Mbonde Afya Kwanza

Mbonde Afya Kwanza 0655081188

Kwa elimu zaidi na ushauri wasiliana nasi 0655081188  # #  bora Furaha ndani ya nyumba🙏
06/04/2023

Kwa elimu zaidi na ushauri wasiliana nasi 0655081188
# # bora Furaha ndani ya nyumba🙏

👉Kila mwanume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.👉Tezi dume inapa...
01/04/2023

👉Kila mwanume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.
👉Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.
👉Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.
👉Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.
👉Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

# # bora Furaha ndani ya nyumba🙏

21/03/2023

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255655081188

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbonde Afya Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mbonde Afya Kwanza:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram