16/10/2022
P2 ni emergency contraceptive,inazuia mtu asipate Mimba kwenye mazingira ambayo umefanya s*x pasipo Kupanga na upo siku za hatari,au umelazimishwa kukutana kimwili..
Mimba zisizotarajiwa unalazima Kunywa hizi DAWA. Ni Dawa imetangenezwa kutumiwa MARA CHACHE,inapokulazimu.
Sio Dawa unayotakiwa kutumia k**a Njia ya UZAZI WA Mpango ya muda mrefu,kuna wanawake KILA MWEZI P2 inaingizwa Mwilin(HAITAKIWI),standard hutakiw Meza zaid ya mara 3 kwa MWAKA,Kuendekeza kila mwezi kunywa
Hizi P2 sio sahihi,Unatakiwa uje hospitali UPATE NJIA SAHIHI ya uzazi wa mpango ya muda mrefu.
Baadhi ya Side effects/madhara ni Haya Hapa👇👇
1.Unaeza jisikia kichefuchefu au kutapika baada ya kumeza,
2.Tumbo kuuma
3.matiti kuuma na kujaa
4.Pia hedhi zako zinavofuata zinaweza zikawahi au zikachelewa au zikatoka nyingi sanaaa( ukiona zimezidi siku 8 fika muone daktari) au ukawa unapata hedhi nyepesi sana au Ukawa haupat hedhi(amenorhoea)
5.kichwa kuuma na kizunguzungu
6.Mabadiliko ya Ute uken(change in cervical secretion,hapa unakuta Ute wa ovulation mtu hapati).
7.kupata infection ukeni,va**nal infections,
8.hatari ya kupata PID
9.maumivu wakati wa s*x(dyspareunia)
10.mama anakuwa hatarin kutungisha mimba nje ya kizazi yaan ectopic pregnancy.
11.lakin pia kuna wanawake hupata Ovarian cyst,vivimbe kwenye mfuko wa mayai. Kuna sababu Hapo Juu k**a PID,kutopata UTE,infections kwenye va**na hizi zinakuja ku affect mwanamke anakuwa anapata Tabu kwenye Kupata MIMBA. K**a HUJAPANGA kupata MIMBA,uwekewe njia ya uzazi wa mpango ya muda mrefu inayokufaa,achana na KUMEZA P2 kila mwezi.
Je,wewe mhanga wa kutumia P2 na haupati mimba,una PID,haupati UTE?
Leo nina ofa kabambe .
+255764975124