Afyakwako

Afyakwako Kutatua changamoto za kiafya na kutoa suruhiho la magojwa sugu kwa upande wa wanawake na wanaume

21/09/2020

Tafadhari Bonyeza Alama ya Subscribe kisha Alama ya Kengere Ili kua mwana familia wa Bongo Chamber AHSANTE!

23/07/2020
UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKEπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡βž‘CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uz...
20/05/2020

UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
➑CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.
✍✍✍✍✍✍✍✍✍

➑Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa *Ovulation Disorder(O.D)*

*CHANZO CHA TATIZO*

➑Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka.
➑Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na k**a zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.

➑ Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu za uzazi za kiume kwa ajili ya kurutubishwa.

⏩Tatizo hili huanzia kwenye ubongo, ambapo sehemu inayohusika na uzalishaji wa homoni hushindwa kufanya kazi yake vizuri na hivyo kushindwa kudhibiti uzalishaji wa homoni za Follicle Stimulating Hormone (FSH) na Lutenizing Hormone (LH) ambazo ndizo zinazohusika na uzalishaji na uchavushwaji wa mayai ya mwanamke katika viungo vyake vya uzazi.

⏩Matumizi ya tumbaku ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha homoni za mwanamke kuvurugika na hivyo kupata tatizo hilo pia
⏩Kuziba kwa mirija ya uzazi, maambukizi katika via vya uzazi(pid) na kufunga kwa shingo ya kizazi ni sababu nyingine za tatizo hili.

⏩Chanzo kingine cha tatizo hili ni Hyperplo-lactinemia ambapo mwili wa mwanamke huzalisha homoni ya Prolactin kwa wingi ambayo ikizidi katika damu, huzuia uzalishwaji wa homoni nyingine ya Oestrogen ambayo hutumika kuchochea uzalishaji wa mayai ya uzazi.

⏩Wanawake wenye uzito mkubwa wanatajwa kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na chango la uzazi.

*DALILI ZA CHANGO LA UZAZI*

Dalili

Survival of the fittestπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Kinga zako za mwili ndio muhimu kuliko kitu chochote katika kipindi hiki cha janga la Coron...
02/05/2020

Survival of the fittest

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kinga zako za mwili ndio muhimu kuliko kitu chochote katika kipindi hiki cha janga la Corona.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Usifanye utani na maisha
Tumia pure & broken ganodema (imalisha Kinga zako za mwili)

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Fuata miongozo yote inayotolewa na wataalam wetu wa Afya.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tanzania Bila Corona inawezekana
Tumia pure & broken kwa kuinua Kinga zako za mwili

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Nawa mikono kwa maji tiririka Safi na salama kwa kutumia suntizer,epuka misongamano isiyo ya lazima.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Unapoenda sehemu vaa mask(balakoa)
Unapo kohoa tumia kiwiko cha mkono wako.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tanzania Bila Corona inawezekana.
Tumia kirutubisho ambacho ni
Pure & broken ganodema kwa kuinua Kinga zako za mwili...

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Follow
wa.me/255763004169

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

02/05/2020

Survival of the fittest

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Kinga zako za mwili ndio muhimu kuliko kitu chochote katika kipindi hiki cha janga la Corona.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Usifanye utani na maisha
Tumia pure & broken ganodema (imalisha Kinga zako za mwili)

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Fuata miongozo yote inayotolewa na wataalam wetu wa Afya.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tanzania Bila Corona inawezekana
Tumia pure & broken kwa kuinua Kinga zako za mwili

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Nawa mikono kwa maji tiririka Safi na salama kwa kutumia suntizer,epuka misongamano isiyo ya lazima.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Unapoenda sehemu vaa mask(balakoa)
Unapo kohoa tumia kiwiko cha mkono wako.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tanzania Bila Corona inawezekana.
Tumia kirutubisho ambacho ni
Pure & broken ganodema kwa kuinua Kinga zako za mwili...

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Follow
wa.me/255763004169

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

24/04/2020

*IJUE FEMICARE NA MATUMIZI YAKE*

*FemiCare – Feminine Cleanser*
Dawa maalum Kwa Mwanamke

Mshauri

*MWANAMKE:*
Katika maisha yake hupitia vipindi vikuu vitano (5) ambavyo Jamii na yeye binafsi ni muhimu kuwa makini sana.
1. Kuvunja Ungo
2. Tendo la Ndoa
3. Mimba
4. Uzazi
5. Kukoma kwa Hedhi

Hakika takribani katika hatua zote Mwanamke hutokwa na uchafu na damu, hii husababisha matatizo makubwa akipunguza umakini.
-Japo kuna sababu ambazo anaweza Kujitibu au kujikinga k**a, Vyoo vya Jumuiya, Nguo za ndani, Nguo za kubana sana, Kukaa sehemu moja muda mrefu, Tendo la Ndoa, na Uzazi wa Mpango.
: -Lakini Je, Inawezekana.? Usijali kuna suruhisho hapa..!!

*FEMI CARE:*
Uhuisha Seli kwa madini kutoka maliasili pamoja na OKO-HITECH baharini kwa kutumia mbinu za uchimbaji wa kiteknolojia , madini machache yanayopatikana kutoka Ziwa kubwa la Chumvi USA, na mafuta ya asili ya muhimu ni kutoka kwenye mimea pia ina vitamini nyingi, amino acid, and vegetable antioxidative element.

Wataalamu wamethibitisha kuwa FemiCare ni Dawa nzuri na salama imeisha tumika tayari kwa miaka mia moja.

*INAHUSIKA:*
1. Inasaidia Uke kupambana na maambukizi.
2. Inaondoa majimaji machafu, harufu na miwasho
3. Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywele hasa sehemu za siri, vidudu kwenye mirija k**a utumbo, Vidudu vinavyo shambulia njia ya mkojo, Vidudu vya Fangasi na Vijidudu vingine hatari kwa sehemu za siri
4. Huweka uke safi na kuukinga na maambukizi
5. Husaidia kuhuisha Seli.
Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia FEMICARE

Wasiliana nasi :0763004169 Kwa ushauri na tiba

Address

Bukoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afyakwako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afyakwako:

Share