11/04/2020
Multi maca Inatokana na mmea uitwa maca au lepidium meyenii kutoka nchini Peru wenye historia ya miaka zaidi ya 2000 kuongeza stamina ya mwilini.
Haina madhara na ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake.
Wanawake wa Peru wanaitumia maca kuanzia wakiwa na umri wa miaka 3 ili wawe na nguvu, hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kuzaa.
Ina protein nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.
Ina Maca (root)-500mg
Inatumika k**a chakula na pia dawa ya kiasili,inaimarisha utendaji wa misuli,kupunguza au kurekebisha msongo Wa mawazo,kusaidia katika tendo la ndoa na uzalishaji Wa mbegu za kiume na mayai ya k**e.
Muira Puama- (root)-200mg.
Hii ni kwa ajili ya kuleta "appetite",kuzuia mafuta mabaya yasiingie na kuhifadhiwa mwilini (bad cholesterol),na kuzuia maambukizi mwilini.
Pia mizizi hii inapatikana maabara kwa ajili ya kuzuia na kupambana kansa ya tezi dume na ya ngozi.
Tribulus terrestris(fruit)-200mg
Inatumika kuamsha hisia za mapenzi (LBIDO) kwa kuviamsha vipokeo vya androgen katika ubongo.
Nishati hii inaweza kutumika na kuwasaidia wanariadha,intellectuals na wasanii kwa ujumla wakiwa wanaperform.
catuaba(bark)-200mg
Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wote (aphrodisiac) na kuimarisha mfumo Wa fahamu.
L-Arginine-150mg
Ni protini ambayo iko katika mfumo Wa amino acid inayosaidia kuimarisha mishipa/misuli na mifupa,kupunguza presha ya damu na kuimarisha ufanisi Wa tendo la ndoa kwa mwanaume.
saw palmetto
(fruit)-150mg
Hii ina umuhimu katika afya ya tezi dume na ovari (uzalishaji wa mayai ya k**e) kwa mwanamke na pia kusaidia kuzuia visababishi vya upara kwa mwanaume na mwanamke.
pygeum africanum (back)-50mg
Inatumika k**a Tiba mbadala kwa ajili ya uvimbe kwenye tezi dume.
Co-Enzyme Q-10-10mg
Ni kimeng'enyo na kiondosha sumu kinachosaidia katika uzalishaji Wa nguvu mwilini (energy)
Inasaidia kurefusha umri Wa kuishi,afya ya moyo,kupunguza presha ya damu na kupambana na kansa.
Soy Extract-150mg.
Ina phytoestrogens kwa wingi inayosaidia kubalansi ufanisi Wa hormone za kiume.
Inasaidia kuondoa dalili zinazotokana na PMS na kuondoa kutokupata hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke (menopause) na kumsaidia kufika kileleni.
FAIDA:-
1: Aphrodiasiac activity( Inaongeza hamu ya mapenzi kwa kina mama na kina baba kwa asilimia zaidi ya 180, stamina na Nguvu.
2: Inasaidia kuondoa depression-msongo wa mawazo.
3: Inasaidia kuondoa madhara ya kukoma hedhi-menopause( homoni na kusikia joto kali-hot flashes).
4: Inarutubisha mayai.
5: Inaongeza idadi ya mbegu za kiume(sperm count) kwa asilimia 200 na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri (mobility).
6: Inabalance kiwango cha chuma kwenye damu.
7: Inasaidia kupromote matumizi ya glucose kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.
Je Ungependa kutumia bidhaa hizi ili kuongeza ufanisi wa mwili wako?. Wasiliana nami kupitia
Call/whatsapp +255 745341174