24/02/2026
🦷✨ Je, una dalili hizi? Ni muda wa kufanya Dental Cleaning!
✔️ Fizi kuvuja damu
✔️ Harufu mbaya ya mdomo
✔️ Tartar (mawe kwenye meno)
✔️ Madoa ya meno
Usisubiri hadi maumivu yaanze!
Dental cleaning husaidia kuzuia magonjwa ya fizi na kukupa tabasamu safi na lenye kujiamini 😁💙
📍 PPF Njiro – Arusha
📞 +255 765 100 630
📅 Book appointment leo!