04/01/2026
Mwaka 2026 umeanza vizuri sana na umekuwa ni mwaka wa bahati sana,tumeanza mwaka huu kwa kupokea ushuhuda kutoka kwa mgonjwa wetu ambaye amebahatika kushika ujauzito. Baada ya kutumia dawa nyingi kwa muda wa miaka 8 bila kushika ujauzito,mwaka jana mwezi wa 10 alianza kutumia dawa zetu na mwaka huu 03/01/2026 ameshika ujauzito. Haya ni mafanikio makubwa kwetu na tunajivunia sana.
NB: Bado unayo nafasi ya kushika ujauzito ndani ya muda mfupi sana,ikiwa bado haujabahatika kushika ujauzoto tunakukaribisha sana ili tuweze kukusaidia.
Piga simu: 0742082881 | 0628776494
WhatsApp: 0742082881