16/07/2024
0689-896-575
Wanawake wengi sana wanasumbuliwa na ugonjwa hatarishi wa PID bila kufahamu kwani Mara nyingi wakienda hospitali wataaambiwa wana U. T.I na fungus
Ukweli ni kwamba ni P.I.D - Ni maaambukizi ya bacteria katika via vya uzazi vya mwanamke..kirefu chake ni PELVIC INFLAMATORY DISEASE..
VIASHIRIA VYA UGONJWA HUU NI
👉Kutokwa na Uchafu sehemu za siri k**a mtindi,mweupe,cream,njano,kijani au brown,na wakati mwingine unachanganyika na damu
👉kuwashwa ukeni
👉kutoa harufu mbaya sehemu za siri
👉kupata maumivu chini ya kitovu wakati wotee
👉kupata maumivu makali wakaati wa tendo la ndoa
Madhara ya ugonjwa huu ukikaa mda mrefu ni
👉kushindwa kupata ujauzito
👉kupata saratani ya CERVIX shingo ya kizazi
👉mirija ya uzazi kuziba
👉mirija ya uzazi kujaa maji
👉mirija yako kuharibika kabisa
👉kupata tatizo la hormone inbalance..
👉kuwa mkavu Ukeni ambapo inakusababishia maumivu wakati wa tendo la ndoa
👉kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa
©Ili kusaidika na tatizo hili la p.i.d