31/01/2022
TIBA NA SULUHISHO LA VINDONDA VYA TUMBO SUGU
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
1. Maumivu ya tumbo ya kuchoma au ya kunyonga ambayo huanza dakika 45 hadi saa 1 baada ya kula chakula. Mara nyingi ukinywa maji maumivu ya tumbo huisha au ukitapika au kula kitu cha alkaline mfano kulamba majivu au baking soda hutuliza tumbo.
2. Maumivu haya ya tumbo wakati mwingine hukuamsha usiku wa manane hasa saa saba au nane usiku.
3. Maumivu chini ya kifua (chembe moyo), ambayo hutembea mpaka kwenye uti wa mgongo. Maumivu haya hufanana na kiungulia, au maumivu ya mtu mwenye njaa kali.
4. Dalili zingine ni maumivu ya kichwa, kichefuchefu, maumivu ya uti wa mugongo kucheua nyongo.
DALILI MBAYA YA VIDONDA VYA TUMBO.
Wengi wanaopata vidonda vya tumbo huwa wanapuuzia dalili za mwanzo za vidonda vya tumbo. Na asilima kubwa hugundulika pale anapoanza kutapika damu au vitu vyeusi au kujisaidia kinyesi cha langi ya dawa au kahawa.
Ukianza kutapika damu au vitu vyeusi, au ukianza kujisaidia kinyesi chenye damu, hii ni dalili mbaya kabisa maana sasa vidonda vinatoa damu. K**a hii hali haitatibiwa haraka, unaweza kutoka damu hadi kufa (kifo).
NAMNA YA KUJICHUNGUZA
Je? Una vidonda vya tumbo. Hii ni njia ya kujichunguza
1. Ukipata maumivu ya tumbo, kunywa kijiko kimoja cha maji ya limao. K**a maumivu yakipungua basi hauna vidonda vya tumbo, lakini maumivu yakiongezeka basi ujue una vidonda vya tumbo na asidi nyingi tumboni.
2. Je Unapenda vyakula vichachu k**a ndimu, limao au maembe yasiyokomaa? K**a unaenda hivyo basi una aside kidogo tumboni, k**a huvipendi, wewe una aside nyimgi tumboni, na k**a havikupi shida hivyo vyakula basi wewe uko vizuri.
VITU VYA KUEPUKA UKIWA NA VIDONDA VYA TUMBO.
I. Kuepuka mazingira yote yanayoleta hofu, wasiwasi, mawazo na hasira. Jitahidi kutulia na kuridhika hata k**a uko kwenye changamoto zinazokusonga. Tuliza akili.
II. Usile vyakula vya kukaanga,majani ya chai, kahawa iwe chai au juisi, chumvi, chocolate, vinyaji baridi,. Usinywe maziwa ya ng’ombe, usivute sigara au kuwa karibu na wanaokunya, la sivyo havitapona.
III. Chumvi huchefua tumbo,hivyo huongeza vidonda kwenye tumbo la chakula lakini sio kwenye utumbo mdogo.
IV. Vyakula vyenye sukari nyingi, mkate mweupe pia hochochea asidi nyingi kuzalishwa
📲PATA SULUHISHO LA VINDONDA VYA TUMBO SUGU KWA KUTUMIA DAWA ZENYE VIRUTUBISHO LISHE ASILIA KWA WINGI 👉 NIPIGIE SASA 0713051747 NIKUSAIDIE