02/05/2022
SULUHISHO LA TEZI DUME BILA UPASUAJI
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.
Dalili za tezi dume
a) Dalili za awali
Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
Homa
Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
b) Dalili za mtu aliyeathirika
✍️Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
✍️Miguu kuwa dhaifu
✍️ kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
✍️Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
✍️Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
✍️Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
✍️Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
✍️Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
✍️Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
✍️Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
✍️Ugumba (Infertility, ) na kifo .
Piga 0744899512
MAHALI SAHIHI AMBAPO UTAPATA SULUHISHO LA MAGONJWA MBALIMBALI YANAYOWASUMBUA WATU WENGI ,MATATIBABU