Mwanakwetu

Mwanakwetu Tibu bawasiri bila upasuaji

BAWASIRI/KIKUNDU (HAEMORHOIDS)BAWASIRI NI NINI?  https://wa.link/fl8n91Ni mkusanyiko wa damu ndani ya njia ya haja kubwa...
25/05/2022

BAWASIRI/KIKUNDU (HAEMORHOIDS)
BAWASIRI NI NINI? https://wa.link/fl8n91
Ni mkusanyiko wa damu ndani ya njia ya haja kubwa (mkundu na puru) katika sinusoid za ateri na vena za njia ya haja kubwa. Ikumbukwe kwamba mifumo hii ya damu ni ya kawaida na kila binadamu anazo. Mifumo hio ya damu ya ndani ya njia ya haja kubwa ikijaa damu ndipo inavimba na inakua bawasiri au vijivimbe laini ndani ya njia hiyo. Watu wengi sana wana bawasiri na kwa kua hazinaga dalili basi hata watu wengi hawajijui k**a wana hali hii.Bawasiri huwapata sana watu kuanzia miaka 30 hadi 65;chini ya miaka 20 au juu ya miaka 70 ni ngumu sana kupata bawasiri. Ikumbukwe kwamba bawasiri zipo sana na k**a hazikupi shida yeyote wala hazihitaji matibabu ya aina yeyote
AINA ZA BAWASIRI
👉BAWASIRI ZA NDANI(INTERNAL HAEMORHOIDS)
👉BAWASIRI ZA NJE(EXTERNAL HAEMORHOIDS)
👉BAWASIRI MCHANGANYIKO(MIXED HAEMORHOIDS)
WALIOPO KWENYE HATARI YA KUPATA BAWASIRI
👉Wanaoharisha sana(diarrhea)
👉Wajawazito( pregnancy)
👉Wanaopata choo kigumu kwa muda mrefu(chronic constipation)
👉Wanaokaa muda mrefu kwenye kiti( prolonged sitting)
👉Watu wenye kiribatumbo(obesity)
👉Wanaofanya mapenzi ya njia ya haja kubwa(a**l in*******se)
👉Wanaonyanyua vitu vizito(Regular heavy lifting)
👉Watu wenye maisha mazuri na wasomi(Higher socioeconomic status)
👉Waliofanyiwa operesheni ya aina yeyote ya mkunduni(Rectal surgery)
👉Wenye magonjwa ya ini(Hepatic disease)
👉Watu wenye saratani ya utumbo mpana(Colon malignancy)
👉Wenye presha ya puru(Elevated a**l resting pressure)
👉Wenye presha ya Ini(Portal hypertension
ATHARI ZA BAWASIRI
🔹Upungufu wa damu mwilini
🔹Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
🔹kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
🔹kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
🔹kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
🔹Kupata tatizo la kisaikolojia
NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
🔹Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
🔹kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
🔹Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
🔹Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
➡️matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NI *BODY SYSTEM* na *BAWASIR LIQUID* hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja kwa muda wa wiki mbili tu hata k**a ulishawahi kufanyiwa upasuaji hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni
vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri
ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI
MADHARA YA BAWASIRI
➡️Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri
➡️KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
➡️KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI
➡️HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU
➡️HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
➡️KUPATA KANSA YA YTUMBO✍ hayo ni mambo ya msingi sana kuyajua kabla ya kujua tiba
AFYA KWANZA HERBAL CLINIC TUPO KWAAJILI YA KUKUPATIA TIBA YA BAWASIR WW UNAYESUMBULIWA NA TATIZO HILI TUPIGIE SASA KWA NAMBA ZIFUATAZO:-
+255 652402949 Call 📞
WhatsApp --->>> https://wa.link/fl8n91
https://wa.link/fl8n91
https://wa.link/fl8n91
TUPO DARESALAAM KARIAKOO MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI TUNATAZAMANA NA DUKA LA NGUO LA SANDALEND THE ONLY ONE 🏨 NYOTE MNAKARIBISHWA. https://wa.link/fl8n91

BAWASIRI AU MGORO HUFUBAZA NA KUUCHOSHA MWILIBawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na ku...
21/05/2022

BAWASIRI AU MGORO HUFUBAZA NA KUUCHOSHA MWILI
Bawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na kuvimba kwa mishipa midogo ya damu. Nyama hizi zaweza kuwa ndogo mithiri ya punje ya harage au zikawa kubwa zaidi.
Bawasiri husababishwa na; Kuharisha/kuhara kwa muda mrefu, Kutokufanya mazoezi mara kwa mara, Visababishi vya lishe (chakula kilicho na kiwango cha chini cha faiba), Kutokuwepo kwa vali katika vena ya hemoroidi, Vinasaba, Umri mkubwa, Kukaa kwa muda mrefu, Kikohozi cha muda mrefu, Unene/uzito wa mwili uliozidi, Ujauzito kwa wanawake.
Bawasiri imegawanyika katika aina mbili tofauti;
1. BAWASIRI YA NJE: Hii ni aina ya bawasiri ambayo hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu pamoja na muwasho katika sehemu husika. Aina hii ya bawasiri huwa na tabia ya mishipa ya damu katika eneo hilo kupasuka na kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoids.
2. BAWASIRI YA NDANI: Hii ni bawasiri ambayo hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huwa haiambatani na maumivu makali. Kutokuwepo kwa maumivu huwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Lakini pia aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;
• Bawasiri kutotoka katika mahali pake( yaani inakuwa imesimama)
•.Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na huwa hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.
Viashiria vinavyoweza kuonyesha uwepo wa Bawasiri ni; Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia, Kupata muwasho sehem ya haja kubwa, Uvimbe au Kinyama kuota sehem ya haja kubwa, Haja kubwa kujitokea yenyewe muda wowote, Choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu/nne. Maumivu makali ya kiuno na mgongo, Tumbo kujaa gesi mara kwa mara, Kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula, Kukosa usingizi pamoja na dalili zingine nyingi.
BAWASIRI ISIPOTIBIWA HUWA NA ATHARI ZIFUATAZO; Haja kubwa (kinyesi) kutoka bila kujitambua, Kukosa monkari/ha-mu ya kufanya tendo la ndoa, Kupungukiwa nguvu za kiu-me kwa wanaum, Kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu, Kupata tatizo la kisaikolojai, Mwili kudhoofika na kupauka (nuru ya uso hupotea), Uchovu wa mara kwa mara.

CONSTI-HB ni dawa ya mimea asilia, hutibu mgoro (bawasiri) kwa uharaka zaidi bila upasuaji. Dawa hii haina madhara hasi (-ve) kwa mtumiaji.
Kwa Msaada zaidi Piga: +255 652402949
Au Wasialiana nami WhatsApp kwa kubonyeza link: https://wa.link/fqle63

https://wa.link/fqle63

https://wa.link/fqle63

NB; TIBIA BAWASILI/CHOO KIGUMU KWANZA ALAFU NDIO UTIBIE UPUNGUFU WA NGUVU ZA KI-UME.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanakwetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram