28/08/2022
WAAMBIE WATU UPASUAJI SIO NJIA PEKEE YA KUPONA BAWASIRI
Bawairi/mgolo/Hemorrhoids ni tatizo ambalo linasumbua watu sana
Watu wengi hawajui k**a tatizo hili ni la mfumo wa chakula na mara nyingi mfumo wako wa chakula usipotibiwa tatizo hili hakitakuacha salama, litajirudia mara kwa mara
Bawasiri inaweza kuwa ya ndani au ya nje na inaweza kusababishwa na
✅choo kigumu
✅uzito kupindukia
✅ujauzito
✅kukaa kitako muda mrefu
✅umri mkubwa na mengine mengi
Ipo hivi ikiwa bawasiri yako imesababishwa na choo kigumu hata ukifanyiwa upasuaji HUWEZI KUPONA SABABU kisababishi cha bawaisiri hiyo ambacho ni CHOO KIGUMU hakijaondolewa!
Nimejikita kuwasaidia watu wanohangaika na bawasiri miaka nenda miaka rudi kupona KWA NJIA SALAMA kabisa Bila Upasuaji wowote
Nipigie kwa namba 0620242149 - nikusaidie
USHAURI,TIBA NA MAELEZO YA ZIADA
AFYA YAKO YA MFUMO WA CHAKULA NI MUHIMU KULIKO UNAVYODHANIA.