Wiamedics

Wiamedics Tunatoa huduma za tiba mbali mbali za magonjwa sugu na magonjwa ya kawaida
-afya ya uzazi ya mwanamke
-afya ya uzazi ya mwanaume
-pressure & kisukari
Etc

27/09/2022

Magonjwa yote ya uzazi, yanatibika, pia na magonjwa sugu yasiyoambukizwa

Nothing matters most than u'r health
27/08/2022

Nothing matters most than u'r health

26/06/2022
Je unalijua tatizo la hormonal imbalance, linalowatesa wanaume na wanawake wengi duniani? Karibu kweny group letu la wha...
23/06/2022

Je unalijua tatizo la hormonal imbalance, linalowatesa wanaume na wanawake wengi duniani? Karibu kweny group letu la whatsaap upate kujifunza mambo mbali mbali kuhusu afya.

Homoni ni wajumbe wa kemikali ambao husaidia kudhibiti kazi za mwili na kudumisha afya kwa ujumla. Homoni za ngono huchu...
19/06/2022

Homoni ni wajumbe wa kemikali ambao husaidia kudhibiti kazi za mwili na kudumisha afya kwa ujumla. Homoni za ngono huchukua jukumu muhimu katika ukuaji na uzazi wa kijinsia.

Kwa wanawake, homoni kuu za ngono ni estrojeni na progesterone. Uzalishaji wa homoni hizi hutokea hasa katika ovari, tezi za adrenal, na, wakati wa ujauzito, placenta.

Homoni za ngono za k**e pia huathiri uzito wa mwili, ukuaji wa nywele, na ukuaji wa mfupa na misuli. Ingawa homoni hizi kawaida hubadilika-badilika katika maisha ya mtu, kukosekana kwa usawa kwa muda mrefu kunaweza kusababisha dalili na athari za kiafya.

31/05/2022

Karibuni sana wapendwa kwa afya ya ngozi, hii ni yenu wakaka na wadada pia.

29/05/2022

Drop your comment 💥💥

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, ...
27/05/2022

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga,Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamin A,B6,C. Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.

Tunda linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la damu.

Faida 13 za tikiti maji kiafya

• Asilimia 92 yake ni maji
• Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
• Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili,
• Huponya majeraha,
• Hukinga uharibifu wa seli
• Huboresha afya ya meno na fizi
• Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
• Hubadilisha protin kuwa nishati
• Chanzo cha madini ya potasiamu
• Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la damu
• Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
• Huondoa sumu mwilini
• Huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume

Kwa Mwanafamilia mwenye Dalili zifuatazo karibu Tukupatie suluhisho la kudumu. ➡️UTI za mara kwa mara➡️Maumivu ya tumbo ...
20/05/2022

Kwa Mwanafamilia mwenye Dalili zifuatazo karibu Tukupatie suluhisho la kudumu.

➡️UTI za mara kwa mara
➡️Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto pamoja na maumivu ya kiuno k**a cha period na mgongo
➡️Sehemu za uke kuwa na ulaini sana na kutokwa na uchafu unaonuka na miwasho mikali
➡️Sehemu za siri kuwa kavu na Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ngono na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa
➡️Kuvurugika kwa hedhi na mfumo wa homoni
➡️Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani
➡️Maumivu wakati wa kukojoa
➡️Kutoshika Mimba na wakati mwingine Mimba kuharibika
➡️Kupata maumivu wakati wa choo
➡️Vimbe au fybroids
➡️Kukosa hamu ya tendo
➡️Mirija ya uzazi kuziba
➡️Kupata dalili k**a mjamzito wakati sio
➡️Kupata dalili za homa k**a kizunguzungu, mwili kukosa nguvu, kukosa hamu ya kula na uchovu mwingi.

KWA WANAUME
➡️KUWAHI KUFIKA KILELENI
➡️KUSHINDWA KUMRIDHISHA MWENZIO
➡️KUSHINDWA KUFURAHIA TENDO
➡️KUCHELEWA KUFIKA KILELENI
➡️KUSHINDWA KUSIMAMA IPASAVYO
➡️MAUMIVU YA KORODANI
➡️KUKOSA STAMINA
➡️MSONGO WA MAWAZO
➡️MBEGU KUTOKA NYEPESI
➡️MAUMIVU YA KIUNO MGONGO NA MWILI KUCHOKA SANA

KARIBU TUKUPATIE SULUHISHO LA KUDUMU

20/05/2022
K**a una dalili zozote kati ya hizo please tafuta suluhisho mapema!
20/05/2022

K**a una dalili zozote kati ya hizo please tafuta suluhisho mapema!

Karibuni sana jamani
20/05/2022

Karibuni sana jamani

20/05/2022
20/05/2022

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wiamedics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Wiamedics:

Share