Afya yako mtaji wako

Afya yako mtaji wako Suluhisho la matatizo ya afya

17/05/2024

*MWANAMKE HII NI MUHIMU SAANA KWAKO FEMICARE NI MKOMBOZI WA MATATIZO SUGU KWAKO*
Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminika Unasafishia ukeni usiku mara Moja
*KAZI ZAKE*
👉Hutibu UTI sugu
👉Hutibu Fangasi sugu
👉 Inaondoa Miwasho ukeni
👉 Inaondoa Harufu mbaya ukeni
👉inaondoa Uchafu unatoka ukeni
👉inasafisha na kuzibua milija ya uzazi inakurinda usipate UTI na Fangasi sugu
👉 inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote
👉 inaongeza joto la uke
👉FemiCare™ inabana Kuta za uke zilizo legea
👉 inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi
👉 inarudisha ute ute ukeni
👉 inatibu PID ikitumika na refined, Refined ni ya vidonde unameza
Kwa maelekezo zaidi namna ya Kuipata hadi ulipo karibu inbox au piga; *
*Wa.me

14/05/2024

06/05/2024

Je, wew ni mwanamke ambae mpaka leo hujui ni njia gani salama ya uzazi wa mpango?

Je,wewe ni mwanamke ambae unapitia changamoto hizi ?                                             *Maumivu makali chini y...
03/05/2024

Je,wewe ni mwanamke ambae unapitia changamoto hizi ? *Maumivu makali chini ya kitovu *Uchovu na maumivu ya kiuno na nyonga *Unatokwa na uchafu wenye harufu mbaya ukeni *Hedhi iliyovurugika *Kukosa mtoto kwa muda mrefu. *UTI sugu *FUNGUS sugu *Miwasho mikali ukeni *Kuwa na uke mkavu. Nimewasaidia wanawake wengi kutatua changamoto hizi na wamefanikiwa nitafute kupitia namba+255747907414

Je ,wewe ni mwanaume ambae unapitia dalili hizi zifuatazo?👇                                      *Kukojoa mara kwa mara ...
03/05/2024

Je ,wewe ni mwanaume ambae unapitia dalili hizi zifuatazo?👇 *Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku *kukojoa mkojo unaoambatana na maumivu *Maumivu ya kiuno na nyonga. *Udhaifu katika kutoa mkojo,mkojo unatoka kidogokidogo NB.k**a unapitia dalili hizi nitafute kupitia namba . 255 748 907 414

**SARATANI YA TEZI DUME**                           Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa sar...
28/02/2024

**SARATANI YA TEZI DUME** Saratani ya tezi dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani na hii hutokea pale ambapo chembechembe hair za tezi huasi na kuanza kujigawa bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili,chembechembe asi hizi hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume hatimaye husambaa mwilini. **VISABABISHI HATARISHI KWA SARATANI YA TEZI DUME** 👉Umri mkubwa kuanzia miaka 50 👉Vinasaba(ukoo wenye historia ya saratani hii) 👉Unene uliokithiri 👉Ukosefu wa mazoezi 👉Upungufu wa virutubisho mf.vitaminD 👉Maambukizi ya mara kwa mara kwenye tezi dume **DALILI ZAKE NI?** 👉Udhaifu katika utoaji wa mkojo,mkojo hauishi 👉Kwenda kukojoa mara kwa mara 👉Damu katika mkojo 👉Kushindwa kukojoa 👉Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga NB.Wagonjwa wengi wenye changamoto hii hukimbilia tiba za mionzi na upasuaji lakini kuna madhara ambayo unaweza kuyapata kwa kutumia njia hizi,wasiliana nasi kwa namba*255748907414 tukuhudumie kwa virutubisho lishe upon tatizo lako bila madhara yeyote.

  WA NGUVU ZA KIUME.                 Ni hali ya kushindwa kushiriki tendo kikamilifu au uume kushindwa kusimama vizuri,n...
23/02/2024

WA NGUVU ZA KIUME. Ni hali ya kushindwa kushiriki tendo kikamilifu au uume kushindwa kusimama vizuri,na wanaume wengi wenye tatizo hili huwa hawahangaiki kutibu tatizo bali hutumia vidonge vyakuboost ambavyo vinaweza kuleta madhara zaidi. ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1.Uume kusinyaa. 2.Uume kurudi ndani na kuwa mdogo. 3.uume kusimama legelege 4.kufika kileleni haraka wakati wa tendo. 5.Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara moja. 6.Kukosa hamu ya tendo la ndoa. pia zipo sababu zinazopelekea mwanaume kupungukiwa nguvu za kiume nazo ni. 1.Tabia ya kujichua kwa muda mrefu. 2.Maambukizi katika kibofu cha mkojo. 3.Matumizi ya dawa zenye kemikali za kutibu magonjwa k**a kisukari,presha,kansa,magonjwa ya moyo n.k. 4.Uzito kupita kiasi (unene uliopitiliza) 5.Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi. 6.Umri (Wazee) N.B.Kama unachangamoto hii karibu tukuhudumie kwa ushauri na tiba wengi wamepona na wamerudisha heshima kwenye ndoa zao.

Usiteseke na tezi dume kwani inatibika bila upasuaji,na pia usikae kimya unapojigundua unatatizo la tezi dume kwani usip...
23/02/2024

Usiteseke na tezi dume kwani inatibika bila upasuaji,na pia usikae kimya unapojigundua unatatizo la tezi dume kwani usipowahi kutibu tatizo hili hupelekea kupata kansa ya tezi dume na madhara na gharama za matibabu huwa kubwa zaidi,karibu tukuhudumie kwa virutubisho tiba na uondokane na tatizo hili *255748907414

  dume ni tezi ambayo kila mwanaume anayo na inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha m...
23/02/2024

dume ni tezi ambayo kila mwanaume anayo na inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo,kazi yake ni kutengeneza majimaji(shahawa)ambayo husaidia urutubishaji na usafirishaji wa mbegu za kiume.Tatizo linakuja pale kiungo hiki kinapoanza kutanuka na utanukaji wake ni wataratibu sana. ZA TEZI DUME. 1.Kukojoa mara kwa mama,haswa usiku 2.Maumivu wakati wakukojoa. 3.Damu kwenye mkojo au shahawa. 4.Kupoteza uwezo wakushirik tendo la ndoa. 5.Uvimbe au ukuaji katika moja ya korodani

**LINDA KUTANUKA KWA TEZI DUME NA BORESHA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA HII**                                                 ...
21/02/2024

**LINDA KUTANUKA KWA TEZI DUME NA BORESHA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA HII** *Pendelea kula mbogamboga za majani *epuka vyakula vyenye mafuta mengi *pendelea kutumia zaidi virutubisho vyenye vitamins na madini *fanya mazoezi mara kwa mara. *dhibiti uzito wako kwa kuangalia vyakula unavyokula

21/02/2024
Kwa mwanaume mwenye upungufu wa mbegu za kiume pendelea kula matunda,mbegu za maboga,fanya mazoezi mara kwa mara,kunywa ...
29/11/2023

Kwa mwanaume mwenye upungufu wa mbegu za kiume pendelea kula matunda,mbegu za maboga,fanya mazoezi mara kwa mara,kunywa chai yenye tangawizi,pendelea kutumia vitunguu swaumu katika chakula chako, kunywa maji kwa wingi na pendelea sana kula mbogamboga za majani kwa wingi , pia virutubisho hivi vitakusaidia kwa kukukinga na maradhi katika mfumo wako wa uzazi. NB.Changamoto ya upungufu wa nguvu za imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa sasa kutokana na mfumo wa maisha ambao tunaishi na vyakula ambavyo tunakula kwa siku nzima,karibu tukutatulie changamoto zako zakiafya kwa tiba na ushauri *255748907414

  WA NGUVU ZA KIUME.                Ni hali ya kushindwa kusimamisha uume au kushindwa kusimamisha uume wakati wa kujami...
16/11/2023

WA NGUVU ZA KIUME. Ni hali ya kushindwa kusimamisha uume au kushindwa kusimamisha uume wakati wa kujamiana hasa baada ya kufika kileleni. Na ni hali ambayo huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. NB.Afya ya uzazi ni kipaumbele cha kwanza,hivyo usikubali kuishi ukiwa na changamoto yeyeote katika mfumo wako wa uzazi karibu tukurudishie tabasamu lako na heshima yako wasiliana nasi kupitia namba+255748907414

Address

Arusha

Telephone

+255748907414

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako mtaji wako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya yako mtaji wako:

Share