27/08/2021
MAKOSA WANAYOFANYA WANAUME WANAPOGUNGUA WANACHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME!
Wanaume wengi wanapogundua wamepungukiwa na nguvu za kiume huwa Mara nyingi hukimbilia kutafuta Dawa za kuongeza NGUVU ZA KIUME na sio tusafuta suluhisho la chanzo cha tatizo.Hili Ni KOSA KUBWA sana!
Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo Cha tatizo kwa maana ya kwamba dawa hizi hazitibu tu tatizo Bali pia Zina madhara mengi Sana kiafya pia.Nini ambacho hufanya mwilini Dawa hizi? Dawa hizi hufanya kazi ya kuulazimisha MOYO kusukuma damu kuingia katika uume,Kwan kua-activate nitric oxide.matokeo yake Ni kwamba viungo ambavyo Ni vigonjwa vitalazimika kufanya kazi huku vikiwa Ni vigonjwa,...na hatimaye vitadhoofika kabsa,
K**a ambavyo wewe unakuwa mgonjwa na unalazimishwa kufanya kazi,Mara ya kwanza unaweza kufanya,lakini Mara nyingne unaweza kushindwa kabsa,na hata kuumia zaidi.Hiki ndicho kinachotokea Kwan wahanga wengi wa madawa ya kikemilkali.Atakwambia ..."nilijaribu kutumia Mara kadhaa ikawa inasimama lakini baadae haikusimama kabsa,hata K**a nikitumia siwezi kabsa" ....Hivyo unapotibu nguvu za kiume unatibu afya yako kwa Ujumla,kinyume na watu wanvyofikiri kwamba labda nguvu za KIUME Ni ule uume!! NGUVU ZA KIUME ziko NDANI na Ni viungo na vipengele mbalimbali vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume.
Kwa mawasiliano,elimu na ushaur na tiba ; wasiliana nami;
WhatsApp/call:+255659414711