04/05/2022
TIBA NA SULUHISHO KWA MAUMIVU YA VIUNGO NA VIUNGO KUSAGANA. (0764622018).
ARTHROEXTRA + ZAMINOCAL (TIBA YA MIFUPA KUSAGANA KATIKA MAUNGIO,, NA TIBA YA MAUMIVU YA VIUNGO )mfano
mgongo,nyonga,magoti nk
KWANZA, TUJIELIMISHE KIDOGO.🖐
KWA NINI MIFUPA HUSAGANA KWENYE VIUNGO NA KULETA MAUMIVU MAKUBWA?
=>KICHWA CHA MFUPA KATIKA VIUNGO KIMEZUNGUKWA NA MFUPA LAINI UITWAO GEGEDU(CARTILAGE)
KAZI YA GEGEDU(CARTILAGE ) NI KUZUIA MFUPA USISAGANE NA MFUPA MWENZAKE KWENYE VIUNGO,
PIA KUNA UTE UTE (SYNOVIAL FLUID) AMBAO NI GRISI YA VIUNGO,,HUSAIDA KULAINISHA MJONGEO HII HUONDOA MISUGUANO KATI YA MIFUPA WAKATI WA MJONGEO (MOVEMENT)
MTU ANAPOFIKISHA MIAKA ZAIDI YA 30 CARTILAGE HUANZA KULIKA NA KUSABABISHA MIFUPA KUGUSANA NA KUSAGANA KWENYE VIUNGO HADI ULE UTE KUPOTEA,
HII HUSABABISHA MAUMIVU MAKALI KWENYE VIUNGO K**A MAGOTI, NYONGA, NA HATA UYI WA MGONGO, HADI KUPELEKEA MTU KUSHINDWA KUJONGEA IPASAVYO KWA SABABU YA MAUMIVU MAKALI SANA ,
TATIZO HUONGEZEKA UMRI UNAPOZIDI KUWA MKUBWA NA UZITO UNAPOONGEZEKA.
ARTHROEXTRA NA ZAMINOCAL PLUS NI DAWA ZA ASILI HAZINA KEMIKALI, NI SULUHISHO YA MATATIZO HAYA ZIMETHIBIYISHW NA MAMLAKA YA DAWA NA TIBA TFDA, kupata huduma piga (0764622018).