Afya Unity

Afya Unity tunatoa huduma ya delivery kwa uaminifu mkubwa kwa watu wa mikoani kupitia njia ya basi kwa gharama nafuu kabisa

Tunatoa elimu kuhusu Afya kwa ujumla pamoja na suluhisho la magonjwa mbali mbali kwa kutumia viini lishe ambavyo vimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu sanaa na kuthibitishwa na mamlaka za ndani na nje ya nchi.

Kwa mtaji mdogo kabisa wa Tsh.46000 utaweza kutimiza ndoto zako za kutalii nje ya nchi bila kulipia hata senti 1..nichek...
05/10/2022

Kwa mtaji mdogo kabisa wa Tsh.46000 utaweza kutimiza ndoto zako za kutalii nje ya nchi bila kulipia hata senti 1..nicheki kupitia 0765525748 nikupe mchongo mzima.

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}**BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya...
07/06/2022

*TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE}*

*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
➖ Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa

*CHANZO CHA BAWASIRI*
➖ Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
➖ Tatizo sugu la kuharisha
➖ Ujauzito
➖ Uzito wa mwili kupita kiasi
➖ Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
➖ Kupata haja kubwa ngumu
➖ Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
➖ Kunywa pombe
➖ Kula sana nyama nyekundu
➖ Vidonda vya tumbo
➖ Ngiri(Chango/Hernia
➖ Kula sana pilipili
➖ Kunyanyua vitu vizito

*DALILI ZA BAWASIRI*
➖ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
➖ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
➖ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
➖ Kupata kinyesi chenye damu
➖ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
➖ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
➖ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
➖ Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda
➖ Uume kusinya (unapoteza urefu na ukak**avu)

*MADHARA YA BAWASIRI*
➖ Upungufu wa damu mwilini
➖Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
➖ Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
➖ Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
➖ Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
➖ Kupata tatizo la kisaikolojia
➖ Kutopata ujauzito
➖ Mimba kuharibika

Call➖text&sms➖whatsapp👇

0672575505

SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA 🙏🙏🙏

Offer offer offerJipatie femicare kwa bei ya offer ya Tsh.35000 tu..ofa hii ni ya siku 3 tu kuanzia tarehe 08/5/2022-12/...
08/05/2022

Offer offer offer
Jipatie femicare kwa bei ya offer ya Tsh.35000 tu..ofa hii ni ya siku 3 tu kuanzia tarehe 08/5/2022-12/5/2022
Wasiliana nasi sasa kupitia 0672575505 kupata huduma hii kabla offer haijaisha

🍀Je umeteseka kwa kwa muda mrefu na vidonda vya tumbo?🍀Je wajua kua vidonda vya tumbo husababisha kifo?🍀Je wajua kwamba ...
08/04/2022

🍀Je umeteseka kwa kwa muda mrefu na vidonda vya tumbo?
🍀Je wajua kua vidonda vya tumbo husababisha kifo?
🍀Je wajua kwamba kwa mamia ya watu wapemona vidonda vya tumbo na wanakula vyakula wavipendavyo?
🍀Je wafahamu kua viini lishe ndio mkombozi pekee wa changamoto ya vidonda vya tumbo?
🥀Tunatoa huduma ya viini lishe kwaajili ya kutibu vidonda vya tumbo kwa ufanisi mkubwa.Acha kuendelea kuteseka ndugu yangu.njoo upate tiba sahihi kwa wabobezi wa viini lishe sasa kabla tatizo halijawa kubwa zaidi.
Call/whatsapp:0672575505

FAIDA /UMUHIMU WA REFINED YUNZHI >>KUIMARISHA KINGA YA MWILI >>KUZUIA KUKUA NA KUENEA KWA SELI ZA KANSA >>KUIMARISHA HOR...
07/04/2022

FAIDA /UMUHIMU WA REFINED YUNZHI

>>KUIMARISHA KINGA YA MWILI

>>KUZUIA KUKUA NA KUENEA KWA SELI ZA KANSA

>>KUIMARISHA HORMONES na kuondonsha kabisa tatizo la HORMON IMBALANCE

>>KUYEYUSHA UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA UPASULIWAJI na Vimba sehemu mbali mbali za mwili

>>HUWASAIDIA WENYE TATZO LA KUTOPATA UJAUZITO/mimba

>>HUONDOSHA TATIZO LA MIMBA KUHARIBIKA MARA KWA MARA

>>HUWASAIDIA WANAWAKE WANAOPATA MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

>>Huwasaidia wenye tatzo la kutokua na HAMU Ya kushiriki Tendo la Ndoa

>>Nzuri Kwa Wenye P.I.D na MATATIZO mbali mbali kwenye MFUMO WA UZAZI Kwa wanawake

>>NZURI KWA WALIOFANYIWA VIPIMO/Tiba za mionzi

>>HUONGEZA UTETE sehemu za Siri za Mwanamke na kumsaidia kutopata maumivu wakati wa Tendo la Ndoa

•••Ni kinga ya KUZUIA kutokewa na vimbe sehemu mbalimbali za mwili na kuzuia SELI za kansa,HIVYO HUWEZA KUTUMIWA NA MTU YEYOTE.

Note:NI BIDHAA YA ASILI ISIYO NA KEMIKALI YOYOTE na Haina madhara kwa watumiaji.

& SHARE UJUMBE HUU KUWASAIDIA WENYE MATATIZO HAYO 🙏🙏

Call/WhatsApp:0672575505

07/04/2022

*DALILI 10 ZA UPUNGUFU WANGUVU ZA KIUME,,*

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

👉uume mfupi yaani kibamia inaongeza saiz ya uume uitakayo yaani unene na urefu usiopungua nchi 9 adi 12.

K**A UMEKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A YOYOTE KATI YA HIZO AU ZOTE USISITE,

Tuma ujumbe neno AFYA kwenda whatsapp namba +255672575505

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Unity posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Unity:

Share