Mwanamke Afya

  • Home
  • Mwanamke Afya

Mwanamke Afya Mwanamke Mwenye Afya Bora Fahari kwa Jamii Yake

Umeamkaje boss wangu. 🤓Eti, 1. *Ulikuwa unafahamu zaidi ya asilimia 70 ya kinga yako ya mwili ina anzia kwenye utumbo wa...
24/09/2021

Umeamkaje boss wangu. 🤓

Eti,
1. *Ulikuwa unafahamu zaidi ya asilimia 70 ya kinga yako ya mwili ina anzia kwenye utumbo wako?*

2. Ulikuwa unajua ratio ya bakteria wazuri na wabaya inayotakiwa mwilini mwako ili kuzuia maambukizi na ukuaji wa magonjwa, kupata choo vizuri, kuzuia vidonda vya tumbo ni 85:15? *Yes ni muhimu pia kuwe na bakteria wabaya kuwa keep hawa wazuri active.*
Unafahamu pia dawa zinatabia ya kuua bakteria wazuri eeh? Mara moja moja *tumia Forever active probiotic* kuhakikisha your gut health is filled na bakteria wazuri zaidi

3. Tulisomaga zamani umuhimu wa *ph balance (acidity &alkalinity)*
Mwili ukiwa na acid zaidi magonjwa, virusi, bacteria, fungus ndio hupata nafasi ya kuzaliana.
Mara nyingi asubuhi tu vifungua kinywa vyetu ni vyakula na vinywaji vyenye acid zaidi.
Anza asubuhi yako (wewe na familia yako) na *Forever supergreens kuweka mwili wako kwenye hali ya alkaline*

Hii package nzima itakutosha kwa siku 30 kuhakikisha unaboreha kinga yako ya mwili, afya yako ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na ph yako inakuwa balanced.

Karibu nikuhudumie.

Upungufu wa nguvu za kiume ni Changamoto ambayo wanaume wengi sana hukutana nayo na kuwanyima raha k**a mwanaume .      ...
06/09/2021

Upungufu wa nguvu za kiume ni Changamoto ambayo wanaume wengi sana hukutana nayo na kuwanyima raha k**a mwanaume .
Changamoto hii husababisha wanaume kuwa na mawazo mengi na hupelekea wengine kukata tamaa ya kuwa katika mahusiano kutokana na fedheha wanazopata kutoka kwa wenzi wao.
Tatizo hili huashiria kuna upungufu wa kitu fulani mwilini (Kirutubisho).
- Tunashauriwa na wataalamu wa afya kutumia mlo kamili yaani wenye vitamins,wanga,protein,fats,madini na maji ya kutosha ili kuimarisha miili yetu
Ukosefu wa virutubisho mwilini husababisha Changamoto mbili mbali katika mwili mojawapo likiwai ni UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
-Changamoto hii huwafanya wanaume kuwa na mawazo mengi kuhusu afya zao na kuwafanya wengine kukataa tamaa ya kuwa ktk mahusiano kutokana na fedheha wanazokutana nazo kutoka kwa wenzi wao
:-Wanaume wengi wenye changamoto hii hujidanganya/kudanganywa kutumia dawa ya za kuongeza nguvu wakati wa kujamiiana ambazo baadae husababisha madhara zaidi baadae
:-Wengi wasichokijua ni wanatakiwa kutumia virutubisho na sio dawa ambayo itafanya kazi ya kurekebisha pale penye tatizo na kukurudisha kwenye uhalisia wako k**a mwanaume

Visababishi vya upungufu wa nguvu za kiume
~Kujichua
~Ulaji holela wa vyakula
~matumizi makubwa ya pombe/uvutaji sigara
~matumizi mabaya ya madawa
~Kuwa na cholesterol (helamu)
~Shinikizo la damu
~Kuwa na tatizo la kibofu
~Kuwa na mawazo mengi na wasiwasi
Njoo upate ushauri 0743488166 ama kwa watsap 0623947100 tutakufikia

02/09/2021

TUNATOA ELIMU ELEKEZI NAMNA AMBAVYO MFUMO WA MAISHA UNAWEZA KUWA CHANZO CHA AFYA KUTOKUA IMARA,AIDHA

Inapaswa imtokee zaidi ya mara 20 kwa mwezi k**a hupati hii njoo upate masaada 0743488166 ama kwa watsap 0623947100
02/09/2021

Inapaswa imtokee zaidi ya mara 20 kwa mwezi k**a hupati hii njoo upate masaada 0743488166 ama kwa watsap 0623947100

31/08/2021
TATIZO la ugumba limekua kubwa na umefika wakati lizungumzwe kwa kuangalia upande wa pili wa shilingi.  Inaelezwa kuwa k...
28/08/2021

TATIZO la ugumba limekua kubwa na umefika wakati lizungumzwe kwa kuangalia upande wa pili wa shilingi. Inaelezwa kuwa katika kila ndoa sita, moja huhangaika kupata uzazi na mmoja kati ya wawili hao anaweza kuwa mgumba.
Zipo sababu mbalimbali zinazochangia ugumba kwa wanaume ikiwamo matatizo ya kuzaliwa nayo au kuyapata ukubwani ikiwemo magonjwa mbalimbali. Matatizo yafuatayo yamekuwa ndiyo mara kwa mara chanzo cha kujitokeza kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. Yako mambo yanayosababisha utengenezaji wa mbegu zisizo na ubora zinazokosa ufanisi wa kazi yake. Mambo hayo ni pamoja na kuzaliwa na korodani ambazo hazijashuka kutoka tumboni.
Kwa kawaida, kabla ya kuzaliwa kokwa za kiume huwa zipo ndani ya pango la tumbo na hutakiwa zishuke kuelekea sehemu za uzazi baada ya kuzaliwa. Kushindwa kushuka na kuhifadhiwa katika korodani husababisha mbegu au kokwa kuharibika kutokana na joto kali la tumboni. Kushuka na kuning’inia kwa korodani ni maumbile sahihi ya kibailojia yenye tija kiafya ambayo huwezesha kupata joto la wastani hivyo kutengenezwa mbegu zenye kiwango. 0743488166 au 0623947100

28/08/2021

TATIZO la ugumba limekua kubwa na umefika wakati lizungumzwe kwa kuangalia upande wa pili wa shilingi. Inaelezwa kuwa katika kila ndoa sita, moja huhangaika kupata uzazi na mmoja kati ya wawili hao anaweza kuwa mgumba.
Zipo sababu mbalimbali zinazochangia ugumba kwa wanaume ikiwamo matatizo ya kuzaliwa nayo au kuyapata ukubwani ikiwemo magonjwa mbalimbali. Matatizo yafuatayo yamekuwa ndiyo mara kwa mara chanzo cha kujitokeza kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. Yako mambo yanayosababisha utengenezaji wa mbegu zisizo na ubora zinazokosa ufanisi wa kazi yake. Mambo hayo ni pamoja na kuzaliwa na korodani ambazo hazijashuka kutoka tumboni.
Kwa kawaida, kabla ya kuzaliwa kokwa za kiume huwa zipo ndani ya pango la tumbo na hutakiwa zishuke kuelekea sehemu za uzazi baada ya kuzaliwa. Kushindwa kushuka na kuhifadhiwa katika korodani husababisha mbegu au kokwa kuharibika kutokana na joto kali la tumboni. Kushuka na kuning’inia kwa korodani ni maumbile sahihi ya kibailojia yenye tija kiafya ambayo huwezesha kupata joto la wastani hivyo kutengenezwa mbegu zenye kiwango... Njoo upate suluhisho kwa watsap 0623947100

Mwanamke je umefanya mazoezi ya viungo Leo???Ni Muhimu kufanya mazoez kwa afya bora na kuimarisha Kinga ya mwili
26/08/2021

Mwanamke je umefanya mazoezi ya viungo Leo???
Ni Muhimu kufanya mazoez kwa afya bora na kuimarisha Kinga ya mwili

Dalili zake~Udhaifu katika utoaji wa mkojo(mkojo hauishi)  :-Udhaifu huo pia kunaweza kutokea kwa kuvimbakwa tezi dume k...
23/08/2021

Dalili zake
~Udhaifu katika utoaji wa mkojo(mkojo hauishi)
:-Udhaifu huo pia kunaweza kutokea kwa kuvimbakwa tezi dume kabla ya saratani.
~Kukojoa mara kwa mara
~Kushindwa kukojoa
~Maumivu ya kiuno na mifupia ya nyonga
:-Maumivu ya nyonga huanza k**a dalili za awali .
~Damu ndani ya mkojo(Hii huonesha tezi dume imeathirika) k**a unaona hizi dalili njoo what's app 0623947100

-Chembechembe asi hizo mwishoe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini            Vis...
23/08/2021

-Chembechembe asi hizo mwishoe hutengeneza vivimbe hatari ndani ya tezi dume na hatimaye husambaa mwilini
Visababishi/Chanzo
~Nasaba(historia ya ukoo kuhusiana na saratani hii)
~Upungufu wa virutubisho💁🏽‍♀️
~Unene uliokithiri
~Umri mkubwa kuanzia miaka 50
~Ukosefu wa mazoezi
~Ulaji hatarishi ie nyama nyekundu kwa wingi,mafuta n.k

Tezi dume ni nini??  :-Ni tezi inayopatikana katika jinsia ya kiume.Tezi hii ina Kazi ya kutengeneza maji maji meupe mep...
23/08/2021

Tezi dume ni nini??
:-Ni tezi inayopatikana katika jinsia ya kiume.Tezi hii ina Kazi ya kutengeneza maji maji meupe mepesi yenye unato kidogo ambayo husaidia mbegu za kiume kutembea kwa urahisi .
:-Tezi dume hupatikana mwishoni mwa kibofu cha mkojo
Saratani ya tezi dume ni nini?
:-Hii maana yake tezi dume imepata saratani,hii hutokea pale ambapo chembe chembe hai za tezi huanza kujigawanya bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili.

Kina mama hupita katika changamoto mbalimbali katika maisha Yao... Hivo wa nahitaji virutubisho vya kutosha kuweza kusai...
12/08/2021

Kina mama hupita katika changamoto mbalimbali katika maisha Yao... Hivo wa nahitaji virutubisho vya kutosha kuweza kusaidia miili Yao kuwa poa... Fertility booster TUNAKUJA na suluhisho kwa matatizo yako yakiwemo PiD, ukavu, hamu ya tendo la ndoa, ugumba, kuharibu mimba, PID, UTI na maumivu wakati Wa hedhi... TUMA NENO CHANGAMOTO WANAWAKE KWENDA WHATSAAP 0623947100 TUTAKUFIKIA... NJOO UOKOE NDOA Yakobo Victory

Je unapata changamoto katika kushiriki tendo la ndoa wewe mama au baba... Njoo upate suluhisho na uepukane na madhara ya...
11/08/2021

Je unapata changamoto katika kushiriki tendo la ndoa wewe mama au baba... Njoo upate suluhisho na uepukane na madhara ya kujichua.. 0623947100 whatsaap tutakufikia

Namna mtoto ankakuwa inategemea na unakula nn akiwa tumboni, akizaliwa inategemea nn anapewa kwa ajir ya kuwa na afya bo...
11/08/2021

Namna mtoto ankakuwa inategemea na unakula nn akiwa tumboni, akizaliwa inategemea nn anapewa kwa ajir ya kuwa na afya bora.. Mazoea mabaya ya kula na kutokuzingatia lishe hukomaza matatizo mbalimbali ya kiafya

09/08/2021

*KUHARIBU/KUHARIBIKA KWA MIMBA*

Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa njia ya kutoa kiinitete (embryo) au mjusi (fetus) kabla ya kutimiza umri wa kuweza
kuishi nje ya mfuko wa kizazi hujulikana k**a abortion . Mimba inapoharibika yenyewe kabla ya kutimia umri wa wiki 20 hujulikana k**a miscarriage.

Kuharibu mimba kwa kukusudia bila kuwepo kwa sababu za msingi za kitabibu zinazomruhusu mama mjamzito kufanya hivyo ndio hujulikana k**a criminal abortion, ambayo kulingana na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kosa la jinai (Criminal Act).

Kuharibika kwa mimba miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito (First Trimester Miscarriage)

Visababishi

a) Asilimia 50-70% ya mimba zote zinazoharibika zenyewe wakati wa miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito hutokana na matatizo ya kiasili au vina saba (genetics or chromosome abnormalities) k**a;

Autosomal trisomy (22.3%)
Monosomy (8.6%)
Triploidy (7.7%)
Tetraploidy (2.6%)

b) Magonjwa yanayotokana na kinga ya mwili (Collagen Vascular Disease)-Magonjwa haya hutokana na mwili wa binadamu kutengeneza chembechembe za antigen ambazo hushambulia viungo vyake venyewe . Magonjwa haya ni Systemic Lupus Erythematosus (SLE) na Antiphospholipid Antibody Syndrome.

Magonjwa haya husababisha mimba kuharibika mara kwa mara chini ya umri wa miezi mitatu ya mwanzo.Hivyo ni muhimu mgonjwa anayepata tatizo la kuharibika mimba mara kwa mara kufanyiwa kipimo cha damu mapema ili kugundua uwepo wa magonjwa haya na kupewa tiba stahiki.

c) Kukosekana kwa uwiano wa vichocheo (Hormonal imbalance) k**a cushing syndrome, ugonjwa wa tezi koo ( thyroid diseases,) Polycystic o***y syndrome na Luteal Phase Defect.
Luteal Phase Defect - Ni upungufu wa kichocheo aina ya progesterone ambacho ni muhimu sana katika ukuaji wa mimba.

Ugonjwa huu pia huweza kugundulika kwa kipimo cha damu au kipimo cha kuchukua chembechembe za kuta za kizazi na baadae kuzipeleka maabara kwa ajili ya kuzipima. Mgonjwa hutibiwa kwa kupewa vidonge (supplement) vya kuongeza kichocheo hik

Changamoto za afya kwa mwanamke ni nyingi. Kuna changamoto sugu za FUNGUS, UTI, PID nk.Na bahati mbaya zikizidi kuwa sug...
08/07/2021

Changamoto za afya kwa mwanamke ni nyingi. Kuna changamoto sugu za FUNGUS, UTI, PID nk.

Na bahati mbaya zikizidi kuwa sugu kuzitatua huwa shida na hupelekea shida kubwa zaidi. Mfano PID ikizidi kusambaa huweza kupelekea kuziba kwa mirija ya uzazi.

Ndo maana tumeamua kuwasaidia wanawake kutatua changamoto hizo. Wasiliana nasi kwa kutuma neno ZA MWANAMKE kwenda WhatsApp number 0623947100 tutakufikia.

13/05/2021
25/02/2021

swali kwanini ntumie virutubisho wakati nakula aina zote za chakula ?

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanamke Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwanamke Afya:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Practice
  • Claim ownership or report listing
  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share