28/11/2024
K**a ulikua hujui MWANI ni nini wacha nikufahamishe;-
MWANI ni mmea ambao hustawi chini ya bahari,
Mmea huu kwa kiingereza unaitwa ALGAE,
MWANI hutumia maji chumvi katika kuishi kwake,
Mmea wa MWANI hupandwa baharini,
Lakini pia MWANI huvunwa kutoka baharini,
Kwakifupi ni kuwa ukitaka kulima MWANI,
Lazima uwe na shamba baharini kwasababu,
Mmea huu wa MWANI haulimwi nchi kavu,
Angalia picha hapo chini hao watu hapo chini,
Ni wakulima wa MWANI na hapo unapo waona wanavuna MWANI,
Baada ya kukomaa na kuwa tayari kwa matumizi,
MWANI ni mmea ambao unatambaa hauendi juu k**a mitI.
AINA ZA MWANI
MWANI imegawanyika katika makundi matatu,
1). MWANI wa dhahabu.
2). MWANI wa kijani.
3). MWANI wa dhambarau
MWANI wa dhahabu unapatikana maeneo mengi na kwa urahisi sana,
Hata hapa TANZANIA MWANI huu hupatikana tena hasahasa ZANZIBAR,
MWANI wa kijani na dhambarau haupatikani sana,
Na kwa hapa nchini kwetu TANZANIA haupatikani,
MWANI hutumika k**a chakula lakini pia,
MWANI hutumika k**a dawa kwa namna nyengine.
FAIDA ZA MWANI 33
MWANI unafaida nyingi sana kwa binaadamu,
Lakini hapa chini nakutajia faida 30 za MWANI,
Katika mwili wa binaadamu endapo utaamua kukutumia k**a ifuatavyo;-
1). MWANI una madini ya POTASSIUM,
MADINI haya ni muhimu katika kushusha na kudhibiti PRESHA.
2). MWANI unalainisha njia ya mfumo wa chakula,
Kwa kuwezesha mmeng'enyo sahihi wa chakula,
Kusafisha utumbo na kutibu na kuzia vidonda vya tumbo.
3). MWANI una madini yaitwayo iitwayo FUCOXANTHIN,
MADINI haya husaidia sana kuweka sawa kiwango cha SUKARI mwilini,
Lakini pia MWANI una madini mengi ya MAGNESIUM,
Upungufu wa madini ya MAGNESIUM unaweza kusababisha ugonjwa wa KISUKARI.
4). MWANI unatibu tatizo la nguvu za kiume,
Ikiwemo kuwahi kufika kileleni na uume kutosimama vizuri.
5). MWANI unatibu tatizo la uzito na kuondoa kitambi.
6). MWANI unatibu maumivu ya viungo na mifupa,
Hii ni kwasababu MWANI una kiwango kikubwa cha madini ya CALCIUM.
7) MWANI huondoa mafuta katika mwilini.
8). MWANI huondoa sumu katika mwilini.
9).MWANI huondoa au kupunguza uvimbe mwilini.
10). MWANI huimarisha afya ya ngozi na kutibu matatizo ya ngozi.
11). MWANI una asidi iitwayo AMINO ACIDS,
Asidi hii ni muhimu kwa ukuaji wa mwilini.
12). MWANI huupa mwili nguvu yaani "ENERGY FOOD" asilia.
13). MWANI huboresha afya ya ubongo na utendaji wake.
14). MWANI hutibu tatizo la homoni hasa kwa wanawake yaani "HORMONAL IMBALANCE".
15). MWANI unatibu maumivu ya koo na kikohozi.
16). MWANI husaidia kuwa na mtitiriko mzuri wa damu,
Kwasababu huondoa mafuta kwenye mishipa ya damu.
17). MWANI hutibu mafua sugu na "allergy" ya vumbi.
18). MWANI ni kinga dhidi ya kansa k**a vile tezi dume na kadhalika (sio kansa zote).
19). MWANI huboresha afya ya FIGO.
20). MWANI huimarisha afya ya akili, kupunguza wasiwasi, mawazo na unyogovu yaani (depression).
21). MWANI hudhibiti viwango vya asidi tumboni ( acid reflux).
22). MWANI hurekebisha tishu zilizoharibika mwilini.
23). MWANI huponya vidonda na kuondoa makovu na madoadoa mwilini.
24). MWANI una madini ya chuma ambayo,
Husaidia kupunguza tatizo la upungufu wa damu mwilini.
25). MWANI unasaidia katika ukuaji wa kucha.
26). MWANI hutibu U.T.I
27). MWANI huimarisha utendaji wa INI.
28). MWANI huzuia mtu kuzeeka kabla ya wakati.
29). MWANI hutatua tatizo la ukosefu wa usingizi ( Insomnia)
30). MWANI huimarisha afya ya macho.
31) MWANI hutibu tatizo la kunuka mdomo.
32) MWANI huondoa harufu mbaya kwapani,
Yaani huondoa tatizo la kunuka kikwapa.
33) MWANI huondoa harufu mbaya katika UCHI.
MATUMIZI
Matumizi yake hutegemeana na unautumia kwa ajili ya nini,
Matumizi yake hutofautiana kulingana na hitaji lako,
Anae tumia kwa chakula tu ni tofauti na atakae tumia k**a dawa.
NB;- Si kila sehemu ya bahari mmea huu hukubali kuishi hapana,
Kuna baadhi ya maeneo mmea huu haukubali kuishi,
Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo hali ya hewa na aina udongo uliopo eneo hili
Kwa muhitaji wasiliana nasi kwa namba hizo
0684 882 845
0756325044
Bei mills 200 kwa TSH 15000/=
Mills 120 kwa TSH 10000/=
, #️⃣