Imarisha Afya Yako

Imarisha Afya Yako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Imarisha Afya Yako, Medical and health, Dsm, Dar es Salaam.

Dr Karata 0769 834 002 Viungo na mifupaMatatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wana...
29/08/2023

Dr Karata 0769 834 002
Viungo na mifupa

Matatizo ya mifupa na viungo yamekuwa changamoto Sana kwa watu wengi na hasa wanapofika umri was miaka 30 na kuendelea.Hapa Sasa mtu ataanza kuhisi maumivu makali kwenye magoti,pingili za mgongo,nyonga na shingoni pia wapo ambao viungo vyao huuma mwili nzima kutokana na upungufu was madini muhimu K**a vile zink na calcium

Kitaalamu matatizo haya yamegawanyika katika makundi makuu manne (4) nayo ni_
1:osteoarthritis- ambayo viungo vinasagana kutokana na kulika kwa gegedu(cartilage) na Ute kuisha kwenye maungio

2:Rheumatic Arthritis--hii ni ile Hali ya Kinga ya mwili kutafuna gegedu(cartilage) hii hutokea kwa watu wa umri wowote

3:Osterporosis--hii ni ile Hali ya mifupa kuwa dhaifu na kuwa rahisi kuvunjika na hutokana na upungufu wa madini ya calcium

4:Gaut Arthritis--hii inasababiswa na uric acid (kemikali inayotokana na protini ya nyama)

Dalili za matatizo ya mifupa kwa ujumla

@ . Maumivu kwenye maungio
@ .Viungo kushindwa kujikunja
@ .kusikia milio ya kusagana Viungo
@ .Kukaza kwa Viungo
@ . Kushindwa kuinama au kuinuka baada ya kukaa kwa mda flani
@ .Kuhisi ganzi kwenye miguu na kuwaka Moto kwa miguu

Sababu zinazoleta haya matatizo ya mifupa

@ .Uzito uliopindukia
@ .Historian ya familia
@ .Ajali
@ .kutumikisha viungu kupita kiasi mfano mazoezi makali
@ .Kisukari pia huleta madhara kwa mifupa na Viungo


Changamoto katika kutibu haya matatizo

@ .Watu wengi wanatumia dawa za kutuliza maumivu
*Dawa za maumivu hutuliza maumivu tu kwamda na baadae Maumivu hurudi Tena maana hazisaidii kuongeza Cartilage (gegedu) Wala uteute

wengi wanafanyiswa mazoezi
*Mazoezi huwasaidia watu kwa muda mfupi na baadae hurudi Tena tatizo

*Kwahiyo watu wengi wenye tatizo la viungu kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa Viungo kwa gharama kubwa Sana

Madhara ya kukaa na tatizo hili kwa mda mrefu

@ . Kushindwa kukunja Viungo kabisa
@ .Kuvunjika kwa urahisi kwa mifupa
@ .Kushindwa kutembea kabisa
@ . Kushindwa kupanda ngazi
@ .kupata maumivu makali Sana Kila siku
@ .Miguu kuwaka Moto na kufa ganzi
@ .Kuvimba kwa miguu na sehemu zingine za mwili

Matibabu ya uhakika kwa matatizo ya mifupa na Viungo

✓ Kuna virutubisho maalum kutoka nchini (India ,China,Korea na America) ambavyo hurudisha uteute na gegedu kwa haraka na kukufanya urudi katika Hali yako ya kawaida
✓Pia huondoa maumivu ya Viungo na mifupa
✓Huimarisha mifupa kwa kuongeza madini ya calcium na
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia


Karibu kwa ushauri na Tiba ya uhakika.
Dr Karata
0769834002

26/02/2022
26/02/2022

# WITNESS # #
👉👉ZIJUE FAIDA ZA

X POWER MAN CAPLUSE🇹🇿

👉🏼X POWER MAN CAPLSE
dawa Bora mkombozi na mrejesha FURAHA kwa wazee na vijana.
👉🏼Dawa hii NI *UHAKIKA* wa kurejesha ujana ndani ya mji wako kwa haraka Sana.
👉🏼Sio Siri Tena K**a unawahi kumaliza Mchezo wewe Unasemwa kwa jirani na juwa unaitwa Baba Muhemeaji na sio *KIDUME* ( *Rijar.)*
👉🏼Dawa hii Ina Uwezo *mkubwa* na waaajabu kurejesha nguvu kwa Askar wako Alie goma kusimama muda mrefefu
👉🏼Dawa hii *Hutibu* hukupa nguvu ya kumudu Mchezo wa nyumban .
👉🏼Ina imarisha mishipa iliyo legea ya *ASKAR KWA* *HARAKA SANA*
👉🏼NI yahasili kabisa haina *chemical* na sio *boster* ya mda mfup K**a *VI**RA*

XPower Coffee, iliyoandaliwa na Epimedium, Maca na Tongkat Ali na Gingseng ni vinywaji vyenye kukuwezesha kuongeza nishati yako, kuboresha pata kikombe cha kahawa kila siku.
K**a inajulikana kuwa Epimedium, Maca na Tongkat Ali ni baadhi ya virutubisho vikali zaidi kwa wanaume. Kufanya hivyo vizuri zaidi, pia inachanganya Gingseng ili kuongeza faida za virutubisho *vitatu.*

Faida za Afya za kutumia
X PWER MAN CAPLUSE kwa Wanaume
● Kuongeza hamu ya TENDO kupunguza uchovu na dhiki na kukuza msimamo wa Askari
● Kuboresha utendaji wa Tendo kulinda Afya ya tezi dume0769834002
● Kukuza mzunguko wa damu, kuboresha nguvu za Askar
*KWANINI MUHIM MWANA* *UME ATUMIE* X POWER MAN CAPLUSE 🇹🇿👇● VIUNGO (Ingredients)✅ Epimedium:ni kirutubisho kinachoongeza kinasaidia kuchelewa kufika kileleni na kuongeza uwezo wa s***m kurutubisha Yai.✅ Maca:
hulinda Afya Tezi Dume inaongeza nguvu kwa mwanaume0769834002 nakusimama kwa Askar.✅
Una Mchanganyiko wa kipekee wa vyakula vya asili vinavyoongeza ufanisi katika tendo la ndoa✅ Inamuongezea Mwanaume uwezo wa kufanya mapenzi bila madhara✅ Inasaidia kumuongezea mwanaume hari ya kujiamini.✅ Kuongeza wingi na ubora wa manii (s***m)✅ Inaondoa Uchovu na msongo wa mawazo✅ Inaoboresha mzunguko wa damu kwa Askari hari inayosaidia Asikari kusimama vizuri. Kwa mawasilano kwaajili ya matibabu piga 0769834002

06/01/2022
15/12/2021

*MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA*

P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI ?

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke. Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.

Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ?

DALILI ZA P.I.D
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

FIBROIDS NI NINI ?
FIBROIDS ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje k**a una fibroids ?? Hebu angalia dalili zake

DALILI ZA FIBROIDS
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizokua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpaka kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendo la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation. )
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
👉Mimba kutoka mara kwa mara

KWANINI NIMEAMUA KUELEZEA KUHUSU P.I.D NA FIBROIDS????

JIBU:
👉Ni kwa sababu wanawake wengi wakiona dalili k**a kutokwa uchafu wanahisi ni FANGAS tu
👉 Wakiona mimba zinatoka mara kwa mara wengi hukimbilia kusema ni ushirikina au muhusika alikua anatoa mimba sana siku za nyuma wakati labda sio hivyo
👉Kingine mwanaume akiona mkewe hataki tendo la ndoa anahisi mkewe anamsaliti kumbe mwenzie anaumwa
👉 Lakini kubwa zaidi nimeeleza haya yote sababu dalili za magonjwa haya mawili yanafanana kwa ukaribu sana.

Kwa Suluhisho Hilo Tafadhali Tumia tiba za Bf suma. Kwa huduma na msaada zaidi wasiliana nasi kwa Namba Whatsapp:+0769834002

15/12/2021

TEZI_DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI.
+255769834002

TEZI DUME
Ni sehemu ya mfumo wa uzazi wa kiume iliyo mbele kidogo ya puru (Re**um) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo na uume (Urethra) Ina ukubwa wa kawaida japo ukubwa huongezeka kadri umri unavyoongezeka.

Dalili_za_tezi_dume

1. Kupata shida wakati wa kukojoa
2. Kutiririkwa mkojo wakati na baada ya kukojoa
3. Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
4. Kukojoa mara Kwa mara hasa usiku
5. Kujikamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote
Tezi_dume_inatibika_bila_upasuaji na ili kujua k**a unatezi dume ni muhimu kufanya vipimo vifuatavyo:-

Digital_Rectal_Exam Njia hii utaingiziwa kidole cha kati katika puru ili kuihisi katika ukuta wa puru
Kipimo_cha_damu Unaweza kupona saratani ya tezi dume ima Kwa kufanyiwa upasuaji au Kwa kutumia njia mbadala ili kulikausha tezi hilo.
Endapo tezi dume itatibiwa kwa haraka, utakuwa umejiaepusha na magonjwa makubwa k**a vile saratani ya tezi dume.

TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI
Prostate_relax ni kirutubisho maalumu ambacho kimetengenezwa na mimea asili uitwao PROSTAEB-I (US Patent) Kwa ajili ya kulikausha tezi lililovimba katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Faida za mmea huu ni kuwa, hulikausha tezi lililovimba, husaidia wanaume wenye shida ya mkojo.

Vilevile ni vizuri k**a itatumiwa Kwa wenye umri kuanzia miaka 40 Ikiwa ni pamoja na kujikinga usipate shida ya tezi Kwa miaka ya baadae.

Tezi_dume inatibika bila upasuaji

Karibu tukuhudumie
Piga simu +255769834002

03/09/2019

(0769834002/0673969297)
Bila shaka umesha msikia ndugu yako, rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuuma kwa MAUNGIO k**a (Knee Joint), , (Shoulder Joint) NA . Wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya (Ankle Joint)

Inasemekana kwamba kuna zaidi ya watu bilioni nne duniani wana sumbuliwa na matatizo ya viungo( MAUNGIO)
Ambapo wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6%
Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao synonvio fluid ambao kazi YAKE ni kulainisha MAUNGIO pia kuna kitu k**a sponji kiitwacho catilage (gegedu) ambayo Kazi YAKE ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salaam salimini
TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS(OA) hutokea pale ambapo gegedu(cartilage) kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu

•Umri
•Uzito
•Kuumia Kwa Kupata ajali
•Kurithi (genesis)
•Wafanya mazoezi/wana michezo. .
na kuwekewa za bandia ambapo kimsingi ni gharama kubwa sana

MATIBABU




-Huongeza GLUCOSE AMINE ambayo huunda upya cartilage(sponji zinazolinda mifupa isisagane
-Huongeza CHRONDROITIN ambayo hutumika kutengeneza ute ute kati ya maungio
-Huondoa kabisaa maumivu ya maungio yaliyokithiri
-Ni nzuri sana kwa MTU mwenye TATIZO LA ATHRITIS
-Huwafaa sana watu wanaofanya mazoezi

Kwa mawasiliano 0769834002 au 0673969297

03/09/2019

(0769834002/0673969297)
Ni sehemu ya mfumo wa uzazi wa kiume iliyo mbele kidogo ya puru (Re**um) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo na uume (Urethra) Ina ukubwa wa kawaida japo ukubwa huongezeka kadri umri unavyoongezeka.



1. Kupata shida wakati wa kukojoa
2. Kutiririkwa mkojo wakati na baada ya kukojoa
3. Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
4. Kukojoa mara Kwa mara hasa usiku
5. Kujikamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote
na ili kujua k**a unatezi dume ni muhimu kufanya vipimo vifuatavyo:- Njia hii utaingiziwa kidole cha kati katika puru ili kuihisi katika ukuta wa puru
Unaweza kupona saratani ya tezi dume ima Kwa kufanyiwa upasuaji au Kwa kutumia njia mbadala ili kulikausha tezi hilo.
Endapo tezi dume itatibiwa kwa haraka, utakuwa umejiaepusha na magonjwa makubwa k**a vile saratani ya tezi dume.

TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI
ni kirutubisho maalumu ambacho kimetengenezwa na mimea asili uitwao PROSTAEB-I (US Patent) Kwa ajili ya kulikausha tezi lililovimba katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Faida za mmea huu ni kuwa, hulikausha tezi lililovimba, husaidia wanaume wenye shida ya mkojo.

Vilevile ni vizuri k**a itatumiwa Kwa wenye umri kuanzia miaka 45, Ikiwa ni pamoja na kujikinga usipate shida ya tezi Kwa miaka ya baadae.

Kwa mawasiliano namna ya kutibu tezi dume piga namba #0769834002 au #0673969297
inatibika bila upasuaji

Address

Dsm
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255769834002

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imarisha Afya Yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram