27/11/2025
Karibuni sana Eye Afya Centre kwa huduma Bora za macho.
Tunatoa huduma za Afya ya macho, Ushauri miwani.
📍Tunapatikana ndani ya jengo la TFA SHOPPING MALL - Arusha opp Pizza Hut. Ukiingia getini utaona mabango yetu.
⏱️J3 - jmosi saa 2asubuhi - 11jioni
📞0754604930
🚗 Free parking ya kutosha
🌐 Free Wifi
👁️Eye see you👁️
❤️your 👁️