
23/08/2025
🌟 GCAT HOSPITAL– Center bora ya matibabu ya magonjwa yote sugu na madaktari bora waliobobea🌟
Unasumbuliwa na magonjwa haya?
🔹 Magonjwa ya Uzazi: Maambukizi ya njia ya uzazi, uvimbe kwenye kizazi (fibroids), kukosa hedhi, hedhi isiyo na mpangilio, ugumba (infertility), na mengineyo.
🔹 Saratani: Saratani ya kizazi, matiti, tezi dume (prostate), ini, ngozi n.k
🔹 Kisukari: Kisukari cha aina zote na madhara yake k**a vidonda visivyopona, ganzi miguu, na matatizo ya macho.
🔹 Shinikizo la Damu (Pressure): High/low blood pressure, kizunguzungu, kuchoka sana n.k
🔹 Magonjwa ya Ngozi: Upele, mba kichwani, chunusi, fangasi sugu, vipele vya moto, ukurutu (eczema), madoa usoni.
🔹 Magonjwa ya Tumbo: Vidonda vya tumbo, gesi, kujaa, kukosa choo au kuharisha mara kwa mara, minyoo, na maambukizi ya bakteria tumboni.
🔹 Uvimbe wa aina zote: Uvimbe tumboni, kwenye ngozi, viungo vya uzazi, tezi, kichwani n.k
🔹 Magonjwa ya Mifupa na Viungo: Maumivu ya mgongo, kiuno, magoti, arthritis, baridi yabisi, mifupa iliyochoka n.k
🔹 Magonjwa ya Mishipa na Ubongo: Ganzi mwilini, kufa ganzi miguu/mikono, degedege, kifafa, stroke, kupoteza kumbukumbu n.k
🔹 Magonjwa ya Moyo, Figo, Ini, Mapafu, na Maambukizi Sugu ya Mwili.
🧬 Tunafanya vipimo kwa kutumia teknolojia ya kisasa kutoka India na China, pamoja na matibabu ya kibunifu kupitia Tibalishe – mchanganyiko wa lishe tiba na tiba asilia unaowezesha mwili kupona kwa ufanisi bila madhara ya kemikali.
✅ Tunajivunia madaktari bingwa wenye uzoefu na huduma rafiki kwa kila mgonjwa.
📍 Tunapatikana:
Dar es Salaam na mikoa mbalimbali Tanzania nzima 🇹🇿
📞 Wasiliana Nasi Leo:
📲 0757 235 365
Bofya kitufe cha whatsap kututumia ujumbe
💬 Afya yako ni msingi wa maisha bora – GCAT Hospital tunakujali kwa moyo wote!