Emak Natural Remedies Clinic

Emak Natural Remedies Clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emak Natural Remedies Clinic, Medical and health, Bunda.

Hili ndilo tunda bora zaidi kuliko yote
21/06/2025

Hili ndilo tunda bora zaidi kuliko yote

16/11/2024

o. {EW 119.1}
Nilionakwamba watuwa Mungu wako
katikauwanjawamaburudisho,nakw-
amba baadhi
walipoteza karibuufahamu wote kwa
mudamfupinaubora waRoho; kiburi
kimeinukamiongoni
mwa watunza Sabato- kiburi cha
mavazi na mwonekano. Malaika ali-
sema, “Washika Sabato
wanapaswakuifianafsi, kufia kiburin-
akupenda sifa. ” {EW 120.1}
Ukweli, ukweli uokoao, lazima utolewe
kwa watu wanaoanguka gizani. Niliona
kwamba
wengi walimwomba Mungu awatiishe;
lakini endapo Mungu angejibu maombi
yao, lingekuwa
jambo la kuogofya sana katika haki. Ni
wajibu wao kujinyenyekeza wenyewe.
Niliona kwamba
ikiwa kujiinua nafsi kutapendelewa,
kwa hakika kutafanya roho kupotea,
na kusiposhindwa
kutafanyamaangamizo yao. Wakatimtu
anapoanzakujiinua machoni pakemw-
enyewe nakuweza

31/08/2024

Sio utani #÷ ipo nafasi ya kazi. ( ya muuzaji duka la dawa muhimu) nafasi ni moja tu. Piga simu 0699229115

Karibuni  wapendwa
25/08/2024

Karibuni wapendwa

Familia ya Mungu
25/06/2024

Familia ya Mungu

K**a wewe ni group A, na una umri wa kuanzia miaka 45 hakikisha  unatumia mlo huu walau mara mbili kwa mwezi
05/05/2024

K**a wewe ni group A, na una umri wa kuanzia miaka 45 hakikisha unatumia mlo huu walau mara mbili kwa mwezi

26/04/2024
Kuzaliwa upya
05/04/2024

Kuzaliwa upya

06/03/2024

Mmea huu ni Mmea mashuhuri sana duniani, Waafrika wengi waliutumia k**a kiungo cha vyakula , lakini asia ulitumiwa k**a tiba kuanzia karne ya 5 hivi. Na hivi karibuni umekuwa ukitumiwa na wanasayansi kwa kutengeneza tiba ya magonjwa mbalimbali ya binadamu. Pamoja na hayo mmea huu umekuwa maarufu sana ingia na kwenye nchi za kiarabu baada ya kufaulu kutibu magonjwa sugu ya binadamu. Tafiti zinaonyesha kuwa mmea huu hutibu magonjwa yafuatayo rheumatoid ,rheumatism arthritis, uvimbe kwenye kizazi, matatizo ya kuvimba matiti ,saratani ya damu, utumbo, mapafu, na saratani ya mifupa, utafiti uliofanywa na kituo chetu tangu mwaka 2017, miongoni mwa magonjwa tulifaulu kutibu kupitia mmea huu ni ugonjwa wa sickle cell, mishipa ya moyo kuzorota ,uvimbe kwenye kizazi, stroke, JRA ( UGONJWA SUGU WA MIFUPA KWA WATOTO WADOGO) na mmea huu unaweza tumia kirahisi k**a kiungo cha mboga jina maarufu unaitwa tumeric au binzari ya njano.

Address

Bunda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emak Natural Remedies Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Emak Natural Remedies Clinic:

Share