06/05/2026
Kutana na Daktari Bingwa wa Mifupa na Mgongo kutoka India, katika NSK Hospitals Arusha 🩺
Unasumbuliwa na: ✔ Maumivu ya Shingo
✔ Maumivu ya Mgongo
✔ Maumivu ya Goti na Nyonga
✔ Tatizo la Mishipa ya Sayatika
✔ Matatizo ya Uti wa Mgongo
✔ Hitaji la Upandikizaji wa Viungo (Joint Replacement)
Pata huduma kutoka kwa Dkt. Praveen Saxena, Daktari Bingwa wa Mifupa na Mgongo, kupitia kliniki maalum ya mifupa.
📅 Tarehe 13 & 14 Mei 2026
🕘 Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni
📍 NSK Hospitals Arusha – Esso Road, Unga Limited
Ugunduzi wa mapema na matibabu sahihi husaidia kurejesha afya, nguvu na uwezo wa kufanya shughuli zako za kila siku.
📞 Weka nafasi sasa: +255 626 221 331
Sciatica Arusha BelieveInQualityHealthcare