Tiba ya magonjwa sugu

Tiba ya magonjwa sugu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba ya magonjwa sugu, Medical and health, Arusha.

*PID na magonjwa inayoweza kusababisha.* _Madhara yanayoweza kutokea_ ✍🏿 Mimba nje ya mirija (ectopic pregnancy). PID nd...
07/08/2022

*PID na magonjwa inayoweza kusababisha.*

_Madhara yanayoweza kutokea_
✍🏿 Mimba nje ya mirija (ectopic pregnancy).
PID ndiyo sababu kubwa ya mimba kutunga nje ya kizazi. Mimba huweza kutunga nje ya kizazi endapo PID imesababisha makovu ndani ya mirija ya uzazi. Makovu haya husababisha yai lililopevushwa kushindwa kusafiri ndani ya mirija ya uzazi kuelekea kwenye nyumba ya uzazi. Badala yake yai hunata ndani ya mirija ya uzazi . Mimba nje ya kizazi husababisha utokaji wa damu usio wa kawaida unaoweza kukatisha maisha ya mwanamke.
✍🏿 Ugumba.
Uharibifu wa viungo vya uzazi huweza kusababisha ugumba – kushindwa kupata ujauzito. Kadiri unavyozidi kupata PID mara nyingi zaidi, ndivyo hatari ya ugumba inavyozidi. Kuchelewa kupata tiba ya PID kunaongeza hatari ya ugumba.

✍🏿. Maumivu sugu ya nyonga.
PID inaweza kusababisha maumivu ya nyonga yanayoweza kudumu kwa miaka mingi. Makovu ndani ya mirija ya uzazi na viungo vingine vya uzazi huweza kuleta maumivu wakati wa kujamiiana na wakati yai linadodondoshwa (ovulation).
✍🏿Tubo-ovarian abscess.
PID huweza kusababisha kutunga kwa usaha na kufanya majipu ndani ya njia ya uzazi. Mara nyingi majibu haya hutokea ndani ya mirija ya uzazi na ovari, ingawa huweza kuota ndani ya nyumba ya uzazi na shingo ya kizazi. K**a tiba haitatolewa, unaweza kupata maambukizo hatarishi kwa maisha.
Kwa mawasiliano tupigie +255688910318

*OFA!! OFA!!* _LENGO NI KUHAKIKISHA TUNABORESHA NA KUIMARISHA AFYA YAKO MAANA AFYA YAKO NDIO UTAJIRI WAKO...._ *TUMIA KI...
07/08/2022

*OFA!! OFA!!*
_LENGO NI KUHAKIKISHA TUNABORESHA NA KUIMARISHA AFYA YAKO MAANA AFYA YAKO NDIO UTAJIRI WAKO...._
*TUMIA KIRUTUBISHO RISHE COMPLETE PHYTO ENERGIZER...* Kwa afya bora.. unaweza kujitibu na kujikinga na magonjwa yafuatayo
πŸ“Œ1.PID
πŸ“Œ2.VIDONDA VYA TUMBO.
πŸ“Œ3.MATATIZO YOOTE YA UZAZI.
πŸ“Œ4.KISUKARI.
πŸ“Œ5.SHINIKIZO LA DAMU.
πŸ”¨6.BAWA SIRI.
πŸ”¨7.MIGUU KUVIMBA NA KUWAKA MOTO.
πŸ”¨8.NGUVU ZA KIUME NA HAMU YA TENDO LA NDOA.
πŸ”¨9.UPUNGUFU WA DAMU.
πŸ”¨10.MAGONJWA YA MOYO.
βœ”οΈ11.MATATIZO YA FIGO.
βœ”οΈ12.KUONDOA SUMU MWILINI.
βœ”οΈ13. UTI & FANGASI ZILIZOSHINDIKANA....
NK.......

πŸ’₯INAPATIKANA SASA KWA BEI YA PUNGUZO... BADALA YA 80000/= UNAIPATA KWA 55000/= *TU!!!* 😱😱😱 HII *HAIJAWAHI KUTOKEA KABISAA!!* πŸ€”πŸ€”πŸ€” WAHI SASA ZIMEBAKI CHACHE.. *OFA HII MWISHO NI TAREHE 10/08/2022*

*KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255688910318* AhsanteπŸ™πŸ™.

21/07/2022

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba ya magonjwa sugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram