
12/09/2022
AFYA YA NGOZI YAKO HUTEGEMEA SANA VITU VIFUATAVYO
1. CHAKULA UNACHOKULA
2. VITU UNAVYOILISHA NGOZI YAKO (mafuta ,sabuni, maji na rosheni)
3. MAZINGIRA UNAYOISHI (vumbi, jua kali, hewa chafu, uwepo wa vijidudu na bakteria ) 4. MAZOEZI (kuondoa mafuta yaliyizidi na sumu ) 5. KINGA ZA MWILI
6. DAWA UNAZOTUMIA CHAKULA CHA NGOZI KWA AFYA YAKO
👉 ASALI
👉 huhifadhi unyevunyevu wa ngozi na kuzuia kukauka kwa ngozi
👉 hukarabati majeraha na vidonda kwenye ngozi huzuia mashambulizi ya vijidudu vya magonjwa ya ngozi na kulinda afya ya ngozi yako
B. VYAKULA VYA BAHARINI (SAMAKI), maana vina utajiri wa madini ya zinc na OMEGA3
👉 hivi husaidia kuondoa chunusi,harara
👉 hufufua seli hai za mwili na kukufanya ngozi inga'e na kuwa na mvuto C,MATUNDA( machungwa,limao,karoti,parachichi yana vitamin c kwa wingi na cirtrus acid ) 👉 hutengeneza collageni K**a protini inayokarabati na kuunda ngozi upya. MBOGAMBOGA ZA MAJANI NA MAYAI. yana wingi wa vitamini A, B
👉 huondoa mafuta ya sebum ambayohusababisha chunusi na vipele
0072518275
https://wa.me/message/RPQINHKASRXKF1