
29/11/2021
Hizi ndizo Dalili za kupishana kwa pingiri za kiuno(lumber 3,4,5 na sacrum 1) kiatalamu herniated disc.
1.Maumivu makali Sana kiunoni na Misuli kukaza.
2.Ganzi miguuni.
3.Kuwaka Moto kiunoni.
4.Maumivu ukisimama
5.Maumivu makali ukikaa muda mrefu.
6.Maumivu makali kiunoni ukitembea .
7.Maumivu makali upande mmoja kuanzia kiunoni Kushuka kwenye mguu.
8.Miguu kuishiwa nguvu
9.kupoteza hisia kwenye Miguu hata K**a kitu kikichoma mguu .
10.Vidole kucheza Bila kuchezeshwa..
◾Je una tatizo hili la pingiri za kiuno kupishana.Tahadhari K**a hutoweza tibia pingiri zitazidi kuibana sciatic neva ambaya hupeleka mawasiliano miguuni na baada ya muda utapooza kuanzia kiunoni Kushuka kwenye Miguu hutokuwa na uwezo wa kufanya kazi sehemu hizo kitaalamu paraplegia paralysis.
◾Kwa msaada wa matibabu piga no 0757999703/0687027872 au fika HUBA CHIROPRACTIC external ubungo .