My Health

My Health Aiming to promote awareness and raise knowledge on the public health issue to the community & global.

Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.International Worker's Day ✊🏿
01/05/2024

Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

International Worker's Day ✊🏿


Kujitoa uhai bado ni moja ya sababu kuu za vifo duniani koteKatika vifo 100 kifo kimoja inatokana na kujitoa uhai.Kila m...
09/04/2024

Kujitoa uhai bado ni moja ya sababu kuu za vifo duniani kote

Katika vifo 100 kifo kimoja inatokana na kujitoa uhai.

Kila mwaka watu wengi hufariki kwasababu ya kujitoa uhai kuliko ya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi, malaria au saratani ya matiti, au vita na mauaji.
,
Kulingana na makadrio ya hivi karibuni ya shirika la Afya Duniani (WHO) yanaonyesha kujitoa uhai duniani kote mwaka 2019 zaidi ya watu 700,000 walifariki kwa kujitoa uhai.

Source: WHO World Health Organization (WHO) World Health Organization Tanzania .mentalhealth National Institute of Mental Health and Neurosciences

25/12/2023

Wish you Merry Christmas and Prosperous New Year 2024 🎊

24/12/2023

Wishing you a Merry Christmas filled with good health, happiness, and joy!

To all our amazing supporters, friends, and family, you're the reason we love what we do.

Here's to a healthy and happy New Year ahead!

Everyone

Leo ni Siku ya Kuzuia Kujiondoa Uhai DunianiKauli Mbiu "Tengeneza Tumaini Kwa Matendo"
10/09/2023

Leo ni Siku ya Kuzuia Kujiondoa Uhai Duniani

Kauli Mbiu "Tengeneza Tumaini Kwa Matendo"

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when My Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram