Chambo MedicalHealth Tanzania

  • Home
  • Chambo MedicalHealth Tanzania

Chambo MedicalHealth Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chambo MedicalHealth Tanzania, Medical and health, .

Suluhisho kw Magonjwa Sugu :
•PID•U.T.I• TEZI DUME•BAWASIRI •KUKOSA HEDHI KABISA/MVURUGIKO WA HEDHI•KUKOSA NGUVU ZA KIUME•KUSHINDWA KUSHIKA UJAUZITO
PRESHA, KISUKARI, HERNIA, FIGO KUFELI, NA KUTOSHIKA UJAUZITO
Kumbuka:AFYA INA KISASI KIBAYA , JITHAMINI.

Kuna Utofauti Mkubwa Sana Kati ya Ute na Uchafu Ukeni 💊 Lipo Suluhisho Sahihi Litakalokusaidia Kuondokana na Tatizo la U...
18/07/2025

Kuna Utofauti Mkubwa Sana Kati ya Ute na Uchafu Ukeni 💊

Lipo Suluhisho Sahihi Litakalokusaidia Kuondokana na Tatizo la Uchafu na Kuupata Ute wa Uzazi 🩺

*Matokeo Mazuri ni Kuanzia Ndani ya Siku 3 Pekee* 😊


📞0759 693 603
🇺🇸

Ukavu Ukeni Ni Mojawapo ya Sababu Kubwa ya Wanawake Kususia Kushiriki Tendo la Ndoa Kwa Kuhofia Kupata Maumivu Wakati wa...
17/07/2025

Ukavu Ukeni Ni Mojawapo ya Sababu Kubwa ya Wanawake Kususia Kushiriki Tendo la Ndoa Kwa Kuhofia Kupata Maumivu Wakati wa Kushiriki Tendo la Ndoa 💊

Baadhi ya Sababu zinazopelekea Mwanamke Kupata Ukavu Ukeni Ni:

•Ukomo wa Hedhi
•Mvurugiko wa Homoni
•Matumizi ya Dawa za Antibiotics Kiholela
•Maambukizi ya Fangasi na Bakteria Ukeni
•Maambukizi Katika Via Vya Uzazi (PID)

Karibu Kwa Ushauri wa Bure Utakaokusaidia Kurejesha Hali ya Ute Ukeni 🩺

Matokeo Mazuri ni Kuanzia Ndani ya Siku 3 Pekee

🩺Asilimia Kubwa ya Wanawake Wamekuwa Wakihangaika Kutibu Changamoto zao za Uzazi  Pasipo Mafanikio Karibu Kwa Suluhisho ...
11/05/2025

🩺Asilimia Kubwa ya Wanawake Wamekuwa Wakihangaika Kutibu Changamoto zao za Uzazi Pasipo Mafanikio

Karibu Kwa Suluhisho la Uzazi Litakalokusaidia Kupona Moja Kwa Moja Kwa Kupata Matokeo Mazuri Kuanzia Ndani ya Siku 3 Pekee

Wasiliana Nami Kupitia:
📞0759 693 603-Piga
0759 693 603-Whatsapp
IG

🩺Saratani ya Shingo ya Kizazi ni Aina ya Saratani inayotokea kwenye Eneo Linalounganisha Uke na Mfuko wa Mimba (Uterus)A...
10/05/2025

🩺Saratani ya Shingo ya Kizazi ni Aina ya Saratani inayotokea kwenye Eneo Linalounganisha Uke na Mfuko wa Mimba (Uterus)

Aina Mbali mbali za Virusi ikiwemo Husababisha Saratani Hii Wakiwemo Human Papilloman Virus (HPV)

HPV wanapokaa ndani ya Mwili wa Mwanamke Kwa Muda Mrefu Huanza Kushambulia Seli za Shingo ya Kizazi (Cervical Cancer )

💊Ni Ngumu Kwa Mwanamke Kujigundua Mwanzoni Kuwa Ana Saratani Kwani Haioneshi Dalili za Haraka Sana

*DALILI ZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI*
•Baadhi ya Dalili za Saratani ya Shingo Ni :

🟠Kupata Maumivu Makali ya Tumbo na Nyonga
🟠Kutokwa na Maji Maji Ukeni Kusiko Kawaida
🟠Kutokwa na Damu Ukeni Kusiko Kawaida
🟠 Maumivu Makali wakati wa Tendo la Ndoa

*MAMBO YANAYOCHANGIA KUPATA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI*

▶️Matumizi ya Njia za Kupanga Uzazi (Uzazi wa Mpango) Kwa Muda Mrefu
▶️ Wanawake Wanaopata Ujauzito Katika Umri Mdogo
▶️Kuzorota Kwa Kinga ya Mwili inayoweza Kusababisha Kushambuliwa Kirahisi na HPV

*MATIBABU YAKE*
•Matibabu Kwa Kutumia Dawa Katika Mtindo wa Chemotherapy
•Kufanyiwa Upasuaji Ili Kuondoa Mfuko wa Mimba (Uterus)
•Matumizi Ya Mionzi Ili Kuua Seli za Saratani

Kwa Kuwa Saratani Haijaoneshi Kirahisi Hivyo Inashauriwa Mwanamke Kujifanyia Vipimo Mara Kwa Mara Ili Kujigundua Mapema Katika Dalili za Awali

*SULUHISHO SAHIHI*
•Lipo Suluhisho Litakalomaliza Tatizo la SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI bila Kuleta Madhara Ya Aina Yoyote

Wasiliana Nami Kwa Ushauri Zaidi:

0759 693 603

Mjamzito Anapomaliza First Trimester (Miezi Mitatu ya Mwanzo ) Tumbo Huanza Kuongezeka Ukubwa kutokana na Ukuaji wa Mtot...
05/05/2025

Mjamzito Anapomaliza First Trimester (Miezi Mitatu ya Mwanzo ) Tumbo Huanza Kuongezeka Ukubwa kutokana na Ukuaji wa Mtoto .Hivyo Mjamzito Hashauriwi Kulalia Tumbo au Mgongo

*KWANINI MJAMZITO HASHAURIWI KULALIA TUMBO AU MGONGO*
•Mjamzito Kulalia Tumbo au Mgongo sio Vizuri Kwa Sababu Uzito wa Mtoto Aliyeko Tumboni Huzuia Mishipa iliyoko Mgongoni Inayosafirisha Damu Kutoka Kwenye Uti wa Mgongo kwenda Kichwani,na Kutoka Miguuni Kuja Kichwani Kushindwa Kusafirisha Damu Vizuri na Hii inaweza muathiri Mama au Mtoto

*MADHARA YA MJAMZITO KULALIA TUMBO AU MGONGO*
1.Kuvimba Kwa Misuli inayoambatana na Maumivu kwenye Maeneo ya Miguu na Mikono

2.Kushuka au Kupanda Kwa Msukumo wa Damu (Blood Pressure)

3.Kupata Hisia za Kizunguzungu Mara Kwa Mara

4.Kupata Hisia za Kiungulia mara Kwa mara

5.Kupunguza Kwa Mzunguko wa Damu ambayo ni Hatari Kwa Uhai wa Mtoto

6.Maumivu ya Mgongo na Ini Kuelemewa

7.Mama Mjamzito na Mtoto Kushindwa kupumua kutokana na Kukosekana Hewa ya Kutosha ya Oxygen

8.Mtoto Kukosa Virutubisho vya Kutosha

*MAMA MJAMZITO ANATAKIWA ALALE KWA UPANDE GANI ?*
•Inashauriwa Mjamzito Kulalia Upande wa Kushoto Ili Kuruhusu Damu kusafirishwa kirahisi kwenda Kwenye Kondo la Mtoto na Kumpatia Mtoto Virutubisho Muhimu Kwa Ukuaji wake

*USHAURI*
•Ni vyema Mjamzito kutobana Miguu yake wakati wa Kulala Bali Aweke Mto Kisha Kupitisha Miguu kati kati ya Mto .Hii itamsaidia Kulala Vizuri

Ni kawaida Kwa Mtoto Aliyeko Tumboni kupiga piga Usiku
Lakini
Ikitokea Akipiga sana Tambua Umelala Upande Mbaya 😊


0759 693 603 -Piga/WhatsApp

🩺Usafi wa Uke ni Muhimu Kwa Afya ya Uzazi ya Kila Mwanamke na Inapaswa kufanywa Kwa Uangalifu wa Mkubwa ili kuzuia Maamb...
23/04/2025

🩺Usafi wa Uke ni Muhimu Kwa Afya ya Uzazi ya Kila Mwanamke na Inapaswa kufanywa Kwa Uangalifu wa Mkubwa ili kuzuia Maambukizi Ukeni

*Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kuhusu Usafi Ukeni*
Kuna Mambo Ambayo Mwanamke Anapaswa kuzingatia Kuhusu Usafi Ukeni ambayo ni K**a Ifuatavyo:

🟠 *Tumia Maji Safi:*
Safisha uke Kwa Kutumia Maji Safi tu .Hakuna Haja ya Kutumia Sabuni au Kemikali

🟠 *Usafishe Uke Kila Siku*
Safisha Uke Kila Siku Wakati wa Kuoga Kwa Kuyarudishia Maji kutoka Mbele Kwenda Nyuma

Hii itasaidia Kuzuia Maambukizi ya Vimelea k**a vya UTI kutoka Sehemu ya Haja kubwa kuingia Ukeni

🟠 *Kuepuka Vifaa vya Kusafisha Uke*
Epuka Kutumia Vifaa Maalumu vya Kusafisha Uke Kwa kuwa vinaweza kuharibu PH ya Uke

🟠 *Kusafisha Uke Baada ya Tendo la Ndoa*
Ni Muhimu Kwa Mwanamke Kujisafisha Ukeni Mara Baada ya Kutoka Kushiriki Tendo la Ndoa

🟠 *Kwenda Haja Ndogo (Kukojoa) Baada ya Tendo la Ndoa*
Mwanamke Hakikisha Unakwenda Kukojoa Mara Baada ya Kushiriki Tendo la Ndoa ili kuondoa Vimelea vya Bakteria k**a wa UTI kutoka Kwa Mwanaume

🟠 *Kauka Vizuri*
Hakikisha Mwanamke unajikausha Vizuri Kwa Kutumia Taulo Laini na Kavu

🟠 *Usifanye Douching*
Epuka Kufanya Douching (Kujimwagia Maji Kwa Nguvu Ukeni ) Au Kutumia Maji ya Kuoshea Uke

Kwa Ushauri Zaidi Wasiliana Nami:
IG
0759 693 603

Ukeni Ukeni Kwa Mwanamke ya Uzazi Kwa Mwanamke

🩺Uke Una Sehemu Mbili Ambazo Ni Sehemu ya Ndani na Sehemu ya Nje🚺Jukumu la Mwanamke Ni Kufahamu Jinsi (Namna) ya Kujisaf...
24/03/2025

🩺Uke Una Sehemu Mbili Ambazo Ni Sehemu ya Ndani na Sehemu ya Nje

🚺Jukumu la Mwanamke Ni Kufahamu Jinsi (Namna) ya Kujisafisha Sehemu ya Nje

💊Namna Nzuri ya Kusafisha Sehemu ya Nje ya Uke Ni Mwanamke Kutumia Maji Safi (Yanayouzwa Madukani) Ambapo Anatakiwa Kujimwagia Maji katika Eneo la Nje Huku Akijisugua kwa Kutumia Kiganga Chake Cha Mkono Pasipo Kutumia Sabuni Au Kitu Kingine Chochote

Instagram
📞0759 693 603-Piga/WhatsApp

Ukeni kwa Mwanamke Ukeni Salama Ukeni

Umeolewa na Uko Kwenye Ndoa Lakini Hushiki Ujauzito ,Wakati Mwingine Unakosa Hedhi kwa Miezi Kadhaa ila Ukipima Unajikut...
05/11/2024

Umeolewa na Uko Kwenye Ndoa Lakini Hushiki Ujauzito ,Wakati Mwingine Unakosa Hedhi kwa Miezi Kadhaa ila Ukipima Unajikuta Huna Mimba 🤰🏽
💊Karibu Kwa Ushauri zaidi Haijalishi umehangaika Kiasi gani Lakini Lipo Suluhisho litakalorejesha Furaha Yako Ujauzito, Imbalance , Ujauzito, Salama kwa Mwanamke , ya Mjamzito

Mwanamke K**a Unakosa Ute wa aina Katika siku zako za Hatari ni mojawapo ya kikwazo cha Kushika Ujauzito➡️Tambua yakuwa ...
02/11/2024

Mwanamke K**a Unakosa Ute wa aina Katika siku zako za Hatari ni mojawapo ya kikwazo cha Kushika Ujauzito➡️Tambua yakuwa unaweza ukahangaika kwa Waganga ukahisi Umerogwa 💊Karibu Tuzungumzie Maana MUNGU ni mwema bado Una nafasi ya kuitwa Mama 🤰🏽
ya Uzazi kwa Mwanamke , wa Uzazi , imbalance, , Ukeni

Karibu Katika Suluhisho hili la Afya ya Uzazi litakalorejesha Furaha Yako Iliyopotea 💊 ,  Imbalance,  ,  kwa Wanawake,  ...
27/10/2024

Karibu Katika Suluhisho hili la Afya ya Uzazi litakalorejesha Furaha Yako Iliyopotea 💊
, Imbalance, , kwa Wanawake, Ujauzito

Mwanamke ,Unapokaa na Changamoto ya Uchafu Ukeni Huku ukiwa unaendelea kushiriki tendo la ndoa na mwenza wako Kumbuka Ku...
24/10/2024

Mwanamke ,Unapokaa na Changamoto ya Uchafu Ukeni Huku ukiwa unaendelea kushiriki tendo la ndoa na mwenza wako Kumbuka Kuwa Unahatarisha Afya yake ya Uzazi na madhara yake Makubwa ni Kumsababishia Kupata Saratani ya Uume 💊
Ukeni , , # Hormone Imbalance , Ukeni

*Ni Muhimu Mwanamke Kujitathimini Aina ya Uchafu Unaokutoka Sehemu za Siri kwa Kuwa kila Uchafu Unaashiria Hali Yako Uli...
23/10/2024

*Ni Muhimu Mwanamke Kujitathimini Aina ya Uchafu Unaokutoka Sehemu za Siri kwa Kuwa kila Uchafu Unaashiria Hali Yako Uliyonayo katika Afya yako ya Uzazi 💊*
Ukeni, , Ukeni, , Imbalance

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 23:00
Tuesday 09:00 - 23:00
Wednesday 09:00 - 23:00
Thursday 09:00 - 23:00
Friday 09:00 - 23:00
Saturday 09:00 - 23:00
Sunday 10:00 - 23:00

Telephone

+255759693603

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chambo MedicalHealth Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Chambo MedicalHealth Tanzania:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share