Marius Mens Health

Marius Mens Health Tunawasidia wanaume Waliooa kurudisha heshima ya tendo la ndoa

11/03/2021

Ni gharama kiasi kwamba unaweza kukata tamaa nakuamua lolote liwe

24/02/2021

Yupo mtu anasubir kuambiwa na mke wake hunifurahishi katika tendo😂😂😂😂, na ukiona hujaambiwa jua ipo sehem anapata huduma nzuri #

Endelea kusubir tamko

23/02/2021

Usitumie painkiller na Ant-biotics bila recomendation ya Daktari

Tunaaminika na Dunia nzima,Hii package inaelekea United kinngdom, london💪 watu wanakula suppliments zinazoeleweka dunian...
15/02/2021

Tunaaminika na Dunia nzima,
Hii package inaelekea United kinngdom, london💪 watu wanakula suppliments zinazoeleweka dunian kote kwa ajili ya afya zao, asanteni DHL kwa kunifikishia mzigo k**a ilivyopangwa👏👏

Kati ya wanaume 10 8 wanastahili card nyekundu, dah hiv tunaelekea wap???😭😭😭
11/02/2021

Kati ya wanaume 10 8 wanastahili card nyekundu, dah hiv tunaelekea wap???😭😭😭

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.👉Uume kusimama...
13/01/2021

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda whatsapp moja kwa moja https://wa.me/+255715515052 usaidiwe haraka sana

Usione Aibu, okoa maisha yako kwa kuweka Tatizo lako bayana
08/12/2020

Usione Aibu, okoa maisha yako kwa kuweka Tatizo lako bayana

SHIIRIKI TENDO KIKAMILIFU UHESHIMIKE💪 NI KWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAWSHIRIKI TENDO KIKAMILIFU???? NI KWA NNI🤷‍...
05/12/2020

SHIIRIKI TENDO KIKAMILIFU UHESHIMIKE💪
NI KWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAWSHIRIKI TENDO KIKAMILIFU???? NI KWA NNI🤷‍♂️🤷‍♂️
INAWEZEKANA NA WEW NI MUHANGA WA JAMBO HILI ILA UNAJIFICHA, UTAIBIWA CHOMBO YAKO. SOMA HII KISHA TUZUNGUMZE.
MWANAUME NDO MHUSIKA MKUU WA TENDO, NA ILI KULETA RAHA LAZIMA AWE MKAMILIFU MWANZO HADI MWISHO WA MECHI,
UKITAKA KUSHIRIKI KIKAMILIFU NI LAZMA UTAWALIWE NA MAMBO HAYA
1) KUSIMAMA BILA KULEGEA
2)KWENDA ROUND NYINGI BILA KUCHOKA
3) UWEZO WA KURUDIA BAADA YA KWENDA KWA MARA YA KWANZA
4)KUMWAGA ZENYE AFYA NA NYINGI ZAIDI
5)KUCHEKEWA KUFIKA KILELENI
K**a wew huna sifa hizi kuna kila haja ya kupata msaada wetu

SASA NININI KINASABABISHA WANAUME KUPOTEZA UWEZO WA KUSHIRIKI IPASAVYO?🤷‍♂️
👉🏿MAGONJWA YA MWILI k**a
1)kisukari haswa type 2 diabete
2)Blood pressure
3) Maumivu ya viungo nk
👉🏿UZITO, UNENE NA KITAMBI KILICHOPITILIZA HUSABABISHA UVIVU NA KUWA NA MAUMBILE MADOGO (kibamia)
👉🏿KUJICHUA/ MA********ON KITENDO HIKI KINAUMIZA MISULI NA KUIFANYA ISIPITISHE DAMU VIZUR NA KUPATWA NA CHANGAMOTO YA KUSIMAMISHA VIZURI
👉🏿MSONGO WA MAWAZO ( tendo hili linahitaji utinamu na utulivu wa akili) k**a ukikosa hivyo bas utapotea mchezoni
👉🏿KUTOFANYA MAZOEZI JAPO KWA UCHACHE HII HUSABABISHA MWILI KUWA DOMANT
👉🏿KUKOSA LISHE NA MADINI MUHIMU NA RAFIKI KWA AFYA YA TENDO NA MIFUMO YA UZAZI YA MWANAUME KWA MFANO zinc, selenium, vitamin c,D, lycopene nk
👉🏿 KUTANUKA KWA TEZI DUME🥺
Hapa ningependa kufafanua kidogo mana hili ni jambo ambalo liko serious sana,
Kwa sasa Duniani kote Changamoto hii ya kutanuka kwa tezi dume imekuwa tishio kwani tatzo hili linaondoka na watu wengi, Tafuti za sayansi zinaonyesha kuwa kila baada ya Dakika 13 Anakufa mtu 1 kutokana na Tatzo hili.
Tatizo hili linawapata wababa wengi wa kuanzia umri wa miaka 45 na kuendelea.
Tatzo la kutanuka kwa Tezi dume linaambatana na changamoto za mfumo wa mkojo kwa sababu kuna uhusiano mkubwa sana kati ya Tezi hii ya kiume n njia ya mkojo (Urethra)
SAS UNAWEZAJE KUTAMBUA K**A UNA TATZO HILI AU HUNA
Njia ni mbili tuu
1)vipimo
2)Kwa kuangalia Dalili ambazo mtu anazipitia
JE KUNA KITU UNAHITAJI KUKIFAHAMU ZAIDI NA KUPATA MSAADA WA TIBA?
Piga simu/whatsapp +225715515052

FAHAMU KUHUSU TATIZO LA TEZI DUME NA JINSI YA KUEPUKANA NALO.   Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume.Tezi dume siyo ...
05/12/2020

FAHAMU KUHUSU TATIZO LA TEZI DUME NA JINSI YA KUEPUKANA NALO.

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume.
Tezi dume siyo ugonjwa bali ni moja ya tezi k**a tezi nyingine mwilini.

Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.

Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume ambayo husaidia kubeba mbegu.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu na kasi ya utanukaji wake hutofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.

Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi kwa sasa.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 3 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

NINI MAANA YA UKUAJI WA TEZI DUME?

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.

Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 40 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa likijitokeza kuanzia miaka zaidi ya 50.

Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, na

mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.

Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi hasa katika kipindi hiki cha sasa.

Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vinavyoweza kupelekea kutanuka kwa tezi dume

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini

- Uwepo wa sumu nyingi mwilini

- Kutokufanya mazoezi

- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi

- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

- Msongo wa mawazo ( Stress )

- Magonjwa ya zinaa

- Umri mkubwa

- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

- Historia ya Familia

09/04/2020

Address

Tanhouse Victoria
Dar Es Salaam

Telephone

+255715515052

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marius Mens Health posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram