
17/12/2022
UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE
👇
+255677863475
Pelvic Inflammatory Disease
Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo-:
👉 Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi . Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua . Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe .
DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣ Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣ Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣ Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣ Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣ Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣ Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣ Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟 Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
MADHARA YA PID
• Ugumba
• Kansa ya shingo ya kizazi
• Mirija ya uzazi kuziba
• Majeraha kwenye mirija ya uzazi
Kwa mawasiliano zaid 0677 863 475
# # ulipo tupo🤝🤝🤝