Afya bora

Afya bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya bora, Doctor, Arusha.

Tatizo LA hormone imbalance limekua kubwa sasa ,na limeleta madhara makubwa k**a tajwa apa chiniZipo zitu vinavyo sababi...
28/07/2022

Tatizo LA hormone imbalance limekua kubwa sasa ,na limeleta madhara makubwa k**a tajwa apa chini

Zipo zitu vinavyo sababisha kivurugika kwa hormone k**a

1.Magonjwa Uti/Pid/Fangasi na nk
2.Matumizi ya Madawa kiholela
3.Ulaji mbovu
4.Uzazi wa Mpango
5.Madhingira na nk

Hizi ni baadhi ya Dalili za hormone imbalance hasa kwa wanawake

1.ukavu uken

2.Maumivu wakat wa tendo

3.Maumivu chini ya kitovu

4.Mabadiliko ya siku za hedhi

5.kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku sab au kujaza pedi moja kwa saa moja)

6.Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

7.Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

8.Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

Usipuuuze sio lazima uwe na dalili zote wai mapema kuepuka madhara makubwa na gharama ya matibabu

MADHARA YA HORMONE IMBALANCE

1.•Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

2•Mimba kuharibika mara kwa mara;

3•Kukosa mtoto au Ugumba

4•Maumivu wakati wa tendo la ndoa

5•Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

6•UTI na PID za mara kwa mara au rudizi

7•Kuzeeka mapema

8•Kuziba kwa mirija ya uzazi

9•Saratani

10•Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

SULUISHO LA HORMONE IMBALANCE

Tume wasaidia wengi sana wenye changamoto k**a hiyo na wamepona kabisa kwa kutumia Virutubisho lishe

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi ushauri na tiba

Tupo
Arusha,

FAIDA ZA ZAMINOCAL PLUS CAPSULE Bidhaa hii ni tajiri wa madini ya Zink ,Calcium ,Magnesium ,Amino Acid ,Selenium katika ...
28/07/2022

FAIDA ZA ZAMINOCAL PLUS CAPSULE

Bidhaa hii ni tajiri wa madini ya Zink ,Calcium ,Magnesium ,Amino Acid ,Selenium katika kidonge kimoja Faida zake Mwilini

1.Husaidia Mifupa kua imara zaidi kuzui kuvunjika haraka

2.Husaidia ufyonzwaji mzuri wa chakula mwilini

3.Husaidia sana mfumo wa fahamu/ubongo kua na kumbukumbu

4.Huupa mwili nguvu na kuongeza kinga ya mwili

5.Husaidia kua na umbile lililo kaza na lenye kunawiri (Me)

6.Husaidia sana na ni muhimu katika tendo la ndoa me na ke

7.Husaidia wanaume kutoa mbegu zenye rutuba na za kutosha

8.Husaidia mwanamke katika suala ya upevushwaji na ukomavu wa mayai

9.Husaidia kupunguza maumivu wakati wa hedhi

10.Ni nzuri kwa Mama anae nyonyesha(Huongeza maziwa yenye virutubisho kwa mtoto )

11.Husaidia Mama majamzito kupata mtoto mwenye afya bora na kuzui mimba kutoka/kuharibika .

12.Huongeza hamu ya kula Mara dufu

13.Huimarisha kucha na meno kua inara zaidi

14.Huondoa kuganda kwa damu pia Husaidia vidonda kupona kwa haraka

15.Ni nzuri sana kwa wanao kufa ganzi viungo ikitumika na Micro

Bidhaa hii ni ya asili haina kemikal ni nzuri kwa Mtoto ,Kijana ,Mzee ,Mama mjamzito ,Mama anae nyonyesha Ni vyema kua nayo ndani

Tunapatikana
Arusha
Mwanza
Dodoma
Dar es salaam

Mikoani tunatuma bila shaka karibu sana

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}**BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya...
28/07/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

*CHANZO CHA BAWASIRI*
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika

Call➖text&sms➖whatsapp👇

0716859309

SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏

KWANINI BAADHI YA WATU WANA DHAKARI NDOGO?Hali hii husababishwa na mambo mbali mbali k**a vile;*Kujichua Kwa muda mrefu*...
27/07/2022

KWANINI BAADHI YA WATU WANA DHAKARI NDOGO?

Hali hii husababishwa na mambo mbali mbali k**a vile;

*Kujichua Kwa muda mrefu
*Unene
*Jando katika umri mdogo
*Kuzaliwa na asili ya maumbile madogo

SULUHISHO

power man ... inayoaminiwa na kutumiwa na jamii kurefusha na kunenepesha dhakari
*Ni dawa ya kunywa
*Inarefusha na kunenepesha dhakari pia inaongeza nguvu
*Inaimairisha mishipa ya dhakari
*Inaongeza hamu ya tendo
*Inakufanya uchelewe kumaliza na inakupa uwezo wa kurudia tendo mara nyingi zaidi
matokeo yanaanza siku ya tatu ya matumizi ya dawa
*Bei sh 55000

KARIBUNI OFISINI KWETU ARUSHA MWANZA, PIA TUNA MAWAKALA DSM , MOROGORO NK

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE, TUTUMIE SMS AU WHATSAPP KWA NAMBA 0716859309

Wa.me/255716859309

DR. TS TOOTHPASTE1.Inang'arisha Meno.2.Huyapa nguvu meno yalio toboka3.Huzuia meno yasitoboke4.Huondoa fangasi ya kinywa...
27/07/2022

DR. TS TOOTHPASTE

1.Inang'arisha Meno.

2.Huyapa nguvu meno yalio toboka

3.Huzuia meno yasitoboke

4.Huondoa fangasi ya kinywa

5.Inatibu Fizi zilizo vimba na kuzuia fizi zisiitoe damu

6.Huondoa maumivu ya Meno

7.Huondoa hali ya kufa Ganzi kwa meno

8.Inaondoa Harufu Mbaya Mdomoni

9.Inaondoa Ufubau Wa Meno.

VITU VILIVYO TENHENEZA DR TS TOOTHPASTE

Honey Suckle
Huzuia Kuvimba Kwa Fizi.

Nitoginseng
Huzuia Fizi Kutoka Damu.

Blue Cleaning Factor.
Hunga'arisha Meno, Huondoa Ganzi, Huondoa Ufubavu Wa Meno.

Green Tea Factor
Huondoa Vimelea Waharibifu Mdomoni.

Ni bidhaa ya asili kabisa haina madhara wala kemikal

Kwa maelezo zaid wasiliana Nasi call, sms, what's up 0716859309

wa.me/255716859309

*FANGASI KWA MWANAUME TUFAHAMU KWA UNDANI KABISA TATIZO HILI*Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa...
19/07/2022

*FANGASI KWA MWANAUME TUFAHAMU KWA UNDANI KABISA TATIZO HILI*

Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa na fangasi tu, ndiyo maana nimepata maswali ya wasomaji juu ya matibabu na jinsi ya kujikinga na fangasi kwa kuwa wanaamini muwasho unaowasumbua kwa muda mrefu ni matokeo ya maambukizi ya fangasi.

Watu wanapaswa kufahamu kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani ndani ya mwili wako pengine isiwe ni fangasi na ikawa ni mzio (allergy) tu.

Mara nyingi muwasho sehemu za siri unaosababishwa na kitu huisha wenyewe kitu hicho kikiondolewa. Kuondolewa kwa kitu hicho kunatia ndani matibabu sahihi na kuendelea na njia bora za kujikinga kutopata maambukizi tena. Vitu vingine vinavyosababisha muwasho huhitaji matibabu ya hali ya juu zaidi. Ikiwa unawashwa kwa muda mrefu ni vyema kuzungumza na daktari. Kukaa na ugonjwa kwa muda mrefu kunaweza sababisha ugonjwa kusambaa mwilini na kuongeza hatari ya kifo.

Nini husababisha Muwasho Sehemu za Siri za Mwanaume?
Kuwashwa uume au sehemu zingine za siri za mwanaume husababishwa na sababu zile zile zinazosababisha muwasho sehemu nyingine za mwili.

Maradhi ya fangasi husababisha muwasho kwa wanaume wengi, sababu nyingine ni k**a ugonjwa wa upele (scabies), kuwepo kwa chawa, mzio na maambukizi mengine ya bakteria. Maambukizi hasa ya magonjwa ya zinaa ndio chanzo kikuu cha kuwashwa uume.

Fangasi sehemu za siri za mwanaume ni nini?
Maradhi ya fangasi (Candidiasis) husababishwa na vimelea viitwavyo Candida albicans. Vimelea hivi hushambulia jinsia zote ingawa hushambulia sana jinsia ya k**e kutokana na maumbile yao ya sehemu za siri kuwa na unyevunyevu kitu kinachosababia wao kuathiriwa zaidi.

Watu wengi wana vimelea hivi katika miili yao kwa kiwango kidogo sana. Kinga ya mwili ikisaidiwa na bakteria walinzi wa mwili huweza kupambana na vimelea hivi.

Mwanaume anapataje fangasi sehemu za siri?
Mtu anapokunywa dawa za kuua bakteria kutokana na ugonjwa mwingine wa bakteria k**a kuhara damu, husaba

FAHAMU KUHUSU NMN (KIRUTUBISHO LISHE)Kutibu Kisukari, Pressure, Tezi dume na ni ANT_AGING.Kuhusu NMN(Nicotinamide MonoNu...
16/07/2022

FAHAMU KUHUSU NMN (KIRUTUBISHO LISHE)
Kutibu Kisukari, Pressure, Tezi dume na ni ANT_AGING.

Kuhusu NMN(Nicotinamide MonoNucleotide.
Kumbuka yafuatayo

ukitumia NMN mwili unaibadilisha kuwa NAD+ (Nicotinamide Adenine Dinuclotide ) chanya.(Aina Fulani ya kimengenywa saidizi yaani coenzyme.)

Hii NAD+ ndio inayofanya ukarabati wa mfumo wa DNA( vinasaba). Na matokeo yanakuwa K**a ifuatavyo ifuatavyo;

1 NAD+Inarekebisha na kuimarisha seli za mifumo ya fahamu hasa ubongo.

2 Inaimarisha utoaji na ufanyaji kazi wa insulin(hivyo kuthibiti magonjwa ya sukari ) na kuvunja vunja kiwango cha sukari mwilini

3 Inazuia magonjwa mengine yanayotokana na umri K**a cancer, magonjwa ya moyo n.k

4 Inarekebisha seli za ngozi hivyo kupunguza uchakavu na kuchoka wa ngozi (MAKUNYANZI) na kuweka mwonekano wa ujana.

5 Inaruhusu virutubishi kwenye mwili kuchakatwa kwa ubora wa Hali ya juu.

Ni muhimu kumbuka kwamba mwili unatengeneza NAD+
Lakini inaendelea kupunguza jinsi umri unavyo sogea.

Note: NMN Capsules hutibu kabisa KISUKARI na PRESSURE kwa miezi 3 ya matumizi hasa ikitumika na Micro2 hurekebisha Kongosho na kuzaliaha kongosho laki

NI ANTI_AGING
Mfano ukifika umri wa miaka 40 mpaka 50.Kiasi cha NAD+ kinakua Ni nusu ya Ile uliokuwa nayo ikiwa na miaka 18 Hadi 30.
Kwa hiyo K**a hutaki changamoto za matatizo ya umri mkubwa Ni lazima upate chanzo Cha nje ya mwili Cha NAD+ ambayo ndio NMN .

Wasiliana Nasi kuipata

Imethibitishwa na Mamlaka zote nchini TBS na TFDA
Tunatoa Tiba kwa magonjwa mbalimbali k**a KISUKARI, PRESSURE, BAWASIRI, TEZI DUME ,VIMBE(Fibroids) bila upasuaji, UPUNGUFU NGUVU ZA KIUME, Homon Imbalance nk
Tunapatika
Arusha, Dar, Dodoma, Mwanza Mbeya nk
Kwa mahitaji ya kirutubisho hiki wasiliana nasi

wa.me/255716859309

FEMICARE_feminine_cleanser  Nisalama na UhakikaNi dawa maalumu iliyotengenezwa na madini yapatikanayo magharibi mwa ziwa...
12/07/2022

FEMICARE_feminine_cleanser

Nisalama na Uhakika

Ni dawa maalumu iliyotengenezwa na madini yapatikanayo magharibi mwa ziwa la chumvi lililopo magharibi mwa nchi ya Marekani

KAZI YA FEMICARE

-Inalinda na kutibu sehemu za siri za mwanamke

_ Inasaidia kurudisha sehemu za siri kuwa zakawaida kwa wale ziliolegea

-Inaondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa

-Huondoa ukeni

-Huondoa majimaji yaliyozidi ukeni

-Huondoa muwasho na vidonda/mapele yaliyosababishwa na Fangasi

-Huulinda uke dhidi ya magonjwa k**a U.T.I na fangasi na magonjwa mengine ya ukeni

-Huzibua mirija ya uzazi iliyoziba

-Huufanya uke kuwa safi na salama muda wote



Tumia femicare muda wowote kwa usafi na ulinzi wa uke wako...piga



Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi

wa.me/255716859309

JE UNAJUA MADHARA YA KUJICHUA  1.KUMALIZA NGUVU ZA KIUME Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiu...
12/07/2022

JE UNAJUA MADHARA YA KUJICHUA

1.KUMALIZA NGUVU ZA KIUME
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume,

Kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa k**a umelegea.

2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO NA KUSINYAA KWA MAUMBILE YA UUME

Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.

3.Uchovu wakati wote /

4.Maumivu ya nyonga na mgongo wa chini / Lower back pain.

5.Kusinyaa kwa Nywele na nywele kunyonyoka

6.Maumivu ya kende

7.Maumivu ya kiuno

8.kusababisha low s***m count.

9.Kufanya kuwa na upungufu wa madin mwili(zinc,calcium,selenium n.k)

10.kupunguza au kuto kuwa na uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito

Hayo ni baadhi tu ya madhala kati ya mengi

Ili uweze kua sawa na kurud katika hali yako unaweza kuwasiliana nasi kwa msaada zaidi

Tumewasaidia wengi na wamepona kabisa kwa kufuata ushauri tulio wapatia
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi



wa.me/255716859309

  NI NINI    Ni mchanganyiko wa virutubisho vyenye Antioxidant na Anti-aging Mchanganyiko huo huo unaondoa mikunjo ya Ng...
12/07/2022

NI NINI

Ni mchanganyiko wa virutubisho vyenye Antioxidant na Anti-aging Mchanganyiko huo huo unaondoa mikunjo ya Ngozi (Makunyanzi)⁸ na kurudisha Ngozi katika hali ya ujana yenye mvuto zaidi.
↪️Antioxidant inaondoa sumu mwilini na
kukuupatia mwili nguvu upya na kinga dhidi ya magonjwa ya uzeeni. Mchanganyiko wa resverantrol na NMN unarudisha umri nyuma kwa kuunda upya speed ya NAD+ ambayo inazuia magonjwa yanaoletwa na uzee;
➡️ Sukari

➡️ Pressure

➡️ Kusahau

➡️ kuangamiza cells za saratani

➡️ Kuboresha afya ya moyo



1️⃣ Husaidia kukinzana na uzee

2️⃣ Husaidia kukinzana na Saratani yoyote ile

3️⃣ Husaidia kutengeneza DNA mpya

4️⃣ Ni nzuri sana katika kupambana na matatizo ya wanawake, Ngozi, Matatizo ya uzazi

5️⃣ Husaidia kuboresha mishipa ya damu na misuri

6️⃣ Kumbuka hii Bidhaa Inatumika Na Jinsia Yoyote Karibu sana

IJUE KAZI YA X-POWER MAN CAPSULES NA FAIDA ZAKE.         X-POWER MAN CAPSULES ni bidhaa yenye mchanganyiko wa hali ya ju...
12/07/2022

IJUE KAZI YA X-POWER MAN CAPSULES NA FAIDA ZAKE.

X-POWER MAN CAPSULES ni bidhaa yenye mchanganyiko wa hali ya juu ya virutubisho vinavyo boresha afya ya uzazi kwa mwanaume

VIUNGO
* EPIMEDIUM -ni kirutubisho kinachoongeza hamu ya tendo la ndoa,, kinasaidia kuchelewa kufika kileleni na kuongeza uwezo wa s***m kurutubisha yai

* MACA -Inaongeza nguvu kwa mwanaume na kusimama kwa uume

FAIDA ZAKE

* Ina mchanganyiko wa kipekee wa vyakula vya asili vinavyoongeza ufanisi katika tendo la ndoa

* Inamuongezea mwanaume uwezo wa kufanya tendo la ndoa bila madhara yoyote

* Inasaidia kumuongezea mwanaume hali ya kujamiana

* Kuongeza wingi na ubora wa manii

* Inaondoa uchovu na msongo wa mawazo

* Inaboresha mzunguuko wa damu kwenye uume hali inayosaidia uume kusimama vizuri zaidi

AFYA NZURI KWA WATOTOFAIDA ZA DR COW SMART GAMMIES KWA MWANAOImetengenezwa na Maziwa ya Asili, Mafuta ya Samaki,Omega 3,...
12/07/2022

AFYA NZURI KWA WATOTO

FAIDA ZA DR COW SMART GAMMIES KWA MWANAO

Imetengenezwa na Maziwa ya Asili, Mafuta ya Samaki,Omega 3,Matunda ,Ina madini na Vitamin Muhimu sana kwa watoto

1.Huongeza kinga ya mwili kwa haraka

2.Huongeza afya ya ubongo ivyo kumpa kumbu kumbu

3.Huimarisha afya ya mifupa na meno

4.Huongeza hamu ya kula ivyo kumfanya mtoto mwenye afya njema Mara dufu

5.Huongeza Vitamin na Madini muhimu kwa mtoto anayo kosa kutoka kwa mama au kwa vyakula anavyo kula kila Siku

6.Huimarisha afya ubongo ,Neva na Misuli ivyo Husaidia watoto wanao kojoa kitandani, kuchelewa kusikia ,shida ya macho na kuongea

7.Huongeza afya ya mifupa na misuli ivyo Husaidia watoto wanao chelewa kutembea ,

8.Huwafaa pia watu wazima kwa walio na shida ya kumbu kumbu ,macho na nk

9.Ni nzuri sana akitumia mama majamzito ili kumpatia mtoto vizutubisho akiwa tumboni

Bidhaa hii ni ya asili aina kemikal ndani yake MTU yeyote anaruhusiwa kutumia

Tunapatikana
Arusha

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category