizuri

3. Usiwe na infection ya aina yoyote aidha (UTI,FUNGUS,PID), usiwe Na UVIMBE wa aina yoyote ili mirija iwe safi na wazi

4. Ni lazima upate ule ute wa OVULATION

5. Ni lazima Kifuko cha kizazi kiwe vizuri na katika size husika

6. Ni lazima Hewa isafiri vizuri kwenye viungo vya uzazi

NJOO TUKUPATIE SIFA HIZO ILI UFANIKISHE ZOEZI LA KUTUNGA MIMBA ...........

ZINGATIA: K**A HUNA SIFA HIZO NI NGUMU SANA KUSHIKA UJAUZITO

WhatsApp 0688670157

30/05/2021

*VIDONDA VYA TUMBO*
-Vidonda vya tumbo ni nini?
🔏Ni hali ya kupatwa na vidonda katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Kitaalamu vidonda vya tumbo viko katika makundi matatu;
(1)duedinum alcers
(2)peptic alcers
(3)gastic alcers

*Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo ni:-.*
✏️Kuhisi maumivu makali tumboni.
✏️Kupata choose yenye mchanganyiko na damu
✏️Kiungulia
✏️Tumbo kujaa gesi
✏️Kukosa hamu ya chakula.
✏️Kuhisi kizunguzungu.
NB:Hizo ni baadhi tu ya dalili za vidonda.
Yawezekana wewe umekata tamaa sababu umetembea kupata matiba ya vidonda vya tumbo imeshindikana.
*KWA USHAURI NA MATIBABU NIPIGIE KWA NAMBA*
*0688670157*

30/05/2021

HABARI WAPENDWA LEO NINGEPENDA TUJIFUNZE KUHUSIANA NA UGONJWA WA U,T,I DALILI NA SULUHISHO LAKE KWA WANAWAKE

U,T,I ; Urinary tract infection,Maambukizi katika njia ya mkojo

Maambukizi haya huwa yanasababishwa na bacteria,virus,au fungus,Ni wadudu ambao wanashambulia katika mfumo wa njia ya mkojo na kusababisha Maambukizi ya u,t,i

U,T,I huathiri sehemu zifuatazo
👉🏻 Urethra (Njia ya mkojo)
👉🏻Kibofu(Bladder)
👉🏻Figo(kidney)

DALILI ZA U,T,I👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
1️⃣Kukojoa Mara kwa mara japo kua hujanywa maji mengi au kumiminika chochote

2️⃣ Kukojoa damu au mkojo wa kahawia nyeusi

3️⃣Kuhisi maumivu au kuungua wakati wa Kukojoa

4️⃣ Maumivu ya tumbo na misuli

5️⃣Mkojo kua na harufu kali

6️⃣ Maumivu ya mgongo

7️⃣ Maumivu sehemu ya kibofu cha mkojo

NJIA ZA KUJIKINGA NA U,T,I 👇🏻👇🏻
1️⃣KUNYWA MAJI MENGI,,Itafanya ukojoe k**a kuna bacteria katika mfumo wa Mkojo huondolewa na kua (flashed)na ule mkojo unaokua unautoa,,Pia mkojo wako utakuwa (light) k**a utakua hauna rangi ya njano

2️⃣UMALIZAPO KUKOJOA UNASHAURIWA KUKOJOA KUTOKA MBELE KWENDA NYUMA ,,Ili kuepusha kuwatoa bacteria katika mfumo wako wa chakula kwenda kuwaingiza katika mfumo wako wa Uzazi,, na kufanya waingie katika mfumo wako wa mkojo na wakaanza kusambulia

3️⃣ KUBADILISHA NGUO ZAKO ZA NDANI MARA KWA MARA

4️⃣KUVAA NGUO ZA NDANI ZENYE ASILI YA PAMBA ZISIWE ZENYE KUBANA

5️⃣KUVAA NGUO ZA NDANI ZILIZOKAUKA VIZURI

K**A UNAONA DALILI ZAIDI YA 3 JUA KABISA UMESHAATHIRIKA NA UGONJWA WA U,T,I

Kwa tiba na ushauri piga simu 0688670157

30/05/2021

Address

Kaloleini
Arusha

Telephone

+255688670157

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni mtaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram