Afya Maridhawa

Afya Maridhawa Tunatatua changamoto zote za kiafya Kwa kumtumia. Tina lishe
๐Ÿ‘‰ Sukari, Presha
๐Ÿ‘‰ Tezi Dume
๐Ÿ‘‰ PID

 #  # #The day today in A town ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
07/11/2024

# # #
The day today in A town ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Jifunze kutokana na makosa, na uyatumie k**a ngazi za mafanikio. Kila kushindwa ni darasa la mafanikio ya baadaye
30/10/2024

Jifunze kutokana na makosa, na uyatumie k**a ngazi za mafanikio. Kila kushindwa ni darasa la mafanikio ya baadaye

TEZI DUME NA SARATANI/KANSA YA TEZI DUME BILA UPASULIWAJI***Tiba ya ***โ€ขโ€ขโ€ขTEZIDUME โ€ขโ€ขโ€ข HUSAIDIA KUPONA HARAKA KWA WALIOF...
11/10/2024

TEZI DUME NA SARATANI/KANSA YA TEZI DUME BILA UPASULIWAJI
***Tiba ya ***

โ€ขโ€ขโ€ขTEZIDUME

โ€ขโ€ขโ€ข HUSAIDIA KUPONA HARAKA KWA WALIOFANYIWA UPASULIWAJI WA TEZI DUME NA KUZUIA TATZO HILO KUJITUDIA

โ€ขโ€ขโ€ขSARATAN/CANCER ya TEZI DUME

Note: BIDHAA hii ni ya ASILI haina MADHARA YOYOTE KWA WATUMIAJI hivyo huhimizwa kutumiwa na WANAUME WOOTE WALIO NA UMRI KUANZIA MIAKA 35+ kwaajili ya KUJIKINGA NA MARADHI YA TEZI DUME
โ€ขโ€ขโ€ข KUPUNGUA KWA PRESURE/Nguvu ya kutoka Kwa Mkojo

โ€ขโ€ขโ€ขHERNIA na NGIRI

โ€ขโ€ขโ€ขUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

โ€ขโ€ขโ€ขU.T.I SUGU Kwa wanaume

๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฉ๐—œ๐— ๐—•๐—” ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ง๐—˜๐—ญ๐—œ ๐——๐—จ๐— ๐—˜:
Kukojoa Mara kwa mara.
โœ“Kubakiza mkojo kwenye kibofu.
โœ“Kukojoa sana hasa Nyakati za usiku.
โœ“Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
โœ“Kupungukiwa nguvu za kiume.
โœ“UTI ya Mara kwa mara.
โœ“Mawe kwenye kibofu kutokana na Mrundikaniko wa Mkojo.
โœ“Figo kujaa maji.
โœ“Kupoteza fahamu.
โœ“Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
โœ“Uume kushindwa kusimama vizuri.
โœ“Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

Call/WhatsApp
0656786572

*๐’๐€๐๐€๐๐” 10 ๐‡๐€๐“๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐ˆ ๐™๐€ ๐”๐†๐Ž๐๐‰๐–๐€ ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐’๐”๐Š๐€๐‘๐ˆ (๐ƒ๐ˆ๐€๐๐„๐“๐„๐’), ๐ƒ๐€๐‹๐ˆ๐‹๐ˆ, ๐Œ๐€๐ƒ๐‡๐€๐‘๐€ ๐๐€ ๐๐€๐Œ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐๐Ž๐๐€ ๐๐ƒ๐€๐๐ˆ ๐˜๐€ ๐’๐ˆ๐Š๐” 90(๐“๐ˆ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐ƒ๐”...
10/10/2024

*๐’๐€๐๐€๐๐” 10 ๐‡๐€๐“๐€๐‘๐ˆ๐’๐‡๐ˆ ๐™๐€ ๐”๐†๐Ž๐๐‰๐–๐€ ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐’๐”๐Š๐€๐‘๐ˆ (๐ƒ๐ˆ๐€๐๐„๐“๐„๐’), ๐ƒ๐€๐‹๐ˆ๐‹๐ˆ, ๐Œ๐€๐ƒ๐‡๐€๐‘๐€ ๐๐€ ๐๐€๐Œ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐๐Ž๐๐€ ๐๐ƒ๐€๐๐ˆ ๐˜๐€ ๐’๐ˆ๐Š๐” 90(๐“๐ˆ๐๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐ƒ๐”๐Œ๐”).*

โš ๏ธ๐…๐ฎ๐š๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐š ๐ฆ๐š๐๐š ๐ก๐ข๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ง๐ฎ๐Ÿ๐š๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ค๐จ, ๐Ÿ๐š๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐จ๐ค๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐š.

โœ๐Ÿป๐ƒ๐ฎ๐ง๐ข๐š๐ง๐ข ๐ญ๐š๐ค๐ฐ๐ข๐ฆ๐ฎ zinaonyesha kila ๐ฌ๐ž๐ค๐ฎ๐ง๐๐ž 10 mtu ๐ฆ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š mwenye ๐ค๐ข๐ฌ๐ฎ๐ค๐š๐ซ๐ข ๐ก๐ฎ๐Ÿ๐š๐ซ๐ข๐ค๐ข ๐ง๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ya ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ 40,000 ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ค๐ข๐ฌ๐ฎ๐ค๐š๐ซ๐ข ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ก๐ฎ๐ค๐š๐ญ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ข๐ ๐ฎ๐ฎ/๐ฆ๐ข๐ค๐จ๐ง๐จ ๐ฌ๐š๐›๐š๐›๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ข๐ฌ๐ฎ๐ค๐š๐ซ๐ข.
๐๐ข๐š zaidi ya watu ๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐จ๐ง๐ข 422 ๐ฐ๐š๐ง๐š ๐ค๐ข๐ฌ๐ฎ๐ค๐š๐ซ๐ข ๐๐ฎ๐ง๐ข๐š๐ง๐ข hivyo kupelekea ugonjwa huu ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ค๐š ๐ง๐š๐Ÿ๐š๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š 5 ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ค๐ข๐ฌ๐š๐›๐š๐›๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ฏ๐ข๐Ÿ๐จ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐š๐ง๐ข.

โœ๐Ÿป๐”๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š wa ๐ค๐ข๐ฌ๐ฎ๐ค๐š๐ซ๐ข ๐ง๐ข ๐ฆ๐จ๐ฃ๐š ๐ฒ๐š ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐จ๐ฐ๐š๐ก๐š๐ง๐ ๐š๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐ž๐ง๐ ๐ข ๐๐ฎ๐ง๐ข๐š๐ง๐ข kwani mtu anaweza akaishi na ugonjwa huu kwa muda mrefu takribani miaka 5 na ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐›๐ข๐ฅ๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฃ๐ฎ๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐š๐ง๐š๐ญ๐š๐ญ๐ข๐ณ๐จ ๐ฅ๐š ๐ค๐ข๐ฌ๐ฎ๐ค๐š๐ซ๐ข, kwa kiwango kikubwa hutokana na mfumo wa maisha wa mtu atakavyoamua kuishi, hivyo huu ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ฎ๐ค๐š๐ฆ๐ฉ๐š๐ญ๐š kila mtu mtoto kwa mtu ๐ฆ๐ณ๐ข๐ฆ๐š.

๐Š๐ˆ๐’๐”๐Š๐€๐‘๐ˆ ๐๐ˆ ๐๐ˆ๐๐ˆ?.

โœ๐Ÿป๐๐ข ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐จ๐ญ๐จ๐ค๐š๐ง๐š pale ๐ข๐ง๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ง ๐ข๐ง๐š๐ฉ๐จ๐ฌ๐ก๐ข๐๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐›๐š๐ฅ๐š๐ง๐ฌ๐ข ๐ฌ๐ฎ๐ค๐š๐ซ๐ข, ambayo homoni ya insulin hutengenezwa kwenye kongosho (pancreas)

AFYA ya Ngozi YAKO โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI) {PRODUCT FROM U.S.A}*0% chemical* Ni sabuni ya mitish...
08/10/2024

AFYA ya Ngozi YAKO โ˜บ๏ธ๐Ÿ˜
ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)
{PRODUCT FROM U.S.A}
*0% chemical*
Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa kwa viambata asilia k**a vifuatavyo

INGREDIENTS (VIAMBATA)
1.....Wild honey (asali mwitu)
2....Green Tea (mchai รงhai)
3.... Grape fruit (mbegu za zabibu)
4.Lisa

KAZI MUHIMU
1.Hupambana na kuondoa makunyanzi

2.Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na muinekano nadhifu

3.Huondoa mapunye,chunusi,na mafuta yaliyozidi kwenye ngozi.

4.Inavuta uchafu uliopo ndani ya ngozi,pamoja na uchafu unaosababisha chunusi na mapele.

5..inaomdoa madoa kwenye ngozi

6..Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hivyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo

7...Inazibua(inafungua) njia za jasho kwenye vinyweleo hivyo kudhibiti tatizo la harufu mbaya ya mwili

8...Inatibu vidonda vya kuungua, jeraha, na vidonda vya kisukari

9..Inaua vijidudu (bacteria) wa ,fangasi,upele na mapunye

10..Inatumika k**a mafuta ya kupaka pia.

11..Inatunza ngozi ya mtoto mdogo

SHARE KWA WATU MBALI MBALI

Sababu zinazokunyima  furaha zaidi,  wakati wa tendo la ndoa kwa sababu ya ukavu ukeni ni1:Maandalizi yasiyotosheleza ka...
04/10/2024

Sababu zinazokunyima furaha zaidi, wakati wa tendo la ndoa kwa sababu ya ukavu ukeni ni

1:Maandalizi yasiyotosheleza kabla ya kujamiana husababisha uke kuwa mkavu maana mwanamke anakuwa hayuko tayari kiakili kufanya tendo la kujamiiana.

2:Kukauka kwa uke katika umri wa 45+ huwa ni kiashiria cha ukomo wa hedhi kwa mwanamke.

Lakini k**a uke unakauka chini ya miaka 45 huwa ni tatizo la Afya ambalo huweza kuchangiwa na fangasi katika uke na kutokukaa sawa kwa homoni (hormonal imbalance).

3:Kutokuwa na hisia wakati wa tendo la ndoa pia kutokuwa na mapenzi na mwanaume unayeshiriki naye tendo la ndoa. Yote husababisha uke kuwa mkavu

4:Ufanyaji wa tendo la ndoa kwa muda mrefu mfano masaa mawili. Pia kuwa na msongo wa mawazo ama kutokuwa na utayari kiakili na kimazingira na tendo lile la ndoa.
. Pia ufanyaji mbovu wa tendo la ndoa mfano wanasema 'nje ndani nje ndani bila kuwepo na kuliwazana na kuwasiliana katika tendo la ndoa'. Yote hupelekea uke kuwa mkavu wakati wa tendo la ndoa.

*Tuna uhaba wa watu wa kufanya masoko na mauzo katika taasisi yetu mkoani Arusha,k**a unaweza kufanya kazi hii au una nd...
02/10/2024

*Tuna uhaba wa watu wa kufanya masoko na mauzo katika taasisi yetu mkoani Arusha,k**a unaweza kufanya kazi hii au una ndugu anayetafuta kazi na yupo Arusha piga ๐Ÿ“ž 0621886572

Note: Piga namba hii k**a uko seriously

Happy New Month My potential Client   Napenda Kuwatarifu kuwa kuanzia tareh 1 mpka 10 ya mwezi huu wa kumi Kampuni tutak...
02/10/2024

Happy New Month My potential Client
Napenda Kuwatarifu kuwa kuanzia tareh 1 mpka 10 ya mwezi huu wa kumi Kampuni tutakua na ๐Ž๐Ÿ๐Ÿ๐ž๐ซ maalumu kwa ajili yako ~
Karibu Sana Upate Huduma zetu Bora kwa ajili ya Afya yako

๐๐_Kumbuka Bidhaa zetu si kwa ajili ya mgonjwa tu hata kwa wewe unayejali Afya yako unaweza kuwa mtumiaji kwa ajili ya kukulindavna kukuimarisha Afya yako. Karibu sana Kwa ushauri na maswali zaidi wasiliana nami kwa ๐Ÿ“ž 0656786572

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐” Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali in...
01/08/2024

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐”

Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:โคต๏ธโคต๏ธ

1.๐Ÿ–‡๏ธ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.๐Ÿ–‡๏ธ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.๐Ÿ–‡๏ธ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.๐Ÿ–‡๏ธ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.๐Ÿ–‡๏ธ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.๐Ÿ–‡๏ธ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.๐Ÿ–‡๏ธ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.๐Ÿ–‡๏ธ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.๐Ÿ–‡๏ธ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.๐Ÿ–‡๏ธ Kupata kikokozi kisichoisha
11.๐Ÿ–‡๏ธ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.๐Ÿ–‡๏ธ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.๐Ÿ–‡๏ธ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.๐Ÿ–‡๏ธ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.๐Ÿ–‡๏ธ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.๐Ÿ–‡๏ธ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.๐Ÿ–‡๏ธ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.๐Ÿ–‡๏ธ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.๐Ÿ–‡๏ธ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.๐Ÿ–‡๏ธ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.๐Ÿ–‡๏ธ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.๐Ÿ–‡๏ธKichefuchefu na kutapika.

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.๐Ÿ–‡๏ธ Uvutaji wa sigara
2.๐Ÿ–‡๏ธ Unywaji wa pombe
3.๐Ÿ–‡๏ธ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.๐Ÿ–‡๏ธ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.๐Ÿ–‡๏ธ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.๐Ÿ–‡ Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.๐Ÿ–‡๏ธ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.๐Ÿ–‡๏ธ Kuwa Mjamzito
9.๐Ÿ–‡๏ธ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.๐Ÿ–‡๏ธ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili k**a ifuatavyo:โคต๏ธโคต๏ธ

1๏ธโƒฃ MATIBABU YA KISASA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers k**a vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.

2๏ธโƒฃ MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.
-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.

Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili

 Congratulations for Mr Ibrahim , the only one whom wins vila fund in 2024๐Ÿ‘๐Ÿ‘@โจ~Dr Ibrahim Chenzaโฉ
26/07/2024


Congratulations for Mr Ibrahim , the only one whom wins vila fund in 2024๐Ÿ‘๐Ÿ‘@โจ~Dr Ibrahim Chenzaโฉ

HABARI ZA WAKATI HUU! TAARIFA MUHIMU KWA LEO!Tunapenda kuwataarifu kuwa kuanzia tarehe 13 mwezi huu, kutakuwa na ongezek...
12/07/2024

HABARI ZA WAKATI HUU! TAARIFA MUHIMU KWA LEO!

Tunapenda kuwataarifu kuwa kuanzia tarehe 13 mwezi huu, kutakuwa na ongezeko la bei za bidhaa za afya. Tunawahimiza wateja wote wanaotumia dozi au ambao wanahitaji kuanza dozi mpya kuzingatia tarehe hii na kufanya manunuzi yao mapema iwezekanavyo ili kuepuka gharama za ziada. nitafute kwa siku No.๐Ÿ“ž0621886572

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaendelea kujitahidi kutoa huduma bora kwa wote.

Asanteni.

"MATESO YATOKANAYO NA ONGEZEKO LA " URIC ACID" MWILINI".~ Uric Acid ni nini ?~ Mwili wa binadamu kwa asili yake umeumbwa...
24/06/2024

"MATESO YATOKANAYO NA ONGEZEKO LA " URIC ACID" MWILINI".

~ Uric Acid ni nini ?

~ Mwili wa binadamu kwa asili yake umeumbwa kwa namna ambayo viungo vyote vinaweza kufanya kazi kwa ufasaha kutegemeana na taarifa ambazo zinasafirishwa kutoka katika ubongo na kupelekwa katika kiungo husika.

Ili mwili uweze kufanya kazi vizuri na kusitokee na tatizo lolote, haina budi kila kemikali ya asilia iliyopo mwilini iwe katika kiwango ambacho ni stahiki.
Miongoni mwa kemikali asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu ni hii ijulikanayo kwa jina la kitaalamu la โ€œUric Acid โ€.

Uric Acid ni kemikali ya asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu. Kemikali hii hupatikana baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali aina ya โ€œ Purineโ€ ambayo baada ya kuvunjwa ndipo huzalisha kitu kinachojulikana k**a โ€œ Uric Acidโ€.

Katika mwili wa binadamu, kiwango ambacho ni cha kawaida mtu kuwa nacho ni 2.4-6.0 mg/dL (kwa mwanamke) na 3.4-7.0 mg/dL (kwa mwanamme). Kiwango cha uric acid mwilini hupimwa kwa kutumia njia ya damu.

Kiwango hiki endapo kitazidi mwilini kitasababisha matatizo mwilini na hasa katika maeneo ya mwili ambayo ni maungio ya mifupa/jointi.

Katika maungio ya mifupa au jointi, mtu atapatwa na maumivu makali, kuvimba na kubadilika kwa umbile la maungio ya mifupa na kuwa k**a kumepinda. Hali hii kitaalamu au ugonjwa hujulikana k**a โ€œ Gout โ€.

Pia kuzidi kwa kiwango cha uric acid mwilini kinaweza kuwa ni dalili ya magojwa k**a vile magonjwa ya ini, figo pamoja na saratani. Mwilini kemikali hii ya asilia hutolewa kupitia njia ya mkojo k**a urea, tofauti na wanyama wengine au ndege ambao wao kemikali hii hutolewa kupitia kinyesi na wakati mwingine imekuwa na muonekano k**a chokaa na kuchanganyika na kinyesi mfano cha kuku.

Upatikanaji wa uric acid mwilini ni kupitia ulaji wa vyakula k**a vile Nyamna Nyekungu K**a Vile Ng'ombe , Mbuzi ( Hasa Beberu ) , Kondoo na aina Nyingine za Wanyama Wenye Miguu Minne , Bata Mzinga , maharagwe yaliyokaushwa, maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini au seafood (sardines pamoja na tuna ). Pamoja na vyakula, pia uric acid mwilini hupatikana baada ya matokeo ya seli hai za mwili kuvunjika ( seli kufa na kutengeneza purine ambazo nazo huvunjika na kutengeneza Uric Acid).

Kwa kuwa kiwango kikubwa cha uric acid kinasababisha matatizo ya kiafya,

Ni vyema kufahamu ni namna gani ambavyo mtu anaweza kuenenda ili kuhakikisha kuwa kiwango cha uric acid katika mwili kinakuwa siyo cha kuweza kusababisha matatizo ya kiafya.

Miongoni mwa njia za kutumia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilii ni kuepuka vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha โ€œPurineโ€ ambayo ndiyo hupelekea kupatikana kwa uric acid. Vyakula hivyo vya kuepuka ni pamoja na maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini k**a vilivyotajwa hapo juu.

Pia ni vyema kutumia vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha virutubisho pamoja na vitamin ambavyo kiafya vinasaidia katika kuondoa sumu mwilini.

Virutubisho na vitamini ambazo husaidia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilini ni pamoja na vitamin B6, Vitamin C, madini ya magnesium. Haya hupatikana katika matunda k**a vile ndizi mbivu, machungwa, matikiti maji, maembe pamoja na mananasi. Pia juisi la limao katika mwili husaidia katika kutengeneza chumvi aina ya calcium carbonate ambayo husaidia kuyeyusha au (Neutralize) tindikali asilia mwilini ( Uric acid ).

Aidha, sambamba na ulaji wa vyakula hivyo kwa mtu ambaye tayari analo tatizo la kuwa na kiwango kikubwa cha uric acid mwilini ( Baada ya vipimo vya kitaalamu), inashauriwa kutumia dawa ambazo hupunguza kuzalishwa kwa uric acid mwilini lakini pia kusaidia katika kuondoa maudhi na maumivu makali ambayo mtu huyapata katika jointi.

Uric Acid Inatibika na Kupona Kabisa , Wasiliana Nasi kwa namba zifuatazo
Whatsapp/call 06 5678 6572

Address

Arusha Kalolen
Arusha

Telephone

+255656786572

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Maridhawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Maridhawa:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram