Dr_Daines na afya

Dr_Daines na afya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr_Daines na afya, Medical and health, Dar es Salaam.

29/03/2022

TIBA YA TEZIDUME BILA UPASUAJI.

DR_Nyangabona

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili pia kumkinga mwanaume na maambukizi katika mfumo wa mkojo.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
- kupata maumivu ukilazimisha kukojoa na kushindwa kutoa mkojo pale unapolazimisha na kuambatana na maumivu makali.

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole.

Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

V. SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA

a) Suluhisho Linalopendwa na
Watu wengi pindi wanapopatwa na madhara ya Tezi dume ni Dawa na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa.
Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba, lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana.
Kuna njia 3 za kudhibiti Tezi iliyotanuka
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari:
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali k**a madawa, upasuaji na Tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.
2. Madawa
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi Dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.”
– Johnathon Waxman , Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London
3. Upasuaji
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa.

b) Suluhisho la kudumu (Bora)

JE NINI WAWEZA KUFANYA KUJIKINGA NA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA TEZI DUME??.

SOMA HAPA:
Miili yetu hihitaji virutubisho muhimu ili kuimarisha Kinga na Kuulisha mwili wetu.

Vitu gani vya kuzingatia kuilinda tezi dume?

1. Kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi lako la damu yako.
2. Punguza au acha kuvuta sigara
3. Punguza au acha utumiaji wa pombe kali.
4. Punguza kukaa kwa mda mrefu sehemu moja kwa siku.
Fanya mazoezi kwa wingi.(Sitting is a new smoking)
5. Kutovaa nguo za kubana
6. Vaa chupi za cotton na sio material yeyote.
7. Kuhakikisha Uume uwe una erect mara kwa mara
8. Na mwisho Zingatia Matumizi ya Virutubisho. Utumiaji wa virutubisho ( Supplements) hasa vinavyohusika na Tezi dume, Uzazi kwa mwanaume(Nguvu za kiume) pamoja na ogani zote za uzazi.

Tezi Dume inatanuka kwasababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye uhitaji wa kujikinga na pia wenye changamoto hii ya kutanuka kwa Tezi Dume, na mfumo wa uzazi mwanaume ,na
Kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu . Supplements hizi ni vyakula, siyo madawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku, na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza mfumo bora wa mwili na uzazi wenye afya bora na nadhifu.

Supplements hizi (Virutubisho) vina mchanganyiko wa Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals .
Pia Program zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kuthibiti ubora wa viwango vya bidhaa duniani. Na kwa hapa Tanzania, zimethibitshwa na mamlaka ya chakula na madawa (TMDA) pamoja na (Tbs) viwango vya ubora Tanzania.

TUNAPATIKANA
DAR ES SALAAM
ILALA

Wasiliana nami:

+255742724033

KARIBUNI SANA.

24/03/2022

☆FAIDA ZA XPOWER MAN CAPSULES☆
●☆inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote mbili akina baba na akina mama stamina nguvu wakati wa tendo la ndoa

●☆inasaidia kuondoa msongo wa mawazo

●☆inasaidia kuongeza idadi ya mbegu za kiume (s***m count) na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri (mobility)

●☆inasafisha mwili na kupunguza kasi ya kuzeeka haraka

●☆inasaidia kubalansi kiwango cha sukari mwilini hivyo huboresha hamu ya tendo la ndoa kwa watu wenye changamoto ya sukari

●☆kusaidia kurekebisha na kujengeka kwa mifupa na kazi za misuli

●☆husaidia ufanisi mzuri wa kazi za moyo

●☆husaidia mishipa ya damu kufunguka na kutoa uchafu ulioganda

●☆kubalance standard blood pressure

●☆husaidia damu kusafiri vizuri sehemu zote za mwili

●☆husaidia kurudisha umri nyuma kuanzia muonekano mpaka ufanyaji kazi wa viungo kwa ujumla.

X POWER COFFEE
Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;
1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za

KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.
Kazi muhimu za Hii Kahawa;
💯1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2💯. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3.💯 Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5.💯 Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6💯. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7💯. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

8💯. Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

9.💯 Kusafisha mishipa ya damu

10.💯 Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi

11.💯 Haina kemikali ni ya asili kabida 100%

EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.
PATA XPOWERMAN COFFEE na X POWER MAN CAPSULRES
Kwa maelezo zaidi USHAULI NA TIBA
piga +255764569575
ili upatiwe virutubosho hivi.

+255764569575
DR_RUGE

Medical & health

21/09/2021

TIBA YA TEZIDUME BILA UPASUAJI.

Dr_Evitus

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.

Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.

Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume, mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; Na 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13.

II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:
- Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo (Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile ya Korodani
- Historia ya Familia (Kurithi)
- Mazingira (Ethnicity)n.k

III. DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME

Tatizo la Tezi Dume si tatizo la kutokea tuu siku moja na mara moja tuu na ndo maana tunasisitiza sana matumizi ya Suppliments (Virutubisho) kwa mwanaume yeyote anaejari Afya yake. Mpaka mtu apate saratani ya Tezi Dume (Prostate Cancer), atambue alianza kupata tatizo hilo kwa muda mrefu sana, Wengi wao hueleza dalili za tatizo hili huanza kuziona si chini ya miaka 3.
Hii hutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (Urethra) wakati unakojoa, ukiendelea kujirundika kwenye kibofu na mrija; baada ya muda unazalisha “Uric Acid” na ndio inatengeneza saratani (cancer).

Saratani ziko stage nne.
Ya kwanza na yapili ukiwahi unaweza kupona; lakini ikishafika stage ya 3 na 4, hazitibiki. Unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha muda wowote.

Hivyo ukiona dalili mojawapo kati ya hizi chukua tahadhari na hatua mapema kabla hujaharibu mfumo wako
mzima wa uzazi wa mwanaume.

a) Dalili za awali

- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika

- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa
(kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kujaa gesi mara kwa mara

IV. MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA

Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole.

Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini k**a tezi imetanuka. Kipimo hiki ndicho rahisi kinacho kubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.
Kipimo kingine ni kipimo cha damu. Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

MADHARA:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

V.MATIBABU
KUNA AINA MBILI ZA MCHANGANYIKO WA VIRUTUBISHO AMBAVYO VINA SAIDIA KIZUIPA TEZIDUME KUVIMBA PIA KWAMGINJWA WA TEZIDUME TEZIYAKE KUWA KANSA NA KUKUKINGA NA TEZIDUME KUJILUDIA.

TUNAPATIKANA
Dar es salaam

0768892003
0787405044

KARIBU SANA

Dr_Daines🔴Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuharibika na kulika kwa kuta za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Kuta ambazo h...
22/03/2021

Dr_Daines

🔴Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuharibika na kulika kwa kuta za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Kuta ambazo hushambuliwa na vidonda ni
kuta za tumbo
kuta za sehemu ya chini ya koo la chakula.
kuta za sehemu ya kwanza ya utumbo mwembamba.
kuna sababu kuu mbili ambazo hupelekea mtu kupata vidonda vya tumbo,

Maambukizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori, -bakteria huyu husambaa kwa njia ya maji na chakula, katika mwili wa binadamu hupenda kuishi tumboni na katika sehemu ya kwanza ya utumbo mwembamba. Akiwa hapo huzalisha vimeng'enya viitwavyo urease ambavyo hupunguza kiwango cha tindikali tumboni. kupungua kwa tindikali tumboni kunasababisha nyongo kuzalisha tindikali nyingi zaidi ya uwezo wa tumbo kuzimudu ambazo hupelekea tumbo kutoboka na kuchubuka.

Kumeng'enywa na kulika kwa kuta za mfumo wa chakula-hii husababishwa kwa namna zifuatazo

>Matumizi ya dawa za kutuliza maumivu ya muda mrefu na yasiyozingatia ushauri wa kitaalamu. Dawa k**a Aspirin, paracetamol(panadol), ibuprofen, naproxen, Mifenamate na nyinginezo. matumizi ya dawa hizi huzuia utengenezwaji wa ute wa ulinzi wa kuta za tumbo dhidi ya vimengenya na tindikali hivyo kulifanya tumbo kuwa na ulinzi dhaifu. pia dawa hizi hupunguza kiwango cha damu kinachofika tumboni, jambo hili husababsha tumbo kutotengeneza seli hai za tumbo ambazo ndio msingi wa ulinzi wa tumbo.

Sababu nyingine zinazoweza sababisha vidonda vya tumbo ni pamoja na:

Uvutaji wa sigara na Bangi
Ulevi wa Pombe
Msongo wa mawazo.
Tiba za miale katika maeneo ya mfumo wa tumbo mfano x-ray.
Kansa ya Tumbo
Kuugua kwa muda mrefu magonjwa mengineyo.
Dalili za vidonda vya tumbo.>Maumivu ya tumbo toka maeneo ya chini ya tumbo mpaka kifuani.
>Kinyesi kinakuwa na rangi nyeusi au kijivu.
>Kutapika damu
>Kupungua uzito.
>Kichefuchefu na kutapika.
>Kupoteza hamu ya kula.
>Kiungulia.

⚫Kama vidonda vya tumbo havitatibiwa kwa wakati huweza kusababisha madhara makubwa ambayo tiba yake itahitaji uangalizi mkubwa na unaweza kuwa na gharama kubwa sana. k**a utaona dalili hizi basi ni vyema kumuona daktari kwa maana dalili hizi huashiria tatizo limekuwa kubwa zaidi, sababu hizo ni;
🔹kizunguzungu
maumivu makali ya kichwa
🔸kinyesi cheusi ambacho kinaweza ambatana na damu.
🔷JInsi gani unaweza kujikinga dhidi ya vidonda vya tumbo? hizi ni baadhi ya njia;
Badili baadhi ya mifumo yako ya maisha k**a,
-Acha punguza kutumia pombe bila kiasi.
-Usichanganye pombe na aina yeyote ya dawa.
-Weka mazingira yako safi kuepuka maambukizi ya bacteria.
-Usitumie hovyo dawa za kupunguza maumivu bila ushauri wa kitaalamu.
-Pata chakula kwa wakati
♼TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Kuna dawa aina nne ambazoni
✴CONST RELAX
✴PROBIO3
✴Antdir
✴YUNZIENCEN
Hizi zinatofautiana kutibu kutokana na stage ya vidonda vya mgonjwa naelezea k**a ifuatavyo
⛔VIDONDA STAGE YA KWANZA
☇Apa mgonjwa anapata maumivu tumboni ☇Ana kosa ham ya kula
☇Gesi kujaa tumboni
Tibayake ni Dawa 3 ambazo ni
✴CONST RELAX
✴PROBIO3
✴Antdir
⛔VIDONDA STAGE YA PILI
☇Kupata choo kigumu
☇Maumivu makali
☇kukosa ham yakula
Tibayake ni dawa 3 ambazo ni
✴CONST RELAX
✴PROBIO3
✴Antdir
⛔VIDONDA STAGE YA TATU
☇kupata choo cheusi
☇Kutapika damu
☇kupata choo chenye damu
Tibayake ni
✴PROBIO3
✴YUNZIENCEN
✴CONST RELAX
✴ANTDIR

Dr_DainesUTI inatibika
05/03/2021

Dr_Daines
UTI inatibika

Address

Dar Es Salaam
0203

Telephone

+255754514622

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr_Daines na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram