28/09/2022
HERNIATED DISK /SLIPPED DISC (PINGIRI ZA UTI WA MGONGO ZILIZOPISHANA)
▶Ni maumivu yanayotokea baada ya ringi ya nje ya uti wa mgongo kuwa dhaifu na kuruhusu Ringi ya ndani k*toka nje .Hutokea kwenye lumber 5 na sacrum 1 hii hupelekea maumivu makali sana .
◾Uti Wa mgongo umegawanyika katika sehemu tano
1.cervical vertebrae INA pingiri 7 hii ndio Shingo
2.Thoracic vertebrae hii INA pingiri 12
3.Lumber vertebrae hii INA pingiri 5
4.sacrum vertebrae hii Ina pingiri 3
▶Disc zikipishana MTU husikia maumivu makali na ganzi kwasababu Neva za kwenye pingiri hubanwa MTU hupata ganzi miguuni sababu scia sciatic Neva hubanwa,na ganzi mgongoni na mwili pinched Neva hubanwa .Ganzi ya muda mrefu hupelekea kuparalaizi mwili
▶DALILI ZA PINGIRI ZA UTI WA MGONGO KUPISHANA
1.Maumimu kwenye kiuno yasiyoisha
2.Ganzi mwili mzima
3.maumivu ukusimama au kukaa muda mrefu
4.maumivu ukitembea
5.kukaza kwa kiuno
6.udhaifu Wa misuli na kukaza kwa misuli Mara kwa Mara
7.Kukosa balance ya kusimama
▶Suluhisho karibu HUBA Physiotherapy clinic tupo mabibo tutarudisha pingiri kwa k*tumia mikono ,kurudisha mishipa yote iliyopishana,k*tibu magoti yote sugu,kurudisha nyonga iliyofyatuka,k*tibu macho kwa kurudisha mishipa yote iliyopishana,k*tibu maumivu ya shingo, k*toa ganzi mwilini,tunatibu stroke na MTU aliyeparalaiz
▶piga no 0757999703/0687027872 au fuka HUBA CHIROPRACTIC External ubungo.