Njugu Medical

Njugu Medical Huduma Zote Za afya
kutumia Virutubisho Asili.
�buguruni Ilala Dar es salaam
�+255753767954

*FAHAMU JUU YA  TATIZO LA PRESHA YA KUPANDA NA YA KUSHUKA PAMOJA NA MATIBABU YAKE**Magonjwa ya moyo, presha ya kupanda/p...
01/12/2024

*FAHAMU JUU YA TATIZO LA PRESHA YA KUPANDA NA YA KUSHUKA PAMOJA NA MATIBABU YAKE*

*Magonjwa ya moyo, presha ya kupanda/presha ya kushuka/presha.*

*Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.*

*Aina za presha.*

*Zipo aina kuu mbili za presha, yaani;*
*1️⃣PRESHA YA KUPANDA*
*2️⃣PRESHA YA KUSHUKA.*

*PRESHA YA KUPANDA.*
*Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo.*
*Presha itaitwa kuwa presha ya kupanda ikiwa iko juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo ni 120/80mmHg.Presha yaweza kupanda mpaka kufikia 240/120mmHg.*

*SABABU KUU ZA KUPANDA KWA PRESHA*
*1️⃣Utumiaji wa chumvi nyingi kwenye chakula.*
*2️⃣Unywaji wa pombe/sigara uliokithiri.*
*3️⃣Msongo wa mawazo na kutokufanya mazoezi*
*4️⃣Familia zenye matatizo ya moyo pamoja na kurithi.*
*5️⃣uzito mkubwa,unene na kitambi.*

*DALILI ZA PRESHA KUPANDA*
*1️⃣Kushikwa na kizunguzungu*
*2️⃣Kichefuchefu, tumbo kujaa na kutapika kusiko kwa kawaida*
*3️⃣Kuvimba/kujaa maji kwa miguu,uso na mikono.*
*4️⃣Kutokuona vizuri (kuona ukungu).*

*MADHARA YATOKANAYO NA PRESHA KUPANDA*.
*1️⃣ Uvimbe kwenye kuta za vishipa vya damu/kuziba kwa mishipa ya damu(artery) inayopelekea shambulio la moyo (Heart attack).*
*2️⃣Moyo kushindwa kusukuma damu (Heart failure)*
*3️⃣Kiharusi(stroke)*
*4️⃣ Kuharibika kwa ubongo.*

*Kwa upande mwingine;*

*PRESHA YA KUSHUKA.*
*Presha ya kushuka ni ile hali msukumo wa damu unakuwa mdogo kuliko upana (unene) wa vishipa vya damu hali inayopelekea damu chache kufika kwenye ubongo na viungo vingine vya mwili.*
*Presha ikishuka mpaka kufikia 90/60mmHg kutokea 120/80mmHg inatafsiriwa k**a presha iliyoshuka.*
*Presha ya kushuka huchangiwa hasaa na moja ya sababu zifuatazo;*
*🔘Matatizo ya homoni.*
*🔘Maradhi ya moyo pamoja na maambukizo ya vishipa vya damu.*
*🔘Kisukari.*
*🔘Kubeba Ujauzito.*
*🔘Ukosefu wa virutubisho mwilini k**a vile protini,madini ya chuma,Vitamin B-12 n.k*
*🔘Kushikwa na hasira pamoja na msongo wa mawazo.*
*Na moja ya dalili za presha hii ni k**a vile;*
*🔘Mchoko(udhaifu), mwili kukosa nguvu na kuhisi kizunguzungu*
*🔘Maumivu ya kifua pamoja na homa kali*
*🔘Kupumua kwa shida na moyo kwenda mbio (mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida).*
*🔘Maumivu kwenye kifua, bega la kushoto pamoja na kiwiko cha mkono.*
*Moja ya madhara yanayotajwa* *yatokanayo na presha hii ni mshtuko/kifo cha ghafla kunakotokana na* *viungo vya mwili kutokupata oxygen ya kutosha.*
*Epuka,dhibiti moja ya mambo yafuatayo ikiwa unasumbuliwa na tatizo la presha (aina zote) pamoja na athari zitokanazo na magonjwa ya moyo.*
*✔️Kupata wasaa wa kufanya mazoezi ya viungo, kukimbilia au kuendesha baiskeli (wastani wa dk 45 kwa siku)*
*✔️Epuka matumizi ya sigara, pombe na matumizi mengine ya madawa k**a Heroine*
*✔️Tumia kiasi sahihi cha chumvi, sukari au mafuta kwenye chakula chako(Sikiliza miongozo ya wataalamu).*
*✔️Pata wasaa wa kupumzika (Zaidi ya saa 8 kwa siku)*
*✔️Punguza unene au uzito uriokithiri kwa kutumia veggie veggie & Detoxilive *

*MATIBABU YA PRESHA_TUMIA MICRO2 CYCLE NA PURE & BROKEN KUTIBU NA KUPONA KABSA TATIZO LA PRESHA*

*FAIDA ZA MICRO2 CYCLE TABLETS & PURE*
*● Huzuia Damu kuwa nzito isivyo kawaida*
*● Husaidia damu kuzunguka kwenye mishipa (capillary) kwa urahisi*
*● Ni nzuri kwa kukinga na kuondoa stroki,Pumu,Presha na kupona kabsa*
*● Inasaidia oxygen na virutubisho kusambazwa kwa urahisi /Huzuia KUSINYAA KWA MISHIPA YA DAMU*
*● Huongeza ufanisi wa mwili kuweza kujiponya wenyewe*
*● Huondoa mafuta ya Lehemu( Cholestral)kwenye kuta za mishipa ya damu*
*● Huongeza ufanisi wa macho kuona vizuri*
*● Huzuia kuganda kwa damu*
*● Huondoa maumivu ya miguu yanayotokana na kuziba kwa mishipa midogo.*
*● Huimarisha mfumo wa Neva ...*
*● NZURI KWA WASIOPATA USINGIZI *
*● Nzuri kwa wenye MAUMIVU YA KICHWA MARA KWA MARA*

Kwa tiba au ushauri juu ya afya ya mwili wako
Nicheck whas/call
+255755677474

Mapishi ya Emerald Green Fiber SmoothieViungoVikombe 2 mchicha safi au kabichi (iliyojaa)Ndizi 1 iliyoiva (pamoja na vip...
30/11/2024

Mapishi ya Emerald Green Fiber Smoothie

Viungo

Vikombe 2 mchicha safi au kabichi (iliyojaa)

Ndizi 1 iliyoiva (pamoja na vipande vya ziada vya kupamba)

1 kikombe cha maziwa ya mlozi bila sukari (au maziwa yoyote ya chaguo)

1/2 kikombe vipande vya mananasi vilivyogandishwa

1/2 parachichi (hiari, kwa creaminess)

Kijiko 1 cha mbegu za kitani (pamoja na ziada kwa kupamba)

Kijiko 1 cha mbegu za chia

1/2 kikombe cha mtindi wa Kigiriki (au mbadala wa mimea)

Vipande vya barafu (hiari, kwa unene)

Kijiko 1 cha asali au syrup ya maple (hiari, kwa utamu)

+255755677474

Maagizo

1. Changanya Greens: Ongeza mchicha au kale kwenye blender na maziwa ya mlozi. Changanya hadi laini na hakuna vipande vya majani vilivyobaki.

2. Ongeza Matunda na Mbegu: Ongeza ndizi, nanasi lililogandishwa, parachichi (ikiwa unatumia), mbegu za kitani na chia. Changanya tena hadi kuingizwa kikamilifu.

3. Rekebisha Mchanganyiko: Ongeza vipande vya barafu ikiwa unapenda laini laini au maziwa ya mlozi zaidi ikiwa ni nene sana. Changanya tena kwa ufupi.

4. Tamu Ikihitajika: Onja laini. Ikiwa unapenda tamu zaidi, ongeza asali au syrup ya maple na uchanganye tena.

5.

19/11/2024

SULUHISHO LA SUKARI , PATA USHARI KAMILI NA TIBA YAKE
KWA MAWASILIANO ZAIDI /WHTSUP;+255755677474

ALMOND, BANANA, AVOCADO SMOOTHIE WITH HONEY 🍌🥑🍯Ingredients:🍌 1 ripe banana🥑 1/2 ripe avocado🥛 1 cup almond milk🍯 1 table...
18/11/2024

ALMOND, BANANA, AVOCADO SMOOTHIE WITH HONEY 🍌🥑🍯
Ingredients:
🍌 1 ripe banana
🥑 1/2 ripe avocado
🥛 1 cup almond milk
🍯 1 tablespoon honey
🌰 1/4 cup raw almonds (or 2 tablespoons almond butter)
🧊 Ice cubes (optional).
Egonga’s secret drink revealed! Men don't joke with these Fruits to be taken once in a while 😘. +255755677474 call 📞/ whsup

10/06/2024
suluhisho la PID +255753767954
27/02/2024

suluhisho la PID
+255753767954

Check out Dr.hassan_malick's video.

15/01/2024

SULUHISHO LA MAGONJWA YA SIYOAMBUKIZA , PATA TIBA SAHIHI NA KINGA YA MWILI kinga ya mwilikupambana na uzee tezi dume bila upasuaji bawasiri bila upasuaji cancer (saratani) aina zote viungo na mifupa vidonda vya tumbo pressure sukari stroke
etc
kwa maelezo zaidi piga numb +255753767954

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA INIUGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS) : MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMUIni ni kiungo muhimu sa...
09/12/2023

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA INI

UGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS) : MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU
Ini ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi zaidi ya 500 ; moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kutoka kwenye damu.
Kutokana na sababu mbalimbali k**a pombe iliyopita kiasi, sumu kwenye damu au maambukizi; ini hupata shida na kuvimba na kushindwa kufanya kazi vizuri. Hii hali huitwa HOMA YA INI au HEPATITIS.
Katika maeneo yetu, bara la Afrika maambukizi ya virusi wa Homa ya ini ndio sababu kuu ya shida kwenye ini. Virusi vya Homa ya ini vipo vya aina 5 (A,B,C,D,E).
Aina mbili za virusi (B na C ) ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini na husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili.
Homa ya ini ni sawa janga linaloua kimya kimya kulingana na takwimu za vifo za dunia inakadiriwa Kirusi cha homa ya ini aina ya B pekee huua watu 600,000 hivi kila mwaka.
Kwa wastani zaidi ya watu bilioni mbili, yaani, asilimia 33 hivi ya watu wote ulimwenguni, wameambukizwa virusi vya HBV, na wengi wao hupona baada ya miezi michache. Watu milioni 350 hivi huendelea kuwa na virusi hivyo mwilini, wengi huishi bila dalili na kuendelea kuambukiza watu wengine

+255755677474 Ini Ni Kiungo Muhimu Sana Ndani Ya Miili Yetu, Hufanya Kazi Zaidi Ya 500 ; Moja Ya Kazi Ni Kuchuja Na Kuon...
04/08/2023

+255755677474
Ini Ni Kiungo Muhimu Sana Ndani Ya Miili Yetu, Hufanya Kazi Zaidi Ya 500 ; Moja Ya Kazi Ni Kuchuja Na Kuondoa Sumu Kutoka Kwenye Damu.Kutokana Na Sababu Mbalimbali K**a Pombe Iliyopita Kiasi, Sumu Kwenye Damu Au Maambukizi; Ini Hupata Shida Na Kuvimba Na Kushindwa Kufanya Kazi Vizuri. Hii Hali Huitwa HOMA YA INI Au HEPATITIS.Katika Maeneo Yetu, Bara La Afrika Maambukizi Ya Virusi Wa Homa Ya Ini Ndio Sababu Kuu Ya Shida Kwenye Ini. Virusi Vya Homa Ya Ini Vipo Vya Aina 5 (A,B,C,D,E).Aina Mbili Za Virusi (B Na C ) Ndio Sababu Kuu Za Ugonjwa Wa Homa Ya Ini Na Husambaa Kupitia Damu Na Majimaji Ya Mwili.

K**A UMEKUA UKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA PRESHA NA SUKARI KWA MDA MREFU , KARIBU KWA USHAURI ZAIDI 0755 677 474
30/05/2023

K**A UMEKUA UKISUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA PRESHA NA SUKARI KWA MDA MREFU , KARIBU KWA USHAURI ZAIDI
0755 677 474

20/05/2023

suluhisho la viungo bila upasuaji
Chanzo Cha Arthritis Ni Nini?


Kusudi kuelewa chanzo cha ugonjwa huu, hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana. Fikiria goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu
+255753767954

02/03/2023

DALILI ZA TEZI DUME NA MADHARA YA TEZI DUME
Udhaifu katika utoaji wa mkojo, mkojo hauishi.
Kwenda kukojoa mara kwa mara.
Damu ndani ya mkojo.
Kushindwa kukojoa.
Maumivu ya kiuno na mifupa ya nyonga.
Wagonjwa wengi huanza maumivu ya nyonga k**a ni dalili za awali.
Udhaifu katika utoaji wa mkojo pia kunaweza kutokea kwa kuvimba kwa tezi dume bila ya saratani.
Damu kwenye mkojo nakushindwa kumaliza mkojo ni ishara tosha ya kuwa tezi dume imeathirika.
+255753767954

Address

Ilala Buguruni
Dar Es Salaam

Telephone

+255755677474

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njugu Medical posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Njugu Medical:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram