
07/09/2022
Natumaini upo salama ndugu.
ELIMU HII YA LEO ITAKUSAIDIA WEWE NA FAMILIA YAKO YOTE, Soma hadi mwisho kwa utulivu.
Ubongo ni muhimu sana kwa mwili na maisha ya binadamu. Ubongo ndio unahakikisha viungo muhimu vya mwili k**a vile moyo na mapafu vinafanya kazi ipasavyo.
Ubongo ni muhimu sana kwa afya ya mwanadamu na hivyo ni muhimu kuhakikisha kiungo hicho cha mwili kinapata virutubisho vifaavyo. Wengi wanahusisha ubongo na werevu wa mtu, lakini ubongo unafanya kazi kuhakikisha kuwa mwili wa mtu unaendesha shughuli zake ipasavyo.
Ubongo huongoza kufanya kazi na kusonga kwa viungo vya mwili, mawazo, kumbukumbu za akilini na kuhakikisha viungo vya mwili vinafanya kazi ipasavyo kwa uwiano na ushirikiano unaostahili. Ndio maana sasa hivi matatizo ya kupooza mwili(stroke) ni makubwa sana kwenye jamii, ukichunguza kila familia utagundua ina mtu mwenye tatizo la stroke, kutokana na kukosekana kwa afya ya Ubongo. Pia matatizo ya kuwahi haraka kufika kileleni kwenye tendo kwa asilimia kubwa inakua ni tatizo la ubongo kushindwa ku-connect vizuri na mfumo wa uzazi.
Leo ninakupatia Elimu sahihi juu ya chakula muhimu kinachoimarisha Afya ya ubongo, na chakula hicho ni SAMAKI.
Samaki k**a vile salmon, trout na sardines Wana virutubisho vya asili ya mafuta vya omega-3. Karibu 60% ya ubongo wa binadamu ni mafuta; na nusu ya mafuta hayo ni aina ya omega-3.Ubongo wa binadamu hutumia omega-3 kutengeneza seli mpya za neva. Mafuta hayo ni muhimu kwa kumwezesha mtu kujifunza kitu na kukumbuka.
Afya jamii tunawasaidia watu kuboresha Afya ya ubongo kwa kutumia kirutubisho kilichotengenezwa kwa Mafuta ya Samaki aina ya Salmon , wanaopatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Arctic. Product hii inaitwa ARCTIC SEA, bei yake ni Shilingi Tisini elfu tu.Utakua umejiokoa na tatizo la stroke, pia kwa wanaume utakua umejiepusha na tatizo la kuwahi kufika kileleni.
Ulingependa kupata lini product hii ya mafuta ya Samaki , kwa ajili ya kujiboresha afya ya ubongo?
0742511713