06/09/2024
ONDOA UCHAFU NA SUMU MWILINI
NAMNA YA KUONDOA SUMU MWILINI NA KUONGEZA VIRUTUBISHO MWILINI.
Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia magonjwa/maradhi yamekua mengi sana si Tanzania tu bali duniani kote kutokana na Sumu kutoka katika vitu mbalimbali hali ambayo hupelekea kupungua kwa Kinga ya mwili.
Jambo muhimu analopaswa kufahamu binadamu yoyote ni kwamba cell zetu ndio zinazopata maradhi hayo maana afya ya mwili wa binadamu hutegemea afya ya cell zake.
Najua unapenda kuwa na afya njema.
Je unafahamu maradhi mengi 90% husababishwa na utumbo wako kuwa mchafu?
Je unafahamu kuwa unavyopeleka service gari lako na mwili wako unahitaji?
Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako kutoa sumu za kemikali za soda, sigara, madhara ya madawa, air condition, juice za box(artificial juice), pombe na mengineyo?
Jaribu kufikiria je unapata choo kilaini. Je unapata kila siku?
Kutokupata choo huweza kusababisha maradhi mengi katika afya yetu. K**a vile kupata matatizo ya utumbo,vitambi, lakini pia kupata maradhi ya Bawasiri.
Zipo bidhaa bora asili zenye kuweza KUONDOA SUMU MWILINI NA KUONGEZA VIRUTUBISHO MWILINI MARA BAADA YA KUONDOA SUMU HIZO MWILINI.
Tumia bidhaa hizo ambazo hazina kemikali na zina uwezo wa kutoa sumu mwilini, kuongeza kinga ya mwili, zinasaidia mmeng'enyo wa chakula kuwa vizuri hivyo kuondokana na tatizo la kutopata choo(constipation). Na kupunguza tatizo la kukosa nguvu za kiume sababu ya dam kujaa sumu sana pamoja na kina mama wasiioona siku zao kabisa ama zinatofautiana kabisa.
Pia husaidia katika maradhi ya presha,uvimbe,kisukari,madonda ya tumbo,aleji,kupunguza kasi ya uzee kwa kuondoa ngozi iliyochoka, kuua bacteria na virusi wasiohitajika mwilini na hivyo kuwa na afya bora
Bidhaa hizo zinauzwa Ths 30,000 popote ulipo utatumiwa karibuni sana
Kwa maelezo zaidi ya namna ya kupata bidhaa hyo
piga 0623 183 293 //au 0745 689 573
Call/WhatsApp/text sms
Imechapishwa Na Jb herbal clinic Tanzania