Utou_ health solutions

  • Home
  • Utou_ health solutions

Utou_ health solutions Suluhisho la magonjwa sugu kama vile kisukari ,shinikizo la juu la damu na uzito uliopitiliza

Tunawapenda Sana mama zetu wote ambao mmekua mstari wa mbele kwenye upambanaji Kwa ajili yetu “Happy mother's day )     ...
09/05/2021

Tunawapenda Sana mama zetu wote ambao mmekua mstari wa mbele kwenye upambanaji Kwa ajili yetu “Happy mother's day )



08/05/2021

Yess tabasamu la pesa namna hiyo usipitwe njoo Dm au whatsaap 0674066199 kwa ajili ya kubook ticket yako nimebakia nazo tano tu

Acha comment yako hapa chini na namba yako ya simu ili nikutunzie ticketi zimebakia chache Kwa ajili ya jumapili pale ub...
07/05/2021

Acha comment yako hapa chini na namba yako ya simu ili nikutunzie ticketi zimebakia chache Kwa ajili ya jumapili pale ubungo plaza



.mohammed.9615

Jumapili kuanzia saa Saba mchana pale ubungo plaza kuna kikao kikubwa Sana kuhusu biashara ambayo itabadilisha maisha ya...
07/05/2021

Jumapili kuanzia saa Saba mchana pale ubungo plaza kuna kikao kikubwa Sana kuhusu biashara ambayo itabadilisha maisha yako

K**a unataka kua mmojawapo wa wageni nitumie majina yako mawili Dm au whatsaap 0674066199 ili nikuchukulie ticket yako mapemaa kwasababu watu ni wengi saana usije kukosa kiti



.mohammed.9615

Tunaanza kuufahamu ugonjwa wa moyo unaojulikana K**a heart failure twende pamoja Kwa maswali au maoni comment hapo chini...
06/05/2021

Tunaanza kuufahamu ugonjwa wa moyo unaojulikana K**a heart failure twende pamoja Kwa maswali au maoni comment hapo chini



Kaa mkao wa Kula ,fahamu changamoto mbalimbali za kiafya na namna ya kuzitatua                         FM   FM
06/05/2021

Kaa mkao wa Kula ,fahamu changamoto mbalimbali za kiafya na namna ya kuzitatua



FM FM

Utafiti unaonyesha ya kwamba ulaji wa vyakula vyenye vitamin C Kwa wingi huchangia kua na Kinga imara (stronger immune s...
06/05/2021

Utafiti unaonyesha ya kwamba ulaji wa vyakula vyenye vitamin C Kwa wingi huchangia kua na Kinga imara (stronger immune system ) Kwa mtumiaji

He unahitaji kufahamu zaidi kuhusu kuimarisha Kinga yako ya mwili ?Njoo DM au whatsapp 0674066199



FM

Harufu imeondolewa na kemikali Aina ya allicin ambayo ndo antibiotic asilia hupatikana Kwa asilimia zote huku ndani .Una...
05/05/2021

Harufu imeondolewa na kemikali Aina ya allicin ambayo ndo antibiotic asilia hupatikana Kwa asilimia zote huku ndani .

Unataka tukuletee wapi unapopatikana ? Njoo DM au whatsaap 0674066199

Kemikali hiyo ya allicin pia hutumika K**a viuavijasumu yaani (Antibiotic ) asilia tokea Enzi za huko nyuma. Ila tatizo ...
05/05/2021

Kemikali hiyo ya allicin pia hutumika K**a viuavijasumu yaani (Antibiotic ) asilia tokea Enzi za huko nyuma.

Ila tatizo kubwa ambalo linafanya isifanye kazi vizuri no kwamba wakati wa utafunaji kemikali hiyo hupotea hewani na saa nyingine harufu yake inakera



tv fm

Njoo DM au whatsaap 0674066199 ufahamu namna utakavyojipatia ya kwako mikoani tunatuma hata nchi za nje
05/05/2021

Njoo DM au whatsaap 0674066199 ufahamu namna utakavyojipatia ya kwako mikoani tunatuma hata nchi za nje

Njoo tukusahuri namna ya kubalansi kiwango chako cha sukari mwilini kitabibu na kuweza kuepuka madhara (complication ) y...
01/05/2021

Njoo tukusahuri namna ya kubalansi kiwango chako cha sukari mwilini kitabibu na kuweza kuepuka madhara (complication ) yanayoweza kujitokeza na sukari ambayo haijadhibitwa



Ukuta wa Chembe hai yaani (Cell wall ) hua na vipokezi (Receptors ) ambazo hupata taarifa wakati insulini na sukari (glu...
01/05/2021

Ukuta wa Chembe hai yaani (Cell wall ) hua na vipokezi (Receptors ) ambazo hupata taarifa wakati insulini na sukari (glucose) vikiwa teyari vimeshafika karibu na hivyo kufunguka na kuruhusu sukari kuingia ndani ya Chembe hai (cell )

Endapo K**a ukuta wa Chembe hai Yani cell wall membrane hazifanyi kazi vizuri hufanya vipokezi hivi (receptors ) kutokufanya kazi vizuri na hivyo kupelekea ugonjwa wa kisukari .

Kitaalamu tatizo hili linafahamika K**a insulin receptors insensitivity .Usijali ipo namna tunaweza kukusaidia kupata suluhisho njoo DM au whatsapp 0674066199 Kwa msaada zaidi



Address

Sinza

Telephone

+255674066199

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utou_ health solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Utou_ health solutions:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram