Ester. Na Afya

Ester. Na Afya KARIBU ESTER NA AFYA TU JIFUNZE CHANGAMOTO ZOTE ZA KIAFYA NA SULUHISHO LAKE,, NAPATIKANA KWA EIMU NA

💓🍎 *MADHARA YA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI NI MAKUBWA SANA* 🍎💓 Kutokwa na uchafu ukeni hasa wa rangi 🎊YA NJANO🎊MAZIWA 🎊KAHAW...
25/11/2022

💓🍎 *MADHARA YA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI NI MAKUBWA SANA* 🍎💓

Kutokwa na uchafu ukeni hasa wa rangi
🎊YA NJANO
🎊MAZIWA
🎊KAHAWIA
🎊KIJIVU
🎊KIJANI
🎊PINK NA DAMU

Madhara ya kutokwa na uchafu huo k**a ifuatavyo:

❄️. Ugumba:
Hali hii hutokea pale mashambulizi au maambukizi yanapofika kwenye mirija na kuleta uvimbe ambao huziba au kusababisha kutengenezwa kwa maji machafu mazito ambayo nayo huziba mirija na kuharibu mimba kila inapotungwa.
Mwanamke hufikia hali ya kutoa harufu mbaya wakati wote hata k**a ameoga na kuvaa vizuri.

❄️. Kushiriki Tendo La Ndoa
Hali huwa mbaya zaidi wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Jambo hili husababisha mwanamke kuwa na aibu na kujitenga, kutengwa, kujiona hana thamani na unyonge.

❄️. Kupata maambukizi katika njia ya mkojo yaani U.T.I.:
Hali hii ni kwa sababu njia ya uzazi na ile ya mkojo zimekaribiana sana sehemu zinapoanzia kwenye via vya uzazi vya mwanamke. Hivyo, mwanamke kuhisi maumivu wakati wa kutoa haja ndogo au kwenda haja ndogo mara kwa mara, na kutoa haja ndogo yenye rangi ya njano au kijivu ni baadhi ya dalili za ugonjwa wa U.T.I
Je, utokwaji wa uchafu katika via vya uzazi vya mwanamke ni kiashiria cha matatizo au magonjwa gani?
Utokwaji wa uchafu katika via vya uzazi vya mwanamke ni kiashiria cha magonjwa yafuatayo:
Kuvimba kwa mirija ya uzazi (salpingitis). Tatizo hili likichelewa kutibiwa, basi mirija huziba na hivyo mwanamke hupoteza uwezo wa kushika ujauzito.
Mrundikano wa vivimbe vidogo vingi kwenye vifuko vya mayai ya uzazi (polycystic ovarian syndrome). Asilimia 75 ya wenye tatizo hili hupoteza uwezo wao wa kushika ujauzito.

❄️Kuwa na uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya uzazi upande mmoja au pande zote mbili, kushoto na kulia (ovarian cyst).

❄️ K**a utokwaji wa uchafu utaambatana na matatizo ya kukosa hedhi au hedhi kupishanapishana ni kiashiria tosha cha tatizo hili.
Kujaa maji kwa mirija ya uzazi (hydrosalpinx). Tatizo hili pia husababisha mirija kuziba lisipotibiwa mapema.
Kushambuliwa na fangasi aina ya candida ALBICANS kwenye njia ya uzazi (vaginal candidiasis).
Kuvimba kwa kuta za uke, tatizo linaloitwa vaginitis.

🍇🥑🍇🥑🍇🥑🍇

*YAWEZEKANA WEWE NI MUHANGA WA HILI NAPENDA NIKUKARIBISHE TUWASILIANE 0686506487

27/09/2022

KWANINI HUPONI BAWASIRI??
bonyeza link njoo WHATSAPP
https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1
~Bawasiri ni changamoto ya mfumo wa MMENG'ENYO wa chakula, na ni ile hali ya kuota kijinyama kwenye njia ya haja kubwa, changamoto hii inatokea pale ambapo mtu ataanza kujisaidia choo kigumu kwa mda mrefu na kufanya mishipa midogo midogo inayozunguka tundu la haja kubwa kupasuka na kusababisha uvimbe wa BAWASIRI,
~japo kuna vyanzo vingne k**a vile, kukaa kitako mda mrefu, kuharisha kwa mda mrefu, mama mjamzito wakat wa kujifungua, vidonda vya tumbo, unene uliopitiliza
●lengo la somo la leo ni kujifunza kwanin hupon bawasiri,, watu wengi wamekuwa wakitibu changamoto ya BAWASIRI na kujirudia hii ni kwasababu zifuatazo

♤kuhitaji kutibu kijinyama cha BAWASIRI bila kujali chanzo cha tatizo ni nin haswa, kwamfano k**a chanzo cha tatizo lako ni kujisadia choo kigumu bas lazima uondoe chanzo cha tatizo kwanza, hivyo itakuwa rahis kutibu kijinyama bila upasuaji
♤kutozingatia ubora wa dawa yenyewe, wengi wamekuwa wakihitaji tiba ya aina yeyote ile ilimradi kupata suluhisho hivyo hukimbilia kutumia dawa nyingi bila kupata suluhisho la kudumu, mwisho wa siku wanamuona kila mtoa huduma ni tapeli
♤Kutofwata utaratibu sahihi wa maelekezo waliopewa na mtoa huduma, kulingana na maisha wengi hujipangia utaratibu wao wenyewe na kuacha kufanya k**a walivyoelekezwa na mtoa huduma wao.
♤Kushindwa kuzingatia ukubwa wa tatizo kulingana na doz yenyewe

njema ni kwamba sis tuna bidhaa lishe ambazo tunazitoa kulingana na chanzo cha tatizo la muhusika na, na ukubwa wa tatizo la mtu husika,, tunakupa na utaratibu wa vyakula ambavyo vitakusaidia kupona ndan ya wiki mbili mpaka mwezi kulingana na ukubwa wa changamoto ya muhusika,,
Naomba tuwasiliane kwa simu namba 0683753064 au 0672961274
Au bonyeza link hii kuja WHATSAPP moja kwa moja tuma neno AFYA YA BAWASIRI
https://wa.me/message/BARRECZOUNQZI1

*JE NI FURAHA YAKO KUPONA P.I.D?* +255 686 506 487P.I.D ni PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (maambukiz katika via vya uzazi w...
14/06/2022

*JE NI FURAHA YAKO KUPONA P.I.D?*

+255 686 506 487

P.I.D ni PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (maambukiz katika via vya uzazi wa mwanamke), ambayo ni uterus, mirija ya uzazi, shingo ya kizazi, n.k

Dalili za p.i.d
~kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya wa njano, au mweupe
~maumivu makali chin ya kitovu
~kupata maumivu wakati wa kukojoa
~Kuhisi hali ya homa homa
~Maumivu wakati wa tendo la ndoa
~Damu kutoka baada ya tendo la ndoa au wakati wa tendo.
~Uke kutoa harufu mbaya sana k**a shombo la samaki

Madhara ya p.i.d
●Ugumba
●Saratani ya shingo ya kizazi
●Mirija ya uzazi kuziba
●Hormonal imbalance
●Uvimbe kwenye kizazi
●kifo

Kwanin hospotali huponi changamoto ya P.I.D, hii ni kwasababu hospitali hutoa tiba ya ANTIBIOTIC ambapo ukitumia ANTIBIOTIC huenda kuua bakteria walinzi na bakteria wabaya hivyo hufanya tatzo lipone kwa muda tu na baada ya muda tatizo linajirudia tena,

Lakin habar njema ni kwamba na Afya wanakuletea bidhaa za virutubisho lishe ambavyo ukitumia huenda kuondoa chanzo cha tatizo na tatizo lenyewe hivyo tatizo halijirudii tena,, unapona kabisa.. wasiliana nasi kupata suluhisho la kudumu
+255 686 506 487 WHATSAPP/CALL/SMS

*JE UMECHOKA KUWA WA KIMOJA CHALI?* 📞+255 686 506 487Leo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahus...
03/06/2022

*JE UMECHOKA KUWA WA KIMOJA CHALI?*
📞+255 686 506 487

Leo nimeona niongele hili swala wanaume wengi kutodumu kwenye Mahusiano au kuachwa mara kwa mara

Kuna sababu zinaweza kuchangia lakini kuna wakati wanamke anaamuwa tu kutoka na mwanume mwingine.

wengi huona k**a hakuna tatizo ila ni maamuzi tu ya mwanamke ila ukweli wa mambo kuna sababu moja kubwa ukiwanayo hiyo lazima mwanamke akuwache ni kushindwa kurudia tendo au ukiwa mtu wa kimoja tu chali yani hapo hapo hakuna mwanamke atakae dumu labda kubaki na familia tu...

Sasa k**a unatatizo hilo au bado hujui ila unahisi basi usipate shida.

Leo nimekuandalia *RIJALI PACKAGE* ambayo itakusaidia kurejesha furaha yako iliyopotea, kwani itakusaidia;

1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3. Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

8. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9. Kusafisha mishipa ya damu

10. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
11. Haina kemikali ni ya asili kabida 100%
📞+255 686 506 487
*KUWA MWANAUNE RIJALI*

PID SABABU ZAKE DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILIPELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)-Ni maambukizi katika viungo...
30/05/2022

PID SABABU ZAKE DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI

PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)

-Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye O***y (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).

-Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID

DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:

▶️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.

▶️ Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.

▶️ Maumivu makali wakati wa kujamiiana.

▶️ Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).

▶️ Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.

▶️ Hupatwa na kichefuchefu.

▶️ Kutapika

▶️ Miwasho sehemu za
siri

▶️ Uchovu

▶️ Uke kuwa mlaini sana

▶️ Kizunguzungu

▶️ Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.

▶️ Kuvurugika kwa Hedhi.

▶️ Maumivu ya kiuno

ATHARI/MADHARA YA PID

⚫ Ugumba kwa wanawake

⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.

⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.

⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.

⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).

JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID

⚫ Epuka kuvaliana nguo za ndani.

⚫ Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi.

⚫ Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndan

⚫ Kula lishe bora.

⚫ Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana (STDs)

TIBA YAKE
Tiba nzuri ni kwa kutumia virutubisho lishe, #0686506487

 .BAWASILI,ni vijinyama vinavyoota katika njia ya haja kubwa na vijinyama hivi hupelekea Uvimbe katika njia hiyo.KUNA AI...
29/05/2022

.

BAWASILI,ni vijinyama vinavyoota katika njia ya haja kubwa na vijinyama hivi hupelekea
Uvimbe katika njia hiyo.

KUNA AINA MBILI ZA BAWASILI,
1.BAWASILI YA NDANI
2.BAWASILI YA NJE

1.BAWASILI YA NDANI:Ni ile hali ya kijinyama (uvimbe) kinachotokea ndani ya njia ya haja kubwa.
2.Bawasili ya nje no ile hali ya kijinyama kuota nje ya njia ya haja kubwa.

Viko vyanzo vingi vya ugonjwa huu k**a vile,
Kunyanyua vitu vizito,vyakula vyenye chemical nyingi,kukaa mahali pamoja muda mrefu nk.
LAKINI CHANZO KIKUBWA CHA UGONJWA HUU NI CONSTIPATION/CHOO KIGUMU.

DALILI ZA UGONJWA HUU

👉🏾Miwasho katika njia ya haja kubwa
👉🏾kutokwa damu wakati wa kwenda haja kubwa
👉🏾maumivu makali wakati wa kwenda haja kubwa
👉🏾Kutokwa vijinyama katika njia ya haja kubwa.
👉🏾kuota vinyama ambavyo huvimba katika njia ya haja kubwa nk.

MADHARA YA BAWASILI,
1.Maumivu makali katika njia ya haja kubwa.
2.kushindwa kwenda haja kibwa
3.vidonda vya tumbo.
4.utumbo kuoza
5.Kuathirika kisaikolojia

0686506487

26/05/2022
26/05/2022

Address

DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Telephone

+255686506487

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ester. Na Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Ester. Na Afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram