Brighter heath care

Brighter heath care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Brighter heath care, Medical and health, Tanzani a, Arusha.

Bado hujachelewa kabisaa 0692005952
31/05/2022

Bado hujachelewa kabisaa 0692005952

03/05/2022

SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUSHIKA MIMBA*JJ HEALTH SOLUTIONS IMEKULETEA. TIBA.

Kwa kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya miaka miwili hadi mitatu baada ya kupata mtoto apate mwingine labda k**a hajaamua yeye pamoja na mumewe. Ujauzito unapatikana baada ya kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu, yaani katika kipindi ambacho mwanamke anaweza kupata ujauzito (siku za hatari).
Swala hili pia linaangalia kwa upande wa pili wa mwanaume ambaye pia tunategemea ana uwezo huo wa kumpa mwanamke mimba kwa kuwa na mbegu zenye ubora na nyingi, pia awe na nguvu za kutosha za kufanya tendo ili mwezi wake apate ujauzito. (Kuhusu mwanaume tayari somo lake).

👉🏾 *ZIPO AINA MBILI ZA KUTOSHIKA MIMBA (INFERTILITY)*

👉🏾1.AINA YA KWANZA (PRIMARY INFERTILITY)
Hii ni kwa wale ambao mke na mume hawakuwai kubahatika kupata mtoto hata mmoja tangu waoane au wawe kwenye mahusiano ili hali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote Ile.

👉🏾2.AINA YA PILI (SECONDARY INFERTILITY)
Hii ni kwa wale ambao mke na mume walishazaa mara moja Lakini hawafanikiwi kupata mtoto mwingine ili hali wanakutana kimwili bila kutumia kinga yoyote.

👉🏾 *VITU VINAVYOSABABISHA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA MIMBA NI;*

1.Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni (Hormonal Imbalance)
2.Ovaries kushindwa kutoa mayai
3.Kuziba kwa mirija ya uzazi
4.Mirija ya uzazi kujaa maji
5.Uvimbe katika kizazi (uterine fibroid)
6. Magonjwa k**a vile PID, kisonono kisukari nk
7.Kuwa na msongo wa mawazo
8.Utoaji wa mimba (Abortion)
9.kuwa na uzito kupita kiasi (over-weight)
10.Matumizi ya pombe, bangi, sigara, ulevi kupindukia
11.Matumizi ya madawa
12.Endometriosis:-Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa uzazi huanza kuota nje ya fuko hilo au hata sehemu nyingine.

Hizo hapo ni baadhi ya sababu zinazoweza kusababisha mwanamke asipate ujauzito.

👉🏾 *DALILI*

1.Mwanamke anayesumbuliwa na maumivu chini ya tumbo mara kwa mara naye yupo

Welcome
25/04/2022

Welcome

25/04/2022

Wangapi wanataka niwafundishe Kitu chenye kupiga ela mingii na mtaji mdogo tuu
0692005952
Hujachelewaa wahii bado mapemaa 💪💪🙏🙏🙏

Address

Tanzani A
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brighter heath care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram