Tulia Hub

Tulia Hub Tulia Hub kituo cha karakana ya afya kwa kutumia mbinu mtambuka ikiwamo ushauri wa kitabibu, vyakula

Piga mazoezi nasi, vuta pumzi ya imani na pokea ushauri kuhusu milo. Yote ndani ya Tulia Hub, afya yako ndo malengo yetu...
13/03/2023

Piga mazoezi nasi, vuta pumzi ya imani na pokea ushauri kuhusu milo. Yote ndani ya Tulia Hub, afya yako ndo malengo yetu.

20/02/2023
Siku njema ya wapendanao kutoka kituo cha Tulia hub. Jiunge nasi upate afya yako kamili bila kutumia dawa nyingi.
14/02/2023

Siku njema ya wapendanao kutoka kituo cha Tulia hub. Jiunge nasi upate afya yako kamili bila kutumia dawa nyingi.

Kinachohitajika ni kuamini uponyaji wako mwenyewe, mazoezi yanaweza kurekebisha hali nyingi za kiafya.Tulia hub tunakusa...
30/01/2023

Kinachohitajika ni kuamini uponyaji wako mwenyewe, mazoezi yanaweza kurekebisha hali nyingi za kiafya.

Tulia hub tunakusaidia kuurudia mwili thabiti wenye afya bila kutumia dawa nyingi bali kwa mazoezi na ushauri wa afya.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo ili kujiunga
+255 739 357 000 au
+255758100001
Barua pepe: tuliahub@gmail.com

Shinikizo la damu ni hatari, huongezeka kwa umri. Lakini kufanya mazoezi fulani kunaweza kuleta mabadiliko makubwa. Ikiw...
18/01/2023

Shinikizo la damu ni hatari, huongezeka kwa umri. Lakini kufanya mazoezi fulani kunaweza kuleta mabadiliko makubwa. Ikiwa shinikizo la damu tayari liko juu, mazoezi yanaweza kukusaidia kudhibiti.
Mazoezi ya mara kwa mara hufanya moyo kuwa na nguvu. Moyo wenye nguvu unaweza kusukuma damu nyingi kwa bidii kidogo. Matokeo yake, nguvu kwenye mishipa hupungua. Hii inapunguza shinikizo la damu.

Juinge na Tulia Hub sasa ili pamoja tuweze kupambana na tatizo hilo ili kukurudishia afya bora.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo ili kujiunga
+255 739 357 000 au
+255758100001
Barua pepe: tuliahub@gmail.com

Habari!Je, unasumbulia na magonjwa ya muda mrefu yasiyoambukiza k**a vile kisukari, presha, mapafu dhaifu, kunywa pombe ...
22/12/2022

Habari!
Je, unasumbulia na magonjwa ya muda mrefu yasiyoambukiza k**a vile kisukari, presha, mapafu dhaifu, kunywa pombe kupita kiasi, madhara ya kupooza, au unene kinzani?

Karibu Tulia Hub ambapo huduma za mazoezi tiba zinapatikana, yaani ukarabati wa afya kwa njia ya mazoezi, ushauri na mwongozo wa kitabibu.

Piga simu au whatsapp: +255 739357000
Andika barua pepe: tulia@eahponline.net
Tutembelee: Kijenge GG off Nelson Mandela Road (mkabala na kituo cha mafuta cha Meru)
Tovuti: www.eahponline.net/tuliahub

16/12/2022

Address

Kijenge
Arusha

Opening Hours

Monday 08:30 - 04:00
Tuesday 08:30 - 04:00
Wednesday 08:00 - 04:00
Thursday 08:00 - 04:00
Friday 08:00 - 04:00
Saturday 08:00 - 12:00

Telephone

+255739357000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tulia Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share