Afya kavishe

Afya kavishe Tiba kwa matatizo ya
UTI,PID,SUKARI,VIDONDA
VYA TUMBO,UZAZI,TEZI DUME,NGUVU ZA KIUME,UVIMBE, n.k Huduma ya ushauri inatolewa bure

28/06/2023

My product is made as Anti-bacteria, Anti-oxidizing, Moisturizing price Tsh.11800 only Made with grape fruit extract, honey, green tea, olive oil, etc. Take care of your skin😊😊😊

UNATUMIA SABUNI GANI KUOGEA??, RUNGU? ET! JAMAA AU MAGADI?? AU??😃😃😃
SAWA'
K**A SABUNI UNAYOTUMIA HAIJAWAHI KUKUATHIRI KWA CHOCHOTE OK TUMIA 🙏
LAKINI USIMWOGESHEE MTOTO WAKO PLEASE 😔😔

PIA K**A WEWE HUJAPATA SABUNI NZURI KUOGEA NA KUTUNZA NGOZI YAKO BAS UAMUZI WA KUNITAFUTA NI WAKO PIA ✍️

Karibu sana nikushauri na nikusaidie Kwa Afya, Mwonekano na Ulinzi wa NGOZI YAKO.

SABABU ZA MAUMIVU MAKALI YA KICHWA MARA KWA MARA..🔴🔴 Homa🔴🔴 Shinikizo la Damu (High Blood Pressure)🔴🔴 Mishipa ya damu ku...
04/12/2022

SABABU ZA MAUMIVU MAKALI YA KICHWA MARA KWA MARA..

🔴🔴 Homa

🔴🔴 Shinikizo la Damu (High Blood Pressure)

🔴🔴 Mishipa ya damu kukosa maji kwa muda mrefu.

🔴🔴 Msongo wa mawazo (stress)

🔴🔴 Ongezeko la sumu katika damu (Toxins)

🔴🔴 Kusinyaa/kuziba kwa mishipa ya damu kutokana na mafuta mengi (cholesterols) Mwilini.

🔴🔴 Kutopata usingizi Vizuri nyakati za usiku.

🔴🔴 Uzito mkubwa

🔴🔴 Mvurugiko wa homoni mwilini.

⚫⚫ATHARI ZA MAUMIVU YA KICHWA.
🔸Kupoteza kumbukumbu
🔸Kupata kiharusi (stroke)
🔸 Kukosa usingizi
🔸Kupata tatizo la kipanda uso
🔸Mingurumo na makelele sikioni, hali hii itapelekea kupoteza kabisa uwezo wa kusikia katika umri wa uzee au kadri unaongezeka umri.

🇹🇿☎️USISITE KUWASILIANA NASI KWA MSAADA ZAIDI (tiba & Ushauri)..
Piga simu•||WhatsApp
☎️..0713 0713 727 148

FAHAMU HEDHI YA MABONGE➡️Kutokwa na mapande ya damu kwenye Hedhi mfululizo ni kitu hatari na inaashiria Changamoto fulan...
04/12/2022

FAHAMU HEDHI YA MABONGE

➡️Kutokwa na mapande ya damu kwenye Hedhi mfululizo ni kitu hatari na inaashiria Changamoto fulani ya kiafya. Hedhi nzito kisha inachukua zaidi ya siku (3-5), inaweza kuashiria Dalili👇🏻
👉🏼Vimbe kwenye kizazi (Fibroids)
👉🏼Kutanuka kwa kizazi (adenomyosis)
👉🏼Vimbe kwenye mayai (PCOS)
👉🏼Saratani kwenye kizazi
👉🏼Changamoto ya tezi ya shingoni(thyroid condition)
👉🏼Majeraha kutokana na kitanzi.
👉🏼Upungufu wa Vitamin K

NB: Endapo unapata dalili ambazo hujazoea kwenye hedhi yako, pamoja na dalili zinazokunyima uhuru unatakiwa kumuona daktari.

Dalili hizo ni pamoja na;-

👉🏼Kukosa nguvu na kuishiwa pumzi kwenye hedhi:- hii yaweza ashiria upungufu wa damu.

👉🏼 Maumivu na kutokwa Damu kwenye s*x.

👉🏼 Mabonge ya Damu makubwa
👉🏼Kutumia zaidi ya pedi moja kwa lisaa
👉🏼 Hedhi ya majimaji ya kung'aa au kijivu.
👉🏼Kupata hedhi nyingi zaidi ya siku 7


Kwa msaada zaidi tafadhali wasiliana nasi, piga simu ama WHATSAPP;
☎️..0713 0713 727 148

UGONJWA WA MASUNDOSUNDO / VIGWARU (GE***AL WARTS) ."GE***AL WARTS - ( MASUNDO SUNDO ) NI NINI?Ni vinyama Laini vidogovid...
01/12/2022

UGONJWA WA MASUNDOSUNDO / VIGWARU (GE***AL WARTS) .

"GE***AL WARTS - ( MASUNDO SUNDO ) NI NINI?

Ni vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri, vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), maeneo yanayozunguka haja kubwa na sehemu mbalimbali za mwili.

~Ugonjwa huu unaenezwa kwa njia ya kujamiiana (S*XUAL TRANSMITTED INFECTION) STI)

"CHANZO CHA TATIZO HILI"

~Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS ( HPV) hata hivyo Kuna Aina tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanaosababisha Masundosundo katika sehemu tofauti k**a vile mkono, mgongoni, mguuni nk.

Pia HPV huweza kasababisha saratani ya shingo ya kizazi (CARCINOMA OF THE CERVIX) kwa wanawake, na pia huweza kusababisha saratani ya sehemu ya haja kubwa (A**L CANCER) kwa jinsia zote mbili.

~Ugonjwa huu wa Masundosundo umejitokeza kwa kiasi kikubwa baada ya kuwepo kwa janga la UKIMWI hivyo watu wenye wapenzi wengi, wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo na haja kubwa, wajawazito, watumiaji wakubwa wa sigara na pombe, watu wenye upungufu wa kinga mwilini wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu

DALILI ZA MASUNDOSUNDO"

"~mgonjwa wa tatizo hili hutokewa na vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye katika maeneo tofauti (MFANO HALISI TIZAMA KATIKA PICHA) ingawa wakati mwingine huwa ni vidogo kiasi cha kutoweza kuonekana kwa njia ya kawaida.

~mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo
~kutokwa na uchafu mzito sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo
~kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa.

NOTED :mwanaume huwa anachelewa kupata dalili na huwa na uwezekano mkubwa wa kuambikiza wenza wao

"MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA HUU"

~matibabu ya tatizo hili hupatikana kirahisi iwapo tatizo halijachelewa kupatiwa tiba, matibabu hutolewa kwa kufuata utaratibu wa Majibu yaliyopatikana katika vipimo mbalimbali, matibabu hayo huweza kuwa ya kuviondoa vinyama kwa kufanya operations au kutumia dawa, hata hivyo njia ya operation sio nzuri sana kwasababu huweza kutengeneza madhara zaidi na uwezekano mkubwa wa kupata kansa hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa ambazo zitatibu na kuondoa tatizo hilo na mgonjwa kupona kabisa ila cha kuzingatia ni kwamba ugonjwa huu ni wa kuambikiza hivyo inashauriwa wenza wote kupata matibabu hata k**a atajihisi hana dalili yoyote ni vyema akafanya vipimo ili kujihadhari kabla ugonjwa haujaleta madhara zaidi.

~Waswahili wanasema bora kinga kuliko matibabu hivyo ni vyema ukajiepusha na ugonjwa huu kwa kuepuka yafuatayo:

-EPUKA KUWA NA WAPENZI WENGI
-EPUKA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
-ACHA ORAL S*X UKISHINDWA BASI KUWA NA MPENZI MMOJA TU AMBAYE NDIO UNAWEZA KUMNYONYA SEHEMU ZAKE ZA SIRI.

ZINGATIA MAPENZI UJUZI LAKINI AFYA YAKO NI MALI ZAIDI WADADA/WAKAKA WENGI MMEKUA MKITAKA KUWARIDHISHA KILA MNAOKUTANA NAO KIMWILI KWA KUWANYONYA SEHEMU ZA SIRI KITU AMBACHO KINAKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA UGONJWA HUU NA KANSA YA KOO.
-EPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, SIGARA NA POMBE KUPITA KIASI

NOTED : NDUGU RAFIKI ugonjwa huu una madhara makubwa unaweza kusababisha kansa ya kizazi, kansa ya uume, kansa sehemu ya haja kubwa Nk hivyo hakikisha unapata matibabu ya uhakika iwapo una tatizo hili au ikiwa hauna jitahid kujiepusha na vihatarishi vya ugonjwa huu.

K**a unahitaji tiba na ushauri wa Magonjwa na Matatizo Mbali Mbali ya Kiafya Unaweza kuwasiliana nasi ukafika ofsini
Mlimani City - DAR ES SALAAM ambapo utapata dawa na ushauri kwa gharama nafuu.

0713727148

🚨Umewahi kujiuliza kwanini ukiwa na mawazo ya tendo la ndoa au ngono uke unatanuka k**a uliotumika?Iko hivi, Mwanamke an...
30/11/2022

🚨Umewahi kujiuliza kwanini ukiwa na mawazo ya tendo la ndoa au ngono uke unatanuka k**a uliotumika?

Iko hivi, Mwanamke anapowaza hilo tendo, uke hufunguka wenyewe. Kufunguka huku hukadiriwa kufikia urefu wa inchi 3 hadi 7 (cm 7.62-17.7) na upana wa inchi 1 hadi 2.5 (6.35cm)

Hali hii hutokea pale sehemu ya ndani ya uke inapoisukuma ndani zaidi shingo ya kizazi (Cervix) pamoja na mji wa Mimba (Uterus) ili kupata urefu sahihi unaoendana na urefu ama ukubwa wa maumbile ya mwanaume.

Wanawake wote hupitia hali hii, ila wale wasiopitia hali hii; mara nyingi hukabiliwa na matatizo katika mfumo wa Homoni za uzazi pasipo wao kujua,

*Je?, Leo ulipomuwazia mkunaji wa Pele, ulihisi kwa bibi kumelegea au pakavu k**a jangwani*
*au hujui hata uko kundi lipi;?*

Kwa msaada Zaidi wasilia NAMI,, 0713 727 148

*TATIZO LA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE  CHANZO MPAKA MATIBABU YAKE (DYSMENORRHEA)*CHANGO la UZAZI, Ni miongoni mwa shid...
29/11/2022

*TATIZO LA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE CHANZO MPAKA MATIBABU YAKE (DYSMENORRHEA)*

CHANGO la UZAZI, Ni miongoni mwa shida kubwa inayo shambulia viungo vya UZAZI vya mwanamke,

Ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kumsababishia kukosa ujauzito,

Au mimba kunaribika kila zinapotungwa.

ZIPO Aina nyingi za chango ambazo huweza kujitokeza kila moja peke yake ila zikikusanyika na kujitokeza kwa pamoja ndio huitwa (Ovulation Disorder)

*Chanzo Cha Tatizo.*

•Tatizo linatokana kwenye vimfuko vya mayai (ovaries) kuto kuwa na uwezo wa kuzalishwa mayai na kuyafanya yakue katika mda muafaka,

Mwanamke mwenye tatizo hili huwa Hana siku za hatarii na ATA K**a akiwa Nazo basi huwa hazina mpangilio maalumu.

Inawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa ana uwezo wa kuzalisha mayai ila yakashindwa kukomaa na hata yakikomaa yakashindwa kupita kwenye mirija ya UZAZI(uterine tubes) kwa ajili ya kirutubishwa na manii za mwanaume.

• Pia tatizo hili huanzia kwenye Ubongo ambapo sehem inayohusika na Uzalishaji wa homoni hushindwa kufanya kazi vzurii,

Hivyo kushindwa kudhibiti Uzalishaji wa homoni za Follicle stimulating hormone, (FSH) na Lutenizing Hormone,(LH)

Hizo ndio huusika katika Uzalishaji na uchavushwaji wa mayai ya mwanamke katika viungo vyake vya UZAZI,

• Matumizi ya tumbaku ni miongoni wa sababu zinazo tajwa kuwa huvuruga hormone za mwanamke,

Kuvurugika kwa hormone hizo ndio kupata kwa tatizo Hilo,

• kuziba kwa mirija ya UZAZI, kutokana na maambukizi ya via vya uzazi,

• Chanzo kingine ni Hyperplolactinemia ambapo mwili wa mwanamke huzalisha homoni ya prolactin kwa wingi,

Ambayo ikizidi kwenye damu huzuia Uzalishwaji wa homoni ya Oestrogen ambayo hutumika kuchochea Uzalishaji wa mayai ya uzazi,

*Wanawake walio kwenye hatari ya kupata Chango la UZAZI,*

• Wanawake wenye uzito mkubwa.

*Dalili za chango la UZAZI,*

• Mwanamke Kupata maumivu makali pindi anapo karibia kuingia kwenye tarh za hedhi,

•Kupata maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa,

•kujihisi homa Kali anapo karibia siku za hedhi,

•kujihis home Kali anapo karibia siku za hedhi.

•Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi na Dalili zingne ambapo mwanamke anakuwa mzunguko wenye siku zaid ya 35,

Au mzunguko wa hedhi chini ya siku 21,

•Mwanamke kuwa na hasira anapokaribia kwenye siku hedhi,

•Kupata michubuko kwenye uke,

•Kuchukia kufanya tendo la ndoa,

•Kupata Uvimbe kwenye kizazi

• mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi,

*MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE.*
•Ugumba

•Mimba kuharibika na kutoka,

•Kutofrahia tendo na kushindwa kufika kileleni,

•Uvimbe kwenye kizazi

*KARIBU UPATE TIBA MAPEMA UINGIE HEDHI KWA UHURU*

Namba zangu Ni 0713 727 148

MTOTO KUKOSA HAMU YA KULA (APPETITE)Hamu ya kula (appetite) ya mtoto inabadilika siku hadi siku,mwezi wa hadi mwezi kuto...
25/11/2022

MTOTO KUKOSA HAMU YA KULA (APPETITE)

Hamu ya kula (appetite) ya mtoto inabadilika siku hadi siku,mwezi wa hadi mwezi kutokana na ukuaji wake.Watoto wanakua kwa haraka sana katika miezi 0-6,na mwendo wa ukuaji hupungua miezi 12-18.Kwa hiyo inawezekana kabisa mtoto kula kidogo akifika miezi 15.kuliko alivokuwa anakula akiwa na miezi 11.

Lakini mtoto akionekana kula kidogo kiasi cha kuathiri afya yake (kupungua uzito n.k) ni wakati wa kuchukua hatua.Usishtuke k**a ni tatizo la siku mbili tatu tu,Hali ikiendelea kwa wiki basi unaweza kuhitimisha kuwa mtoto hana hamu ya kula.Au k**a kuondoka kwa hamu yake ya kula kumekuja na matatizo k**a homa,upele,kuharisha au kufunga choo n.k

Zipo sababu nyingi zinazosababisha mtoto kukosa hamu ya kula zikiwemo Kuota meno,Ugonjwa na nyinginezo.Hapa tutaeleza jinsi ukosefu wa madini na vitamini muhimu unavosababisha tatizo hili,Umuhimu wa madini hayo na namna ambayo mtoto wako anaweza kupata virutubisho hivyo

VIPI KUHUSU MADINI?:

Madini ya Zinki
Madini ya Zinki yanasaidia uzalishaji wa kemikali inayosaidia kusaga chakula tumboni kwa mtoto.Kupelekea chakula kusagika kwa haraka na kwa muda sahihi.Hii inafanya mtoto kuwa mchangamfu na kufurahia kila mlo.
Upungufu wa madini ya zinki unasababisha mtoto kupoteza hamu ya kula kwa kiasi kikubwa sana.K**a ukosefu wa madini haya haujagundulika kwa haraka na kutibiwa mtoto anakosa hamu ya kula na matokeo yake ni kukonda/kutokuongezeka uzito.

Kwa ushauri zaidi wa kiafya
wasiliana nasi tafadhali

Dr. 0713 727 148

*VYAKULA 10 KWA KUIMARISHA NGOZI YAKO*Wengi wanapenda kuonekana warembo Lakini inawezekana ukawa unajiharibu zaidi katik...
25/11/2022

*VYAKULA 10 KWA KUIMARISHA NGOZI YAKO*

Wengi wanapenda kuonekana warembo Lakini inawezekana ukawa unajiharibu zaidi katika kujifanya uwe mrembo leo na kujiletea madhara makubwa yasiyotibika kesho. Pia, inawezekana unatumia hela nyingi na muda mwingi katika kuhakikisha ngozi yako inakuwa nyororo, nzuri, na ya kuvutia. Je, unafahamu kuwa kuna aina za vyakula vinavyosaidia katika kutunza ngozi yako?

K**a ambavyo unajitahidi kufuata kanuni za afya ili kuufanya mwili wako uwe vizuri – chakula bora, mazoezi mara kwa mara, kupumzika kwa muda mrefu – vivyo hivyo ngozi yako inatakiwa kutunzwa kutokana na kanuni asilia. Hapa tunakuletea vyakula vinavyotunza ngozi yako bila gharama yeyote.

1. *Asali*

Asali ni afya kwa binadamu, hutengenezwa na nyuki kwa viambato asilia. Chochote kile ambacho ni kizuri kwa afya yako ni nzuri kwa ngozi pia. Ngozi yenye afya inatakiwa kuhifadhi unyevunyevu ili kuzuia kukauka na kupasuka. Hii ndio sababu kubwa ya kutumia mafuta ili kuweka ngozi iwe na unyevunyevu. Asali husaidia kuleta na kuhifadhi unyevunyevu kwenye ngozi.

Ili kuweza kulinda ngozi, paka asali wakati wa kuoga, acha kwa muda kisha ioshe. Ni zoezi la muda mfupi linalohakikisha ngozi yako inanawiri vizuri.

Asali ina kiwango kikubwa cha sukari na asidi ambavyo huzuia vijidudu (Bacteria) wanaozaliana kwenye ngozi.

2. *Vyakula vya baharini*

Kwa ujumla vyakula vya baharini ni vizuri kwa afya yako, lakini faida haishii kwenye afya ya mwili tu, bali inasaidia hata kwenye ngozi yako. Vyakula vingi vya baharini vina kiwango kikubwa cha Zinc na Omega-3 ambazo ni muhimu kwa afya ya ngozi yako.

*Faida za Omega3*
Kuondoa kukak**aa au ukavu wa ngozi.
Kupunguza kuvimba na kukunjamana kwa ngozi.
Husaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kuboresha ngozi - mzunguko mzuri wa damu mwilini ni muhimu kwa ngozi yenye afya.
Faida za Zinc kwa ngozi
Inasaidia kuondoa chunusi na harara kwa kuyeyusha homoni ya testosterone.
Inasaidia kuzalishwa kwa seli au chembe hai za mwili na kuondoa chembe zilizokufa. Hii inaifanya ngozi kung’aa na kuwa na mvuto
3. *Mayai*

Nadhani si ajabu kusema kuwa yai ni kirutubisho muhimu kwa afya yako. Lakini afya yako huonekana kutokana na ubora wa ngozi yako. Yai lina virutubisho muhimu sana – iwe kiingi au ute – kwa afya ya ngozi yako. Kiini cha yai kina vitamin A, na B. Ute wa yai una protini nyingi ambayo ni muhimu pia kwa ngozi yako.

Tretinoin inayopatikana kwenye Vitamin A kwa ngozi yako ni kuwa inasaidia kuondoa chunusi na mikunjo ya ngozi.
Biotin inayopatikana kwenye Vitamin B ni muhimu kwa afya ya ngozi na kucha.
Protini inayopatikana kwenye ute wa yai ni muhimu kufanya ngozi kuwa nyororo na yenye kung’aa na kusaidia ngozi kujilinda vizuri na mionzi ya jua.

4. *Matunda*

Matunda yenye vitamin C – chungwa, limao na mengine mengi – ni muhimu kwa afya ya ngozi yako sababu inasaida kutengeneza collagen, aina ya protini inayotengeneza ngozi.

Vitamin C inasaidia kuondoa uvimbe na mikunjo ya ngozi hivyo kuilinda ngozi yako kuzeeka mapema.

5. *Shayiri*

Shayiri ina virutubisho muhimu vya kuisaidia ngozi yako. Hivi ni k**a

Mafuta yanayolainisha ngozi
Polysaccharides ambayo huzuia kupasuka kwa ngozi kutokana na ukavu
Saponins, inayosaidia kusafisha ngozi na kuzuia fungus na vijidudu
Polyphenols inayozuia uvimbe wa ngozi
Protini inayojenga na kurutubisha ngozi
Wanga unaohifadhi unyevunyevu kwenye ngozi

6. *Mboga za majani*

Mboga za majani zina vitamini A nyingi sana. Vitamin A ni muhimu kwenye ngozi sababu ndio kitu kikubwa kwenye kusaidia ngozi kuzalisha seli mpya na kuondoa zile zilizokufa, hivyo kupunguza ukavu na kutunza ngozi na kuifanya kungara na kuvutia.

7. *Shea Butter*

Mafuta ya shea ni kirutubisho muhimu kinachotumika kwa muda mrefu sana katika kutibu magonjwa mengi, hasa katika nchi za Afrika. Mafuta ya shea yana triglycerides, mfano palmitic, stearic, oleic and linoleic fatty acids. Hivi ni muhimu katika kuleta unyevunyevu na kulinda ngozi kwa muda mrefu.

8. *Karanga*

Vyakula jamii ya karanga vina vitamin E..

ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA KULA VYAKULA HIVI👇.Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi.Katika makala hii nit...
25/11/2022

ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA KULA VYAKULA HIVI👇.

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi.

Katika makala hii nitakueleza juu ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi na nitakueleza chakula kimoja baada ya kingine kiundani zaidi.

Jina langu naitwa . Endelea kusoma …

Unachotakiwa ni kujijengea mazoea ya kuhakikisha mlo wako kwa siku haukosi hivi vyakula. Ukiwa mbunifu kwenye kupika kuna uwezekano ukatumia vyote au nusu yake katika chakula chako cha kutwa nzima

K**a bado hujuwi nguvu za kiume ni nini hasa bonyeza HAPA.
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=124644803625550&id=100082400934830&mibextid=Nif5oz

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

1.Ndizi

Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwaza juu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana.

Kwa msingi huo ulaji wa ndizi mbivu unatajwa kusaidia kujenga misuli mwilini na kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.

Kuwa na stamina ni muhimu katika ufanyaji mapenzi. Ndizi ni chanzo kikubwa cha vitamini B ambayo husaidia sana katika kuongeza stamina na nguvu mwilini hasa wakati wa kufanya kazi nzito.

Ndizi ina kimeng‟enyo cha Bromelain ambacho huongeza nguvu za kiume na ashki ya mapenzi (libido).

Ndizi ni tunda zuri na tamu sana, lina potasiamu na vitamini B kwa wingi viinilishe ambavyo ni mhimu ili kuamsha hamu ya tendo la ndoa na uzalishwaji wa homoni ya „testosterone‟ kwa ujumla.

Ndizi huongeza nguvu ya mwili kwa ujumla ikiwemo nguvu za kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume pia kwa wanawake.

Kula ndizi 2 hadi 3 zilizoiva kila siku.

2. TikitiMaji

Tikiti maji ni tunda mhimu sana kwa kulinda ndoa na inatakiwa walau kwa siku upate vipande viwili au vitatu na sasa yapo kwa wingi ushindwe wewe na ni muhimu ukala na mbegu zake kwani ndizo ambazo huwa na nguvu za kiume.

Tunda hili lina faida nyingi pamoja na kuwa ni chanzo kikuu cha Protini, Mafuta, Nyuzinyuzi, Wanga, Calcium, Phosphorus, Chuma,Vitamini A, B6, na C.

Viinilishe vingine kwenye tikiti maji ni pamoja na Potasium, Magnesium, Carotene, anthocyanins na Virutubisho vingine vingi.

Tunda hili linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalisha misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kukuondoa katika hatari ya kupata shinikizo la juu la damu.

Tikiti maji linasemwa kuwa ni mkuyati wa asili pia k**a lilivyo parachichi. Kwenye tikiti maji kuna vitu hivi vitatu mhimu sana kwa afya ya mapenzi navyo ni „lycopene‟, „beta-carotene‟ na „citrulline‟ ambavyo husaidiwa kuweka mishipa ya damu katika hali ya utulivu.

Tikiti maji ni vi**ra ya asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa watu wa jinsia zote mbili bila kukuacha na madhara yoyote mabaya.

Faida nyingine 12 za tikiti maji kiafya ukiacha hii ya nguvu za kiume ni pamoja na:

Asilimia 92 yake ni majiVitamini A ndani yake huboresha afya ya machoVitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili,Huponya majeraha,Hukinga uharibifu wa seliHuboresha afya ya meno na fiziVitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vemaHubadilisha protini kuwa nishatiChanzo cha madini ya potasiamuHusaidia kushusha na kuponya shinikizo la damuHurahisisha mtiririko wa damu mwiliniHuondoa sumu mwilini

Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya hivi mara kwa mara.

Jiunge na mimi na watu wengine zaidi ya 94000 kwenye ukurasa wangu wa facebook kwa kubonyeza hapa

3. Kitunguu Swaumu

Kitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.

Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation kwa lugha ya kiingereza) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake

kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.

Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali

iitwayo homocystine mwilini na hivyo kupunguza madhara ya kisukari.

Kitunguu saumu kina allicin, kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzunguko mzuri wa damu hadi kwenye viungo vya uzazi.

Kuwa na damu ya kutosha katika uume husababisha hiki kiungo kusimama na hivyo kustaimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Namna ya kutumia kitunguu swaumu:

Chukuwa kitunguu swaumu kimoja

Kigawanyishe katika punje punje

Chukua punje 6

Menya punje moja baada ya nyingine

Kisha vikatekate (chop) vipande vidogo vidogo sana na kisu na uache hivyo katika hewa kwa dakika 10

Meza k**a unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda kulala.

Namna nyingine nzuri zaidi ni kuviweka ndani ya kikombe kimoja (robo lita) cha mtindi freshi koroga vizuri na unywe na hii itakusaidia kupunguza harufu mbaya ya kitunguu swaumu huku ukipata faida nyingine mhimu zilizomo kwenye mtindi.

Fanya hivi kila baada ya siku 1 unapoenda kulala kwa wiki 3 mpaka 4.

Unaweza pia kuendelea kukitumia hata k**a umepona tatizo lako.

Ukiona kichwa kizito au kinauma pumzika kutumia kitunguu swaumu kwa siku 3 hivi kisha endelea tena, mhimu usitumie kila siku bali ni kila baada ya siku 1

4. Siagi ya Karanga

Karanga ni chanzo kikubwa cha kujenga protini mwilini. Karanga huwa na kiwango kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia kuweka vizuri mfumo wa damu, hivyo kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha ufanyaji mapenzi.

Siagi ya karanga ina kiasi kingi cha mafuta masafi yasiyoweza kusababisha lehemu mwilini (unsaturated fats) na kiasi kingi cha protini, vitu hivi viwili vinafanya kazi ya kuongeza nguvu mwilini. Siagi ya karanga ina kalori nyingi zitakazokuwezesha ubaki ni mwenye nguvu kutwa nzima.

Kwakuwa ni chanzo kizuri cha madini ya chuma, shaba, magnesium, na potasiamu, siagi ya karanga ni nzuri sana katika kuuweka katika usawa mzuri mzunguko wa damu mwilini.

Kadharika kiasi kingi cha protini kilichomo kwenye siagi ya karanga kinasadikika kuwa na uwezo wa kuongeza nguvu au uwezo wa mwili na kutengeneza mishipa mingi na imara zaidi.

Mimi napenda zaidi kuitumia hii siagi kwenye mkate lakini pia unaweza kuongeza siagi ya karanga kwenye karibu kila mboga ya majani, samaki na kadharika.

Ukiacha radha yake nzuri na tamu, siagiya karanga ni chakula chenye afya na nguvu nyingi na isiyo na takataka zozote zisizohitajika na mwili.

5. Parachichi

Chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi.

Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwa na msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.

Hili ni tunda ambalo watafiti wamebaini kwamba lina uwezo wa kuongeza nguvu za kiume. Tunda hili lina uwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E. Vitamini E husaidia katika uzalishaji wa homoni zinazosaidia kuongeza nguvu za kiume.

Kulingana na watafiti tofauti, watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwa na msisimko mkali haswa wakati wa kufanya mapenzi.

Parachichi hujulikana pia k**a mkuyati wa asili. Parachichi ni dawa ya asili ya kuamsha hamu ya tendo la ndoa. Hapa Tanzania maparachichi yanapatikana kwa wingi sana mkoa wa Kilimanjaro na hata Mbeya pia.

Parachichi lina potasiamu, vitamini B6, folic acid nk, vitu hivi vitatu ni mhimu sana katika kuongeza hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa.

Potasiamu husaidia kuongeza ufanisi wa kazi wa tezi ya „thyroid‟ ambayo yenyewe husaidia kuongeza hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa k**a itakuwa ipo kwenye usawa wake mzuri.

Vitamini B6 huhamasisha uzalishwaji wa homoni za kiume na „folic acid‟ ni mhimu katika kuwezesha umeng‟enywaji na kuweka sawa usawa wa protini mwilini.

Kula parachichi moja kila siku. Unaweza pia kunywa juisi ya parachichi kikombe kimoja kila siku ukiongeza asali vijiko vikubwa viwili ndani yake.

6. Pilipili

Pia pilipili unaweza changanya kwenye chakula au ukala hivyo hivyo kwani zinasaidia mzunguko mkubwa wa damu kwa maana hiyo kufanya kuwa na hisia kali za mapenzi kwa hiyo pili pili ni chachu ya kuuamsha hisia.

Hata hivyo usizidishe kwani zina madhara k**a utazitumia kwa wingi. Kipande kidogo tu cha pili pili kwa siku kinakutosha.

7. Pweza

Aina hizi za samaki wanaovuliwa baharini huwa na madini ya zinki na chumvi vitu ambavyo vinatajwa kusaidia kuzalisha vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

Wataalam na wanasayanzi wa ndani kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili na wa Kimataifa wamethibitisha kuwa supu ya pweza ina uwezo wa kuongeza nguvu za kiume.

Wataalam hao wanadai kuwa supu hiyo inafanya kazi hiyo kwa asilimia kubwa tofauti na madawa mengine ya kemikali.

8. Chokoleti

Chocolate inasaidia kuongeza stamina katika tendo la ndoa kwa sababu ina viambato vya phenylethylamine na alkaloid.

Phenylethylamine ni kiambato kinachopelekea kujisikia vizuri, hasa wakati watendo la ndoa na alkaloidhuongeza stamina na nguvu.

Usizidishe hata hivyo kwani huwa na kaffeina ambayo ni mbaya tena kwa afya k**a utatumia kwa kuzidisha. Kipande kidogo tu cha chokoleti kinatosha na isiwe ni kila siku.

9. Maji ya Kunywa

Inapendeza kunywa maji mengi kwa siku na mtu ajitahidi anywe mengi kila siku bila kusubiri kiu.

Maji pia husaidia kuondoa sumu, magonjwa mwilini na homa za mara kwa mara.

Kitu gani husababisha uume usimame?

Unaweza kujibu ni msisimko. Ni kweli, Jibu lako linaweza kuwa sahihi. Hata hivyo msisimko ni matokeo. Kipo kinachosababisha kutokea huo msisimko. Bila hicho, hakuna msisimko unaoweza kutokea.

Kila mwanaume anatakiwa kujuwa jibu sahihi la swali hili ili atakapopatwa na tatizo atambuwe wapi pa kuanzia na pa kuishia. Siyo lazima uwe daktari, Elimu ya kutambua mfumo wako wa mwili unavyofanya kazi ni mhimu sana kwa kila mtu na si kwa madaktari pekee k**a watu wengi mnavyodhani.

Kutokusoma lolote kuhusu miili yetu inavyofanya kazi ndiyo sababu kubwa inayotufanya kuparamia dawa kiholela na hivyo kujikuta tunapata madhara zaidi badala ya kujitibu.

Mzunguko wa damu ndicho kitu kinachofanya uume USIMAME. Na kablahujaendelea kusoma tambua jambo moja mhimu; ‘’Asilimia 94 ya damu ni maji’’.

Hii ni kusema katika kila lita 10 za damu, lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Kwa kifupi maji ndiyo kila kitu mwilini, nakushauri upendelee Kunywa maji bila KUSUBIRI KIU kila siku.

Mzunguko wa damu unaofanya kazi vizuri k**a inavyotakiwa na usio na hitilafu yeyote ni kipengele mhimu sana katika afya ya mwili, mishipa na kusimama kwa uume wako.

Kwanini mzunguko wa damu ni mhimu?

Mzunguko wa damu wenye afya bora husambaza damu ya kutosha katika viungo vyote vya mwili ikijumuisha pia damu iliyo katika mishipa ya uume. Hivyo, hata k**a utagusana na mwanamke hautaweza kufanya lolote ikiwa damu haizunguki katika viungo vyako k**a inavyotakiwa.

Mtazame mtu aliyekufa, damu yake haizunguki, je anaweza kufanya lolote? Hata hivyo huo ni mfano mkubwa sana.

Hii ni kusema kuwa, chochote ambacho kinazuia mtiririko wa damu kwenda kwenye uume kinaweza kuzuia kusimama kwa uume. K**a mishipa ya vena na ateri imeziba, mwili wako hautaweza kusimamisha uume vizuri. Hii ni kutokana na kwamba uume hautapata damu ya kutosha.

Mara nyingi vena zilizoziba kutokana na mzunguko dhaifu wa damu ni sababu ya kushindwa kusimama uume kwa wanaume wengi wenye miaka 60 kwenda juu, wanaume wenye kisukari na pia wanaume wenye hali ya kukauka kwa vijiateri vya ateri, na wenye maradhi ya moyo.

10. Komamanga

Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na tufaa (apple).

Haya yanatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa zaidi.

Pendelea kula matunda haya mara kwa mara.

Jiunge na mimi na watu wengine zaidi ya 94000 kwenye ukurasa wangu wa facebook kwa kubonyeza hapa

11. Mvinyo Mwekundu

Mvivyo mwekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa.

Hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na tatizo la kushindwa kurudia tendo.

Utafiti umedhihirisha kuwa mvinyo mwekundu una wezo wa kuongeza msukumo wa damu. Elewa kwamba kiwango cha msukumo wa damu ni muhimu ili kuhakikisha kuwa uume umesimama wakati wa tendo la ndoa.

Pia ni mhimu kutambua kuwa ingawa hii inaweza kutumika k**a dawa lakini k**a utazidisha kutumia inaweza kukuletea madhara tena badala ya faida. Kumbuka ni kilevi hivyo ukizidisha utapata shida zaidi.

Inapendekezwa glasi 1 au 2 tu kwa siku inatosha. Wengi hupendelea kunywa kabla ya chakula.

12. Blueberry

Blueberry ni matunda yanayosaidia sana kuongeza nguvu za kiume, wengi hupendelea kuyaita „vi**ra‟ asilia kutokana na kazi inayoifanya mwilini.

Blueberries k**a yanavyoonekana kwenye picha yana virutubishi vinavyoimarisha mishipa ya damu na kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini.

Damu ndio kila kitu katika nguvu za kiume.

Vilevile, blueberries zina nyuzinyuzi (fiber) ambazo husaidia kuondoa lehemu (Cholestrol) mwilini kabla hazijanganda kwenye mishipa ya damu.

Kuwa na mzunguko mzuri wa damu husaidia mwanaume aweze kuhimiri mapenzi wa muda mrefu zaidi.

13. Mtini (FIGS)

Mtini (figs) ni matunda yenye kiwango kikubwa cha amino asidi, ambayo ni kiungo kikubwa katika kuzalisha homoni mwilini.

Homoni ndio kishawishi cha nguvu za kiume mwilini.

Kukosa amino asidi huweza kusababisha kukosa hamu ya mapenzi au kupungukiwa na nguvu za kiume.

14. Chaza/Kombe wabichi (Raw Oysters)

Chaza wana kiwango kikubwa cha madini ya zinki.

Madini ya zinki hutumika katika utengenezaji wa homoni ya testosterone na mbegu za kiume.

Uwingi wa uzalishwaji wa homoni ya testosterone mwilini huathiri pia hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume – ikiwa kidogo huondoa hamu, ikiwa nyingi hupelekea hamu na nguvu zaidi.

Kupungukiwa kwa madini ya zinki husababisha kupungua kwa nguvu za kiume, udhaifu (uhanithi), na kushuka kwa kiwango cha uwezo wa kufanya mapenzi.

15. Tangawizi

Tangawizi ni moja ya chakula kinachoweza kurejesha nguvu za kiume.

Unaweza kuichemsha tangawizi na ukatumia kwa kuinywa k**a chai asubuhi, mchana na jioni

Pia Tangawizi unaweza ukaitumia katika mchanganyiko wa kiasili kwa kuchanganya pamoja habbat soda, asali, kitunguu swaumu na tangawizi yenyewe.

Kunywa mchanganyiko huu kijiko kimoja cha chakula kutwa mara 2 kwa wiki 3 hivi au hatazaidi na hutakawia kuona tofauti.

Tangawizi husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini.

Kwa hivyo, ni bayana kuwa uume wako utakuwa na damu ya kutosha na pia utaweza kusimama kwa muda mrefu.

Pia, ulaji wa tangawizi husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.

16. Ugali wa Dona

Kula ugali wa dona kila siku.

Ni mhimu kuachana na mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu kwa ajili ya afya ya mwanaume.

K**a ugali wa dona unakukera jaribu kufanya hivi, chukuwa mahindi kilo 20 ongeza ngano kilo 1 na usage kwa pamoja, ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu na unaweza kula na mboga yoyote tofauti na lile dona la mahindi peke yake.

Au wakati unasaga mahindi mwambie msagaji arudie kusaga mara 3 ndiyo utapata unga mzuri mlaini.

Fanya hivi katika familia yako kwa maisha yako yote.

17. Kahawa

Kutumia kahawa kupita kiasi kunaweza kusiwe kuzuri kwa afya yako.

Lakini hatukatai kwamba kafeini iliyomo kwenye kahawa inaweza kukupa nguvu nyingi sana za kuweza kuchelewa kufika kileleni mapema.

Tumia kinywaki hiki kwa busara kwani kinaweza kikawa kina faida na hasara kwa upande mwingine pia.

Kikombe kimoja kwa siku kinatosha.

18. Zabibu

Kemikali ya anthocyanins iliyomo kwenye zabibu husaidia kwa kiasi kikubwa sana kuisafisha mishipa ya ateli na hivyo kufanya mzunguko wa damu kuwa mzuri hasa katika sehemu za uume wako.

Hii ni kwa sababu mishipa ya damu inakuwa imefunguka na damu kutiririka vizuri katika maeneo hayo.

19. Mayai ya Kuku wa Kienyeji

Mayai yanachukuliwa k**a mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingi wa mbegu pamoja na kuongeza spidi au kasi yake.

Yana vitamini E nyingi na protini ya kutosha vitu viwili mhimu katika kuongeza mbegu.

Mayai yanafanya kazi nyingine mhimu nayo ni kuzilinda seli za mbegu za kiume kutoshambuliwa na vijidudu nyemelezi kirahisi ambavyo vinaweza kuwa sababu ya kupungua kwa mbegu zako.

Viinilishe vilivyomo kwenye mayai vinafanya kazi ya ziada ya kuzifanya mbegu zenye afya zaidi na zenye nguvu zaidi jambo ambalo ni mhimu kwa ajili ya uzazi kwa upande wa mwanaume.

Kumbuka ni mayai ya kuku wa kienyeji tu yanayofaa kwa kazi hii. Kila siku kula mayai mawili mpaka matatu k**a una tatizo hili la kuwa na mbegu chache.

Vyovyote utakavyotaka k**a ni ya kukaanga au kuchemsha ni sawa.

20. Spinachi

Folic asidi ni kitu mhimu katika kuongezeka kwa mbegu za kiume.

Spinachi na mboga nyingine za majani zenye rangi ya kijani ni mhimu kwa ajili hii sababu ya vitamini na kuweka sawa usawa wa „folate‟ kwenye mfumo wako wa mwili.

K**a folate ipo chini kuna uwezekano ukawa unatengeneza mbegu zisizo na umbile linalotakiwa kwa uzazi na hiyo hupelekea shida na matatizo mengine ya uzazi.

Kula Spianchi pia mboga zingine za kijani kila siku.

21. Asali yenye Mdalasini

Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali k**a tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafahamika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kwa kutumia asali.

Inapotokea dawa za asili mbili zinachanganywa pamoja katika uwiano fulani, hutokea kuundwa dawa nyingine nzuri ambayo ni tiba kwa maradhi mengi sana. Moja kati ya muunganiko wa dawa hizo za kushangaza ni pale asali inapochanganywa na mdalasini.

Muunganiko huu umekuwa ukitumika kwa karne nyingi kutibu magonjwa mengi mwilini na kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla. Watu wengi wanakiri maajabu yaliyomo kwenye hii dawa asili ASALI YENYE MDALASINI.

Dawa hii ya asili ni maarufu kwa maelfu ya miaka katika tiba asili za China (Traditional Chinese Medicine – TCM), Ugiriki (Unani Medicine), India (ayurvedic) na Mashariki ya kati (The science of medicines based on natural treatment in the East – Tibb).

Kwa mjibu wa wataalamu wa tiba asili nchini China, mdalasini huongeza joto mwilini. Mdalasini hutengeneza joto mwilini lijulikanalo kwa kichina k**a “yang”. Yang hutibu “yin” (yin kwa kichina humaanisha baridi). Wakati asali yenyewe kwa asili huweka sawa usawa wa joto na baridi mwilini.

Asali ina madini na vitamini nyingi ndani yake, wakati mdalasini wenyewe una kalsiamu, chuma, vitamini C, vitamini K, manganizi na nyuzinyuzi (fiber).

Vinapoungana vitu hivi viwili hufanya dawa moja mhimu sana ya kuongeza kinga ya mwili.

Kunywa chai yenye asali na mdalasini mara kwa mara kunaongeza kinga ya mwili, nguvu ya mwili na nguvu ya ubongo kwa pamoja.

Asali ina madini na vitamini nyingi ndani yake, wakati mdalasini wenyewe una kalsiamu, chuma, vitamini C, vitamini K, manganizi na nyuzinyuzi (fiber).

Vinapoungana vitu hivi viwili hufanya dawa moja mhimu sana ya kuongeza nguvu ya mwili.

©Jiunge na mimi kwenye ukurasa wangu wa facebook kwa kubonyeza hapa

https://www.facebook.com/profile.php?id=100082400934830&mibextid=ZbWKwL

ANGALIZO KUHUSU MDALASINI FEKI:

Kabla sijakuacha, ni mhimu sana nikueleweshe juu ya mdalasini hasa ambao hutumika k**a dawa. Siyo kila mdalasini unaouona unaweza kukupa maajabu haya, mwingine ni sumu kabisa mwilini. Na watu wengi hawajuwi hili jambo.

(a) Ceylon cinnamon

Mdalasini ambao hutumika k**a dawa hujulikana kwa kitaalamu k**a ‘Ceylon cinnamon’ na kwa kawaida wenyewe huuzwa gharama sana. Huwa na radha tamu na harufu ya kuvutia zaidi, unatoka katika nchi ya Sri Lanka katika mmea ujulikanao k**a Cinnamon Zeylanicum. Hujulikana pia k**a mdalasini wa India.

Huwa na rangi ya kahawia (light brown), mwembamba na mlaini.

(b) Cassia cinnamon

Wakati ule ambao ni feki na ni sumu pia hujulikana k**a ‘Cassia cinnamon’ ni mdalasini huu ambao katika baadhi ya nchi umepigwa marufuku kutumika wala kuingizwa nchini mwao. Hujulikana pia k**a mdalasini wa China na wengine huuitwa Saigon.

# napenda kukukaribisha katika program yangu ujipatie huduma Bora za matibabu kwanjia sahihi na salama ya virutubisho asilia, hii nitiba kamili inayotibu moja kwamoja tatizo la upungufu wa nguvu za kiume bila madhara yoyote na kwa haraka Sana ✍️
Ofisi yangu ipo mliman City dar-es-salaam
Huduma ya bidhaa za matibabu zinatumwa popote mikoani/ nje ya Tanzania na kwa uaminifu mkubwa🙏
Wahi utibiwe, rejesha furaha yako, okoa ndoa yako 🙏🙏🙏

Dr. 0713 727 148 call/what's up

Address

Mliman City Dar-es-salaam, Kinondoni, @Afya_kavishe
Dar Es Salaam

Telephone

+255713727148

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kavishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya kavishe:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram