
03/07/2025
Afisa wa BIMA akiendelea na majukumu yake ya kutuma madai ya
malipo ya matibabu ya wagonjwa wa NHIF waliokuja kupata matibabu
katika Hospitali ya Songambele.
Madai hayo akiyatuma Online kwa kutumia Mfumo wa
hospitali wa kielektroni(EHS)