π—”π—Ÿπ—¦π—” π—›π—˜π—”π—Ÿπ—§π—› π—–π—˜π—‘π—§π—₯π—˜

  • Home
  • Tanzania
  • Bagamoyo
  • π—”π—Ÿπ—¦π—” π—›π—˜π—”π—Ÿπ—§π—› π—–π—˜π—‘π—§π—₯π—˜

π—”π—Ÿπ—¦π—” π—›π—˜π—”π—Ÿπ—§π—› π—–π—˜π—‘π—§π—₯π—˜ Welcome to our Health Centre page! We are thrilled to provide you with upto-date information

HAPPY EASTER May God’s goodness bless your home this Easter
05/04/2026

HAPPY EASTER
May God’s goodness bless your home this Easter

TUNAPOKEA Bima ZifuatazoBRITAM INSURANCE, NHIF & GA INSURANCETunajali Afya Yako+255 782143078 | +255 716793829Kerege-Map...
04/04/2026

TUNAPOKEA Bima Zifuatazo
BRITAM INSURANCE, NHIF & GA INSURANCE

Tunajali Afya Yako

+255 782143078 | +255 716793829
Kerege-Mapinga,Bagamoyo, Pwani Tanzania

We offer the best healthcare for you and your familyMake an Appointment+255782143078Tunajali Afya YakoKaribu sana+255 78...
04/04/2026

We offer the best healthcare for you and your family
Make an Appointment

+255782143078

Tunajali Afya Yako

Karibu sana
+255 782143078 | +255 716793829
Kerege-Mapinga, Bagamoyo, Pwani Tanzania

28/03/2026

We offer the best healthcare for you and your familyMake an Appointment +255782143078
28/03/2026

We offer the best healthcare for you and your family
Make an Appointment +255782143078

Huduma ya Kinywa na Meno Pamoja na UltrasoundZOTE ZINAPATIKANA, KARIBUNI SANA
25/03/2026

Huduma ya Kinywa na Meno Pamoja na Ultrasound
ZOTE ZINAPATIKANA, KARIBUNI SANA

Kwa nini watoto wanaoenda daycare huwa wanaonekana kuumwa mara kwa mara? 🀧Hii ni hali ya kawaida β€” na mara nyingi ni seh...
20/03/2026

Kwa nini watoto wanaoenda daycare huwa wanaonekana kuumwa mara kwa mara? 🀧

Hii ni hali ya kawaida β€” na mara nyingi ni sehemu ya kujenga kinga ya mwili.

Sababu zake ni hizi:
πŸ‘Ά Kukutana na vijidudu kwa wingi
Watoto wanapocheza pamoja, virusi husambaa kirahisi kupitia mikono, vitu vya kuchezea na nyuso mbalimbali.

🧠 Mfumo wa kinga bado unajifunza
Watoto wadogo wanakutana na virusi vingi kwa mara ya kwanza.

🧸 Kukaribiana sana
Kushirikiana vitu, kugusana usoni na kucheza kwa karibu hurahisisha maambukizi.

😴 Kinga kudhoofika kutokana na uchovu
Ratiba za daycare zinaweza kuwafanya wachoke na hivyo kupunguza nguvu ya kinga.

πŸ’‘ Habari njema:
Watoto wengi hujenga kinga imara kadri wanavyokua na kuanza kuugua mara chache.

Mambo yanayoweza kusaidia kupunguza maambukizi:
β€’ Dhibiti aleji (allergies) k**a mtoto anazo
β€’ Tumia saline kusafisha pua wakati wa mafua
β€’ Hakikisha analala vya kutosha na anakula lishe bora
β€’ Tumia antibiotics pale tu inapohitajika

πŸ“Œ Hifadhi hii kwa ajili ya mtoto wako anapoanza daycare.

Tunajali Afya Yako na  πŸ‘‰ Huduma ni Masaa 24πŸ‘‰ General OPD and IPDπŸ‘‰ Dental clinicπŸ‘‰ Pharmacy servicesπŸ‘‰ UltrasoundMawasilian...
09/03/2026

Tunajali Afya Yako na

πŸ‘‰ Huduma ni Masaa 24
πŸ‘‰ General OPD and IPD
πŸ‘‰ Dental clinic
πŸ‘‰ Pharmacy services
πŸ‘‰ Ultrasound

Mawasiliano: +255782143078

.Picha za kidijitali kwa Utrasound zote Haraka, Rahisi na Uhakika
05/03/2026

.
Picha za kidijitali kwa Utrasound zote
Haraka, Rahisi na Uhakika

Tunawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla mungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan
19/02/2026

Tunawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla mungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan

.
17/02/2026

.


Huduma ya Kinywa na Meno Pamoja na UltrasoundZOTE ZINAPATIKANA, KARIBUNI SANA
17/02/2026

Huduma ya Kinywa na Meno Pamoja na Ultrasound
ZOTE ZINAPATIKANA, KARIBUNI SANA

Address

Kerege Mapinga, Pwani
Bagamoyo

Telephone

+255714724848

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when π—”π—Ÿπ—¦π—” π—›π—˜π—”π—Ÿπ—§π—› π—–π—˜π—‘π—§π—₯π—˜ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to π—”π—Ÿπ—¦π—” π—›π—˜π—”π—Ÿπ—§π—› π—–π—˜π—‘π—§π—₯π—˜:

Share

Category